Nimeamua kuanzisha kilimo cha Korosho Manyoni - Singida

zabron k

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2015
Posts
943
Reaction score
1,107
Habar ya leo,

Baada ya miaka 5 kutoka mwaka huu (2024) nategemea kuachana na ajira ya serikali.

Nimeamua kuanzisha kilimo cha Korosho Manyoni - Singida. Pamoja ukweli kuwa zao hili ni geni maneno hayo na Mimi mwenyewe sijawahi kufanya lakini natumaini had naacha ajira nitakuwa nimejifinza mengi.

Zipo heka 40

IMG-20241010-WA0016.jpg
 
Sawa umewaza vizuri maana nafasi yako ataajiriwa MTU mwingine na bado wewe mwenyewe utatoa Ajira Kwa vijna wengine .

Ila ni muhimu kufanya mahesabu mazuri .

Ungeacha Kazi kipindi ambacho tayari kilimo na Biashara zako zimeshaanza kuonesha dalili ya kutoa matunda.

All the best . nchi inawahitaji watu wengi wenye uthubutu wa kuziona fursa na kuzipambania .
 
Habar ya leo
Baada ya miaka 5 kutoka mwaka huu (2024) nategemea kuachana na ajira ya serikali.

Nimeamua kuanzisha kilimo cha Korosho Manyoni - Singida. Pamoja ukweli kuwa zao hili ni geni maneno hayo na Mimi mwenyewe sijawahi kufanya lakini natumaini had naacha ajira nitakuwa nimejifinza mengi.

Zipo heka 40
View attachment 3149500
S
mbona hekari ni chache
 
Nimeona mikorosho kadhaa itigi na maeneo ya kongwa
 
Habar ya leo
Baada ya miaka 5 kutoka mwaka huu (2024) nategemea kuachana na ajira ya serikali.

Nimeamua kuanzisha kilimo cha Korosho Manyoni - Singida. Pamoja ukweli kuwa zao hili ni geni maneno hayo na Mimi mwenyewe sijawahi kufanya lakini natumaini had naacha ajira nitakuwa nimejifinza mengi.

Zipo heka 40
View attachment 3149500
S
Inategemea kama ni UALIMU usiache kazi mpatie Mkuu wako ten ya vocha we mbele au mtafutie mwalimu wa kujitolea mpatie kilo we ingia mitini we sasi safi au sio
 
Back
Top Bottom