Nimeamua kuachana na masuala ya dini, sihitaji kero za ajabu

Nimeamua kuachana na masuala ya dini, sihitaji kero za ajabu

Muda mwingine nawaza wanawake kama Lucha watakuwa sehemu ya mabikra 72,

Nawaza sana
Lakini hauwazi kuwa kila jumapili unaenda kuomba toba mbele ya mifuko miwili ya cement iliyochanganywa na kokoto
downloadfile.png
 
Kama ni hivyo basi ; elimu ni utapeli , pesa , vyama vya siasa , mfumo wa kuzaana maana unaweza kuzaliwa ukajikuta kweny familia ya kimaskini automatically mpaka ukakua ukawa hivyo na bado unalazimishwa kupambana . Unapambana nn?

Biashara unazofundisha hazina uhalisia hata wewe hauna mafanikio ,kiufupi kila mtu anavutia kwake ..Short and clear dunia haina maana kama hamna uwepo wa dini.​
 
Waafrika tukiendelea kuamka kama hivi basi tutegemee makubwa soon. Kwani huu ndio mwanzo wa kujithamini na kuacha kuona walioleta hizi dini ni bora kuliko sisi. Asians wengi hawaamini wala hawawaoni wazungu na waarabu kuwa ni bora zaidi yao, bali ni binadamu tu wanaovuja damu vilevile. Wanajua alichofanya mzungu na wao wanaweza wakiamua.

Dini ni kifungo cha akili ili wapate kutawala bila kipingamizi.
 
Ktu usichokitambua ni kimoja tu : kwa sasa maisha yamekuwa magumu mpaka binadamu hawaoni thamni ya kuishi ndio maana mnaanza kudoubt kuhusu dini , mfumo wa dini ni sahii sio hii ya ubepari inaleta magepu makubwa ya kipato .
 
Nime piga hesabu nika ona dini ni urithi mmoja wa ajabu sana, nina amini Mungu yupo ila nita mwabudu nje ya hilo box.

yaani una zaliwa na kukabidhiwa kitu usicho kielewa au kupewa nafasi ya kuchagua.

na hizi dini ndio zime tengeneza viumbe wenye hulka ya mazombie au vampire, ambao wao kazi yao ni kufata wasemayo viongozi au maandishi wasiyo elewa asili yake.

Mara mtu ampige au amtukane mwenzie kisa dini, yaani una jiona bora kisa dini tena uta sikia wewe huendi mbinguni!.

Kuanzia Leo nina Imani na sio dini nisizo zielewa.
Unamuamini Mungu yupi na unahakikishaje yupo kweli?

Unahakikishaje umekataa dini?

Unajuaje kuwa hujakataa dini ya wengine na kujitengenezea dini yako mwenyewe tu?

Kwani ukijitengenezea dini yako mwenyewe ukweli kwamba ni dini yako mwenyewe inaondoa ukweli kwamba ni dini bado?
 
Mkuu nime ielewa vyema, kitambo nilisha acha mambo za kanisa au msikiti.

mimi niki jisikia naibuka popote, Kikubwa uhai na amani ndani yangu.
Mi naona kama ulichelewa sana kuamka ilitakiwa nikuchape fimbo walau tatu zakuchelewa!..
sasahivi mimi sihitaji kuongea sana ni vipigo tu wasitusumbue tumeshaongea sana lkn hayaelewi...🤣
 
Back
Top Bottom