Nimeamua kubadili dini na kuwa mkristo. Yesu ni Mungu na wayahudi ni wateule wake

Njoo nikuuzie chuo kidogo cha Sala.
Halafu pia nitakufundisha Nota maana Mimi ni mwalimu wa kwaya.

Kumbuka kule kwayani utakutana na mademu wazuri aina aina.
Hizi nyuzi ndizo zisababishazo ban, mimi napita tu mods sija-comment chochote negatively vs dini nyingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…