Nimeamini wanaume hawaaminiki

Nimeamini wanaume hawaaminiki

Sina Mpenzi/mke ila sisemi eti sito cheat hapana

na wala sisemi kucheat kwangu ni ishara simpendi mke/mpenzi wangu Never.

Kuna aina tofauti za kucheat,

Kucheat kwa kuitafuta Cheat (kama ya baba cathe)

Kucheat ya kujileta yenyewe mlangoni (kama ile ya yusuph wa biblia)

Mimi hii Kucheat ya kwanza ya baba Kathe wapendwa wadada/wanawake hiii dhambi kwangu haipo nikiwa na Mke/Mpenzi wangu.

Ila Kucheat hii ya Pili ya Yusuph nimeshasema kwamba sitoiacha mpka naingia kwenye jeneza ndugu mpenzi msomaji.

Uniletee mwenyewe bila masharti nikuache, Never.

Kucheat tuna Cheat ila tu inategemea aina...

Wewe uletewe bila masharti unaweza ikataaa? wadada sazingine Msi judge Hebu Vaeni Viatu Vyetu basiiii sio rahisi kama mnavyodhani na sisi ni binadamu.
 
Jikite kwenye lengo la uzi
Huwezi kujibu kwakuwa na wewe unaishi kama asili inavyotaka uishi,Sasa huwezi kujakumshambilia mwanaume mwenzetu kisa tuu anakutaka na kutuponda kwamba hatuaminiki wewe ungetulia kwako yote ayo yasingekukuta na pia uyo Mzee hataki mazoea na mkewe ndio maana anakutongoza Ili askuone Tena kwake we Bado hukomi....wee dada tulia kwako na mmeo
 
Mimi ni mmoja wa wanawake wanaotongozwa na wanaume wa marafiki/majirani/ndugu zao
Kisa nimesema huwa naenda kwao basi ushapata sababu ila ukweli ni kwamba nyie mna tamaa za ajabu na usikute kuna wengine hawaendi kwao na bado wanatongozwa na wanaume wa hovyo
 
Sasa usitongozwe ?
 
Back
Top Bottom