Uchaguzi 2020 Nimeamini watanzania wameamua kufanya mabadiliko!

Uchaguzi 2020 Nimeamini watanzania wameamua kufanya mabadiliko!

Hiyo inayochangishwa ni zuga tu (building a sense of ownership) - mabeberu wameshakupeni gawio la mrahaba wa madini

By the way chopa kwa siku (airtime) ni takriban USD 1'900
 
  • Thanks
Reactions: ZNM
Hii sasa sina shaka kuwa watanzania wameamua kuipiga chini CCM kwa sababu hii!

Mwanzo wa kampeni, CHADEMA walivyoanza kuchangisha pesa ili kusaidia kumalizika kwa kampeni pasipo mkwamo, wengi tuliingiwa na hofu kuwa huenda pumzi itakata kabla ya kumalizika kwa siku za kampeni!

Imani kubwa waliyokuwa nayo chadema imewavusha maana kwa siku chache zilizobakia, na michango inayoendelea kutolewa na wanamabadiliko, mgombea urais wa CHADEMA, Tundu Lissu, atamalizia kwa kutumia chopa!

Tunaamini pia kuwa, bila michango thabiti, isingewezekana kumaliza kampeni na suala la kutumia chopa ingebaki kuwa ndoto!

Hongereni sana wanamabadiliko!
Kwa imani tumeshinda. Ukiwa na imani unaweza kuhamisha mlima ukahama sehemu moja kwenda nyingine kwa kutamka tu.

Nani alijua kuwa Lissu NEC ingempitisha na kumpa fomu kugombea??
 
  • Thanks
Reactions: ZNM
Back
Top Bottom