Uchaguzi 2020 Nimeamini watanzania wameamua kufanya mabadiliko!

Wakati serikali ina hamasisha watu wajitokeze Kwenda kujiandikisha kwaajili ya uchaguzi mkuu Chadema walikua wakihamasisha watu wasijitokeze Mbaka ipatikane katiba mpya, Chakushangaza baada ya matokeo kutangazwa wata lalamika wameibiwa kura.
 
Ushindi wa CCM utatokana tu na kura za mkakati. Kura za wananchi itapata kiduchu. Utawala wa mh Magufuli umekuwa ni wa kibabe unaojali vitu badala ya watu na umewaumiza watu wengi sana. Idadi ya watu wengi wanaonekana kwenye mikutano wanavutwa.
 
 
Kubali mabadiliko ndugu ccm imevurunda tangu uhuru ni wakati wa mabadiliko.
 
Magufuli anatosha
Hakuna kitu kama hicho mimi muislamu kura yangu nitampa kiongozi mnyenyekevu na mcha mungu kama magufuli [emoji736][emoji736] na kura zotee kwake
 
*LISSU ANA MASWALI YA KUTUJIBU KWANZA WATANZANIA*

Tundu Lissu mmojawapo wa wagombea uchaguzi Mkuu 2020 ambaye anazunguka kuomba ridhaa. Watanzania tuna kila sababu ya kumuhoji Lissu maswali haya ....

Lisu huyu ndiye yule aliyekuwa akiwatetea ACACIA kwenye suala la madini, kwanini aungane na waliokuwa wanaiibia nchi na kuanza kuwatetea? Akaenda mbali akawa anatutisha Watanzania kuwa tutashtakiwa wakati akijua wazi hatuwezi kushtakiwa, alikuwa akiyafanya haya kwa faida ya Watanzania kweli?

Wengine watasema ni haki yake, sawa ni haki yake tufanye. Ni haki sahihi kuwatetea wezi wa madini yetu? Ni haki kubariki kuibiwa na kuachiwa maandaki na umaskini na wanyonyaji wa rasilimali hizi?

Jambo jema yule aliyekuwa akiwatetea wezi wa madini yetu ndio huyo huyo anaomba ridhaa wakati ambao Dunia itashuhudia Oktoba 13, 2020 kampuni ya Barrick Gold ikitoa fidia ya gawio la zaidi ya Tsh. Bilioni 100 ambayo ni matunda ya mikataba ya madini na sheria zinazolinda maliasili na madini ya Tanzania.

Watanzania muulizeni Lissu mbona hatujashtakiwa kama alivyosema? Mbona aliosema wana haki ndio wanaotupa gawio la Mabilioni ya fedha?

Ni Lissu huyu huyu pasi na haya alishiriki kuhujumu ndege zetu ili zikamatwe, kwanini aliamua kuhujumu mali za Taifa? Ni kwa faida ya Watanzania ama faida ya Mabeberu anaowatumikia? Anaendaje kuomba kura kwa Watanzania aliowasaliti?

Lissu aendelee kutueleza nini maana yake kuwasimanga, kuwananga, kuwadhihaki Watanzania kuwa ni maskini wakati huo anawaomba michango ya kampeni! Mtu maskini na mwenye uchumi mbovu utamwombaje michango? Atatembezaje bakuli kwa Watu maskini?

Ni Lissu huyu huyu anaomba kupigiwa kura wakati yeye mwenyewe hajajiandikisha na hajaboresha taarifa zake kwenye daftari la Wapiga kura! Watanzania wampigie kura asiyeweza kujipigia ku
 
Inzi wa kijani hawatakuelewa.
 
Ccm imekiuka masharti ya kuacha kuukimbiza mwenge thus akili za watz zimefunguka
 
AMEEEEEEEEN
 
hayupo wakupambana na mh Raisi magufuli narudia tena hayupo wakumshinda magufuli
 
Kwanza rekebisha kauli yako! Muislam ni muislam tu kwani wote tunatumia kitabu kimoja tu ( Quran) takatifu. Hakuna muislam wa sheikh Ponda Wala sheikh Haji wote ni waislam na hatubaguani!

Hii wa kuelewa alisha elewa.
 

Nani atapigwa chini wewe CCM ndio babalako nyie ndio mtaangukia kisogo tu
 
Reactions: ZNM
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…