Wamchukue. Wakati nyie mnamuona hafai.......ila nchi zngine wanamlilia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamchukue. Wakati nyie mnamuona hafai.......ila nchi zngine wanamlilia
Yes anatosha asepeMagufuli anatosha
Ushauri wangu kwako wewe nduli, Anza kuaga na kufunga mizigo yako.Hii sasa sina shaka kuwa watanzania wameamua kuipiga chini CCM kwa sababu hii!
Mwanzo wa kampeni, CHADEMA walivyoanza kuchangisha pesa ili kusaidia kumalizika kwa kampeni pasipo mkwamo, wengi tuliingiwa na hofu kuwa huenda pumzi itakata kabla ya kumalizika kwa siku za kampeni!
Imani kubwa waliyokuwa nayo chadema imewavusha maana kwa siku chache zilizobakia, na michango inayoendelea kutolewa na wanamabadiliko, mgombea urais wa CHADEMA, Tundu Lissu, atamalizia kwa kutumia chopa!
Tunaamini pia kuwa, bila michango thabiti, isingewezekana kumaliza kampeni na suala la kutumia chopa ingebaki kuwa ndoto!
Hongereni sana wanamabadiliko!
Wakati nchi nyingine zinamlilia na kumtamani, humu nchini kuna familia ambazo watu wao walitekwa na hajui walipo na hizi zinalilia dola ya magufuli kwa utekaji na uuaji. Azori Gwanda aliacha mke akiwa mjamzito amvaye sasa ni mjane na watoto yatima. Hawa wanalia na kulaani dola hii.. Wakati nyie mnamuona hafai.......ila nchi zngine wanamlilia
19/09/2020kuwa rais wa tanzania
Ww jamaa Tanzania ishahamua kwenda na Lisu we unafeli wapi tukueleweshe achana na izo buku saba.Mabadiliko kwenye jamii forum ndugu.
Watanzania wanataka kiongozi shupavu na siyo huyu mbaguzi na katiliHii sasa sina shaka kuwa watanzania wameamua kuipiga chini CCM kwa sababu hii!
Mwanzo wa kampeni, CHADEMA walivyoanza kuchangisha pesa ili kusaidia kumalizika kwa kampeni pasipo mkwamo, wengi tuliingiwa na hofu kuwa huenda pumzi itakata kabla ya kumalizika kwa siku za kampeni!
Imani kubwa waliyokuwa nayo chadema imewavusha maana kwa siku chache zilizobakia, na michango inayoendelea kutolewa na wanamabadiliko, mgombea urais wa CHADEMA, Tundu Lissu, atamalizia kwa kutumia chopa!
Tunaamini pia kuwa, bila michango thabiti, isingewezekana kumaliza kampeni na suala la kutumia chopa ingebaki kuwa ndoto!
Hongereni sana wanamabadiliko!
Tena katili haswa19/09/2020
Naona umejiunga kumtetea uyo muuaji jamaa yako ata asafishiki wenzako washachoka.
Twende na Lisu ndugu anatosha sana achana na uyo Muhutu
Haki huinua TAIFA
Hivi unaamini kabisa Lissu atakuwa mshindi?Ww jamaa Tanzania ishahamua kwenda na Lisu we unafeli wapi tukueleweshe achana na izo buku saba.
Kwa Lisu utakuwa huru kufanya izo propaganda (maana ndio fani yako) bila kutekwa.
Shetani Hana rafiki rafiki yangu
Koti la uraisi limempyaya vibaya sana.
Zingekamatwa kwenye scanner pale airport.Kuna mtu ananiambia hela za kampeni Lissu alikuja nazo, eti sio hizo za michango ndizo zinesaidia kuanza kutumia chopa!
Atakuwa Rais Wa jamuhuri ya Tanzania.Hivi unaamini kabisa Lissu atakuwa mshindi?
Acheni Ndugu zangu kuanza kuingiza udini na udhehebu kwenye mambo ya Siasa !!! Acheni haraka Sana ! Msianze kutugawa Watanzania . Final Ni 28 October basi !Nyingine imbebe shehe Ponda kwenda kumuombea kura Lissu za Waislamu wake. Maana kwa mujibu wa Ponda na jinsi alivyo ongea kwa kujiamini inaonesha anao Waislamu wake mfukoni mwake na wana makubaliano maalum na Lissu, na inavyoonesha Lissu hahitaji kura kutoka kwa Waislamu wengine
zaidi ya hao wa Ponda. Kwa namna hiyo hiyo na za watu wote wa imani nyengine Tanzania zaidi ya Waislamu wa Shehe Ponda basi.
Ni kama vile BAKWATA inadhani inaongoza waislam wote kumbe ni baadhi ya waislam wachache wa CCM wasiokua na imani na dini bali wanaimani na chamaNyingine imbebe shehe Ponda kwenda kumuombea kura Lissu za Waislamu wake. Maana kwa mujibu wa Ponda na jinsi alivyo ongea kwa kujiamini inaonesha anao Waislamu wake mfukoni mwake na wana makubaliano maalum na Lissu, na inavyoonesha Lissu hahitaji kura kutoka kwa Waislamu wengine
zaidi ya hao wa Ponda. Kwa namna hiyo hiyo na za watu wote wa imani nyengine Tanzania zaidi ya Waislamu wa Shehe Ponda basi.
basi we hujawajua watanzania kamuulize mange kimambi...wapiga kura hawakai mitandaoni kama wanataka sikiliza udaku wa daiamond na zuchuHii sasa sina shaka kuwa watanzania wameamua kuipiga chini CCM kwa sababu hii!
Mwanzo wa kampeni, CHADEMA walivyoanza kuchangisha pesa ili kusaidia kumalizika kwa kampeni pasipo mkwamo, wengi tuliingiwa na hofu kuwa huenda pumzi itakata kabla ya kumalizika kwa siku za kampeni!
Imani kubwa waliyokuwa nayo chadema imewavusha maana kwa siku chache zilizobakia, na michango inayoendelea kutolewa na wanamabadiliko, mgombea urais wa CHADEMA, Tundu Lissu, atamalizia kwa kutumia chopa!
Tunaamini pia kuwa, bila michango thabiti, isingewezekana kumaliza kampeni na suala la kutumia chopa ingebaki kuwa ndoto!
Hongereni sana wanamabadiliko!
Udini haukisaidii ccm ambayo imewatumia Sana wale masheikh wa bakwata na juzi kawe. Lakini sheikh Ponds wa siku moja kakutoa nyongo! Kaa kwa kutulia uone jinsi waislam watakavyoichagua haki!Nyingine imbebe shehe Ponda kwenda kumuombea kura Lissu za Waislamu wake. Maana kwa mujibu wa Ponda na jinsi alivyo ongea kwa kujiamini inaonesha anao Waislamu wake mfukoni mwake na wana makubaliano maalum na Lissu, na inavyoonesha Lissu hahitaji kura kutoka kwa Waislamu wengine
zaidi ya hao wa Ponda. Kwa namna hiyo hiyo na za watu wote wa imani nyengine Tanzania zaidi ya Waislamu wa Shehe Ponda basi.