Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
mapema tu, maana watu wana baguana kisa dini zilizo kuja kwa mtumbwi.Na Ikawe Kama Ulivyonena
Kumbe dini ni mechi za mashindano?, haya yupi mshindi muislamu, Muhindu, au msabato?Kila mtu ashinde mechi zake
Mkuu,Nime piga hesabu nika ona dini ni urithi mmoja wa ajabu sana, nina amini Mungu yupo ila nita mwabudu nje ya hilo box.
yaani una zaliwa na kukabidhiwa kitu usicho kielewa au kupewa nafasi ya kuchagua.
na hizi dini ndio zime tengeneza viumbe wenye hulka ya mazombie au vampire, ambao wao kazi yao ni kufata wasemayo viongozi au maandishi wasiyo elewa asili yake.
Mara mtu ampige au amtukane mwenzie kisa dini, yaani una jiona bora kisa dini tena uta sikia wewe huendi mbinguni!.
Kuanzia Leo nina Imani na sio dini nisizo zielewa.
Kitambo Sana nilisha amka mkuu, Kuna sehemu nili sema dini ni amani waka taka kuni piga !Umechelewa sana kuamka mkuu!
Wahindi waislamu wapo Pakistan.Kumbe dini ni mechi za mashindano?, haya yupi mahindi muislamu, Muhindu, au msabato?
Mkuu, hata elimu ni urithi tuliokabidhiwa, na kama elimu umeipenda, lazima uielewe.Nime piga hesabu nika ona dini ni urithi mmoja wa ajabu sana, nina amini Mungu yupo ila nita mwabudu nje ya hilo box.
yaani una zaliwa na kukabidhiwa kitu usicho kielewa au kupewa nafasi ya kuchagua.
na hizi dini ndio zime tengeneza viumbe wenye hulka ya mazombie au vampire, ambao wao kazi yao ni kufata wasemayo viongozi au maandishi wasiyo elewa asili yake.
Mara mtu ampige au amtukane mwenzie kisa dini, yaani una jiona bora kisa dini tena uta sikia wewe huendi mbinguni!.
Kuanzia Leo nina Imani na sio dini nisizo zielewa.
Kubaguana ni dhahirimapema tu, maana watu wana baguana kisa dini zilizo kuja kwa mtumbwi.
Mkuu imani na dini ni vitu viwili tofauti, imani ni ya ndani, hizo dini ni jau jau.Mkuu,
Nini kimekukuta? Nini kime ishake Imani YAKO.
Mh! hebu soma upya reply yakoKitambo Sana nilisha amka mkuu, Kuna sehemu nili sema dini ni amani waka taka kuni piga !
Nika wauliza maswali Waka ondoka kwa aibu, mimi sihitaji kero.