Uchaguzi 2020 Nimeamini watanzania wameamua kufanya mabadiliko!

Hii sasa sina shaka kuwa watanzania wameamua kuipiga chini CCM kwa sababu hii!

Mwanzo wa kampeni, CHADEMA walivyoanza kuchangisha pesa ili kusaidia kumalizika kwa kampeni pasipo mkwamo, wengi tuliingiwa na hofu kuwa huenda pumzi itakata kabla ya kumalizika kwa siku za kampeni!

Imani kubwa waliyokuwa nayo chadema imewavusha maana kwa siku chache zilizobakia, na michango inayoendelea kutolewa na wanamabadiliko, mgombea urais wa CHADEMA, Tundu Lissu, atamalizia kwa kutumia chopa!

Tunaamini pia kuwa, bila michango thabiti, isingewezekana kumaliza kampeni na suala la kutumia chopa ingebaki kuwa ndoto!

Hongereni sana wanamabadiliko!
Igweeeeeehhhh......
 
Leo TBC kutwa nzima waliokuwa busy kumnadi jpm kwa kisingizio cha kumpongeza kwa miaka mitano
 
Nyingine imbebe shehe Ponda kwenda kumuombea kura Lissu za Waislamu wake. Maana kwa mujibu wa Ponda na jinsi alivyo ongea kwa kujiamini inaonesha anao Waislamu wake mfukoni mwake na wana makubaliano maalum na Lissu, na inavyoonesha Lissu hahitaji kura kutoka kwa Waislamu wengine
zaidi ya hao wa Ponda. Kwa namna hiyo hiyo na za watu wote wa imani nyengine Tanzania zaidi ya Waislamu wa Shehe Ponda basi.

Utatapika damu safari hii. Ponda atapanda kila jukwaa na kuhimiza waisilamu wapenda haki kupeleka kura zao sehemu ya haki.
 
Hii sasa sina shaka kuwa watanzania wameamua kuipiga chini CCM kwa sababu hii!

Mwanzo wa kampeni, CHADEMA walivyoanza kuchangisha pesa ili kusaidia kumalizika kwa kampeni pasipo mkwamo, wengi tuliingiwa na hofu kuwa huenda pumzi itakata kabla ya kumalizika kwa siku za kampeni!

Imani kubwa waliyokuwa nayo chadema imewavusha maana kwa siku chache zilizobakia, na michango inayoendelea kutolewa na wanamabadiliko, mgombea urais wa CHADEMA, Tundu Lissu, atamalizia kwa kutumia chopa!

Tunaamini pia kuwa, bila michango thabiti, isingewezekana kumaliza kampeni na suala la kutumia chopa ingebaki kuwa ndoto!

Hongereni sana wanamabadiliko!
Kura yangu kwa lisu
 
Nimekupata broo, Lisu ni mpango wa Mungu, ndo maana Kila ovu linalopangwa na ccm linavuja
 
Hii sasa sina shaka kuwa watanzania wameamua kuipiga chini CCM kwa sababu hii!

Mwanzo wa kampeni, CHADEMA walivyoanza kuchangisha pesa ili kusaidia kumalizika kwa kampeni pasipo mkwamo, wengi tuliingiwa na hofu kuwa huenda pumzi itakata kabla ya kumalizika kwa siku za kampeni!

Imani kubwa waliyokuwa nayo chadema imewavusha maana kwa siku chache zilizobakia, na michango inayoendelea kutolewa na wanamabadiliko, mgombea urais wa CHADEMA, Tundu Lissu, atamalizia kwa kutumia chopa!

Tunaamini pia kuwa, bila michango thabiti, isingewezekana kumaliza kampeni na suala la kutumia chopa ingebaki kuwa ndoto!

Hongereni sana wanamabadiliko!

Tukutane kuanzia 29 kupeana pole na kupongezana hapahapa
 
Back
Top Bottom