Nimeamka asubuhi nimekuta shuka zina matone ya damu!! mpaka saizi najitafuta nilipoumia sipaoni?

Nimeamka asubuhi nimekuta shuka zina matone ya damu!! mpaka saizi najitafuta nilipoumia sipaoni?

Wakuu kama niliposema!

Najiuliza yametoka wapi bado sina majibu.

Silali na mtu hajaingia mtu chumbani kwangu Sijaumia popote.

Sijawai tokwa damu puani.

Mkoa ni kigoma.

Napata sana wasiwasi
Yaan kifupi hamna namna ambayo inanipa jibu matone yametoka wapi
Niliwahi kulala Guest moja mpya barabarani kabisa, usiku ikanyesha mvua kubwa sana yenye upepo, kesho yake nimemka asubuhi nimetoka getini pakavu kabisa nikarudi ndani kuwauliza wakaniambia kila mwaka tarehe hio pana hio mvua nkahama zangu.
 
Kweli kabisa, maana ukiamini sana ishu za ushirikina ata ukijikwaa unahisi umerogwa.
Kuna watu huwaambii kitu kuhusu ushirikina
Yaani maendeleo yako hata kama umekusanya hela zako kwa miaka 20 halafu ukafungua biashara kubwa watasema ni ndagu
Itakuwaje kaibuka tu ghafla na kuwa na duka kubwa hivyo
Kuna watu wana akili za kimasikini sana
Ni kweli kabisa wengi wanaamini huu ujinga na wajinga wanaibiwa hela zao na kuchonganishwa mpaka na wazazi wao au ndugu kisa mganga kamwambia umelogwa na flani
 
Ni hatari Sana.
 
Wakuu kama niliposema!

Najiuliza yametoka wapi bado sina majibu.

Silali na mtu hajaingia mtu chumbani kwangu Sijaumia popote.

Sijawai tokwa damu puani.

Mkoa ni kigoma.

Napata sana wasiwasi
Yaan kifupi hamna namna ambayo inanipa jibu matone yametoka wapi
hama,hapo kuna jni maimuna!!
 
Walichokuwa wanakitaka kwako wameshakipata. Ni huo WASIWASI.

Umeshakuwa ndani ya 18 zao sasa subiri kichapo.

Cha kufanya
Acha kuogopa na kuwa na wasiwasi. Wanakutisha wakuroge. Amini wameshindwa na hayo ni mazingaombwe tu.
etiii
 
Back
Top Bottom