Uchaguzi 2020 Nimeamini watanzania wameamua kufanya mabadiliko!

Katika siku mia moja za Lissu madarakani Mnyeti anapandishwa kizimbani kwa kutoa rushwa na ushahidi umehifadhiwa
 
Ushauri wangu kwako wewe nduli, Anza kuaga na kufunga mizigo yako.
 
Reactions: ZNM
. Wakati nyie mnamuona hafai.......ila nchi zngine wanamlilia
Wakati nchi nyingine zinamlilia na kumtamani, humu nchini kuna familia ambazo watu wao walitekwa na hajui walipo na hizi zinalilia dola ya magufuli kwa utekaji na uuaji. Azori Gwanda aliacha mke akiwa mjamzito amvaye sasa ni mjane na watoto yatima. Hawa wanalia na kulaani dola hii.
 
Mabadiliko kwenye jamii forum ndugu.
Ww jamaa Tanzania ishahamua kwenda na Lisu we unafeli wapi tukueleweshe achana na izo buku saba.

Kwa Lisu utakuwa huru kufanya izo propaganda (maana ndio fani yako) bila kutekwa.

Shetani Hana rafiki rafiki yangu
 
Watanzania wanataka kiongozi shupavu na siyo huyu mbaguzi na katili
 
Reactions: ZNM
Ww jamaa Tanzania ishahamua kwenda na Lisu we unafeli wapi tukueleweshe achana na izo buku saba.

Kwa Lisu utakuwa huru kufanya izo propaganda (maana ndio fani yako) bila kutekwa.

Shetani Hana rafiki rafiki yangu
Hivi unaamini kabisa Lissu atakuwa mshindi?
 
Acheni Ndugu zangu kuanza kuingiza udini na udhehebu kwenye mambo ya Siasa !!! Acheni haraka Sana ! Msianze kutugawa Watanzania . Final Ni 28 October basi !
 
Reactions: ZNM
Ni kama vile BAKWATA inadhani inaongoza waislam wote kumbe ni baadhi ya waislam wachache wa CCM wasiokua na imani na dini bali wanaimani na chama

Yaani mimi na elimu yangu hii ya ngumbalo kwa upande wa dini na dunia nikaongozwe na Al-Hadi Mussa du! Ptwaaaaaa! Kichefuchefu ambae eti ndio mwenyekiti wa baraza la amani, kwa amani gani anayoiongoza zaidi ya kuramba miguu ya makada wa CCM

Na in shaa allah ... muda si mrefu atadhihiri unafiki wake kwa sababu ALLAH hamfichi mnafiki siku atakapoonekana kituko na hao CCM kumuacha doro ndio atajua kumnafikia ALLAH ni jambo baya

Walikuwepo kina Msabaha enzi zile wanafiki wenye elimu zao leo hii wako wapi? atakua huyu kapuku Al-Hadi Mussa asieijua dini wala dunia ... eti Shehe mkuu wa mkoa a anosama dua kwa Jina la YESU arghhh!!!! Ptwaaaaaa!

Kichekesho wamekusanywa vinjaa njaa kwa kupitia mgongo wa uislam kina Shehe kipozeo eti wanaitwa wahadhiri kwa uhadhiri gani alionao mla mirungi yule kazi kuhubiri uzinifu na matako ya wanawake na sio mlingania dini eti nae anaitwa mhadhiri Mxiueszzz pumbavu kabisa

Laaanatullah!!!
 
basi we hujawajua watanzania kamuulize mange kimambi...wapiga kura hawakai mitandaoni kama wanataka sikiliza udaku wa daiamond na zuchu
 
Udini haukisaidii ccm ambayo imewatumia Sana wale masheikh wa bakwata na juzi kawe. Lakini sheikh Ponds wa siku moja kakutoa nyongo! Kaa kwa kutulia uone jinsi waislam watakavyoichagua haki!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…