Uchaguzi 2020 Nimeamini watanzania wameamua kufanya mabadiliko!

Habari kamili Wakili wa Kimataifa Robert Amsterdam atahudhuria katika hafla ya uapishwaji wa Raisi Tundu Lissu
 
Igweeeeeehhhh......
 
Leo TBC kutwa nzima waliokuwa busy kumnadi jpm kwa kisingizio cha kumpongeza kwa miaka mitano
 

Utatapika damu safari hii. Ponda atapanda kila jukwaa na kuhimiza waisilamu wapenda haki kupeleka kura zao sehemu ya haki.
 
Kura yangu kwa lisu
 
Nimekupata broo, Lisu ni mpango wa Mungu, ndo maana Kila ovu linalopangwa na ccm linavuja
 
Watumishi wote na familia zao kura kwa lissu.

Mmeteswa sana miaka 5
 

Tukutane kuanzia 29 kupeana pole na kupongezana hapahapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…