Nimeamka asubuhi nimekuta shuka zina matone ya damu!! mpaka saizi najitafuta nilipoumia sipaoni?

Nimeamka asubuhi nimekuta shuka zina matone ya damu!! mpaka saizi najitafuta nilipoumia sipaoni?

Wakuu kama niliplsema!
Najiuliza yametoka wap bado sina majibu.
Silali na mtu.
hajaingia mtu chumbani kwangu
Sijaumia popote.
Sijawai tokwa damu puan.
Mkoa n kigoma.
Napata sana wasiwasi
Yaan kifupi hamna namna ambayo inanipa jibu matone yametoka wap
Bingwa wa hisabati,fizikia...unashindwa kukokotoa huo mkoa!
 
Jibu la msingi ni kama hauna chandarua inawezekana ni mbu walikunywa damu yako ukawalalia na kupasukia kitandani au wadudu wengine

Jubu la utani ni kuwa jaribu kupiga punyeto isijekuwa uliota ndoto nyevu ukamwaga damu baada ya sperms

Pia fuatilia magonjwa ya ngono maka ulifanya ngono hatarishi hivi karibuni
 
Nilivyosoma tu kigoma
Nimeishiwa nguvu saiv nimetundikiwa drip
Kigoma n wachaw mwanakwetu utakuwa umeisha
 
Usiokope Ndugu Wala maoni uchwala usiyape nafasi,chunguza vizuri kwenye mwili wako huenda Iko namna .
 
Back
Top Bottom