Nchi gani inahitaji kuongozwa na rais anayejitanabaisha kuwa yeye ni kichaa? Labda Ile ya asili yake!. Wakati nyie mnamuona hafai.......ila nchi zngine wanamlilia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nchi gani inahitaji kuongozwa na rais anayejitanabaisha kuwa yeye ni kichaa? Labda Ile ya asili yake!. Wakati nyie mnamuona hafai.......ila nchi zngine wanamlilia
Ushindi wa CCM utatokana tu na kura za mkakati. Kura za wananchi itapata kiduchu. Utawala wa mh Magufuli umekuwa ni wa kibabe unaojali vitu badala ya watu na umewaumiza watu wengi sana. Idadi ya watu wengi wanaonekana kwenye mikutano wanavutwa.Hii sasa sina shaka kuwa watanzania wameamua kuipiga chini CCM kwa sababu hii!
Mwanzo wa kampeni, CHADEMA walivyoanza kuchangisha pesa ili kusaidia kumalizika kwa kampeni pasipo mkwamo, wengi tuliingiwa na hofu kuwa huenda pumzi itakata kabla ya kumalizika kwa siku za kampeni!
Imani kubwa waliyokuwa nayo chadema imewavusha maana kwa siku chache zilizobakia, na michango inayoendelea kutolewa na wanamabadiliko, mgombea urais wa CHADEMA, Tundu Lissu, atamalizia kwa kutumia chopa!
Tunaamini pia kuwa, bila michango thabiti, isingewezekana kumaliza kampeni na suala la kutumia chopa ingebaki kuwa ndoto!
Hongereni sana wanamabadiliko!
Atakapo maliza atakuwa rais mwenye ukwasi mkubwa kuliko wote waliomtangulia.Hatuchagui jizi
Hii sasa sina shaka kuwa watanzania wameamua kuipiga chini CCM kwa sababu hii!
Mwanzo wa kampeni, CHADEMA walivyoanza kuchangisha pesa ili kusaidia kumalizika kwa kampeni pasipo mkwamo, wengi tuliingiwa na hofu kuwa huenda pumzi itakata kabla ya kumalizika kwa siku za kampeni!
Imani kubwa waliyokuwa nayo chadema imewavusha maana kwa siku chache zilizobakia, na michango inayoendelea kutolewa na wanamabadiliko, mgombea urais wa CHADEMA, Tundu Lissu, atamalizia kwa kutumia chopa!
Tunaamini pia kuwa, bila michango thabiti, isingewezekana kumaliza kampeni na suala la kutumia chopa ingebaki kuwa ndoto!
Hongereni sana wanamabadiliko!
Ndugu kitanda usicholalia huwezi kujua adha za kunguni wake!. Wakati nyie mnamuona hafai.......ila nchi zngine wanamlilia
Kubali mabadiliko ndugu ccm imevurunda tangu uhuru ni wakati wa mabadiliko.Taarifa nyingine bwana ni invalid sana.
Mwanzo kabisa, unatoa taarifa ya kuwa watanzania wameamua kuipiga chini CCM, hujatoa sababu kuihusu CCM hadi kupigwa chini??
Unaanza kuzungumzia Michango inayotolewa " utapeli utapeli tu" mara root za mgombea wenu!.
Sawa, Endeleeni kujifariji tu mtandaoni.
Magufuli anatosha
Hakuna kitu kama hicho mimi muislamu kura yangu nitampa kiongozi mnyenyekevu na mcha mungu kama magufuli [emoji736][emoji736] na kura zotee kwakeNyingine imbebe shehe Ponda kwenda kumuombea kura Lissu za Waislamu wake. Maana kwa mujibu wa Ponda na jinsi alivyo ongea kwa kujiamini inaonesha anao Waislamu wake mfukoni mwake na wana makubaliano maalum na Lissu, na inavyoonesha Lissu hahitaji kura kutoka kwa Waislamu wengine
zaidi ya hao wa Ponda. Kwa namna hiyo hiyo na za watu wote wa imani nyengine Tanzania zaidi ya Waislamu wa Shehe Ponda basi.
Inzi wa kijani hawatakuelewa.Tundu Lissu ni mpango wa Mungu, ukimpinga kwa njia yeyote ile lazima utapata matatizo. Nawashauri TISS, NEC na Polisi au TPDF wafuate haki pekee. Kamwe wasikubali kupindisha sheria au kanuni au kubadili matokeo kumfurahisha Magufuri, kwa kuwa hasira ya Mungu juu yao itakuwa ni maangamizi kwao na vizazi vyao
Nani achague kichaa..?Magufuli anatosha
AMEEEEEEEENTundu Lissu ni mpango wa Mungu, ukimpinga kwa njia yeyote ile lazima utapata matatizo. Nawashauri TISS, NEC na Polisi au TPDF wafuate haki pekee. Kamwe wasikubali kupindisha sheria au kanuni au kubadili matokeo kumfurahisha Magufuri, kwa kuwa hasira ya Mungu juu yao itakuwa ni maangamizi kwao na vizazi vyao
Kwanza rekebisha kauli yako! Muislam ni muislam tu kwani wote tunatumia kitabu kimoja tu ( Quran) takatifu. Hakuna muislam wa sheikh Ponda Wala sheikh Haji wote ni waislam na hatubaguani!
Wew na mkeo.Magufuli anatosha
Hii sasa sina shaka kuwa watanzania wameamua kuipiga chini CCM kwa sababu hii!
Mwanzo wa kampeni, CHADEMA walivyoanza kuchangisha pesa ili kusaidia kumalizika kwa kampeni pasipo mkwamo, wengi tuliingiwa na hofu kuwa huenda pumzi itakata kabla ya kumalizika kwa siku za kampeni!
Imani kubwa waliyokuwa nayo chadema imewavusha maana kwa siku chache zilizobakia, na michango inayoendelea kutolewa na wanamabadiliko, mgombea urais wa CHADEMA, Tundu Lissu, atamalizia kwa kutumia chopa!
Tunaamini pia kuwa, bila michango thabiti, isingewezekana kumaliza kampeni na suala la kutumia chopa ingebaki kuwa ndoto!
Hongereni sana wanamabadiliko!
Wamchukue akawaongoze au sisi tuende kwao wao waje kwetu ....ebo. Wakati nyie mnamuona hafai.......ila nchi zngine wanamlilia