Friedrich Nietzsche
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 2,095
- 3,649
Bingwa wa hisabati,fizikia...unashindwa kukokotoa huo mkoa!Wakuu kama niliplsema!
Najiuliza yametoka wap bado sina majibu.
Silali na mtu.
hajaingia mtu chumbani kwangu
Sijaumia popote.
Sijawai tokwa damu puan.
Mkoa n kigoma.
Napata sana wasiwasi
Yaan kifupi hamna namna ambayo inanipa jibu matone yametoka wap
nkupe mgangaWakuu kama niliplsema!
Najiuliza yametoka wap bado sina majibu.
Silali na mtu.
hajaingia mtu chumbani kwangu
Sijaumia popote.
Sijawai tokwa damu puan.
Mkoa n kigoma.
Napata sana wasiwasi
Yaan kifupi hamna namna ambayo inanipa jibu matone yametoka wap
🤣🤣🤣🤣 Kanyonya mpaka kacheua🙌Itakuwa matapishi ya Mbu
hili ndio jibu sahihiMbu, kunguni panya
MbuMbu, kunguni panya