Nimeamua kujilipua kwenye kilimo, nimeandaa shamba la heka tatu za tikiti na nimepanda

Oh thanks my sister for ur concern lakn kuhusu mtaji wa kuendesha hapana shida

Sent from my HUAWEI P7-L10 using JamiiForums mobile app
 
Mmeahamia mashambani kupiga deal eenh ngoja mwenye chuki ajue kama hajayataifisha mashamba yenu...
 
kwenye kilimo usiweke malengo makubwa hadi ukivuna na kujua soko likoje maana kilimo unaweza bakiza siku 2 uvune mvua inahamia shmabni kwako
 
umelima mkoa gani mkuu
 
Hongera sana kijana,hata mimi ndo niko kwenye hatua za kwanza kabisa za kuandaa shamba ila nategemea kulima kama hekari moja kwa kuanza ili nipate uzoefu maana huku kwetu hayo matunda ni adimu na watu hawaamini kama huku yanastawi,tuendelee kupeana taarifa pale tutakapofikia,asante.
 
Pamoja na kuambiwa wenzio imewatia hasara msimu ulopita lakin kwako bado
 
Kiongoz mbona umeanza na eneo kubwa hvyo......
Binafsi nimeanza na heka moja nafanya majaribio kwanza nione mbivu na mbili

Sent using Jamii Forums mobile app
hatulimi kwa kujaribu wala kwa mazoea... Uthubutu ndio silaha ktk kila jambo unalo litaka liwe... Kila la kheri bro... wewe ni mshindi ktk safari yako... hata ukipata sifuri ni umefanikiwa kwa kuthubutu

wapo wengi walianza kufanya biashara na wakapata hasara hivyo hasara ni sehemu ya biashara.... kama hutaki hasara kaa na pesa zako mfukoni usiziweke ktk mzunguko kwa kuofia kupata hasara

ukipata mrejesho hasi ndipo sehemu ya kujifunza ili usirudie pale ulipokuwa...
 
Swali kwako, ni kwanini unaona hizi fikra zako ni sahihi mpaka unafikia hatua ya kusema elimu yake haijamsaidia?

sent from tekno ya shilingi elfu saba na mia tano.
 
Pambana mwanaume na huu ndio wakati muafaka wa kufanya kilimo cha matikiti maji kwa maana wenye ubavu ni wachache na upatikanaji sokoni umepungua kwa hiyo suala la soko usiwaze kabisa!

sent from tekno ya shilingi elfu saba na mia tano.
 
Swali kwako, ni kwanini unaona hizi fikra zako ni sahihi mpaka unafikia hatua ya kusema elimu yake haijamsaidia?

sent from tekno ya shilingi elfu saba na mia tano.
Mbona nimetoa sababu hapo tayari, nimesema kama mtaji wake wa fedha ni limited sio smart ku venture zote kwenye kitu hajawahi fanya...
 
Usitusahau ukifika kwa babako!!! Mwaka jana nilianzisha biasha kwa gharama kama 28M hivi na malengo yangu pia prediction nilijua mpaka September mwaka huu nitakuwa naingiza 7 to 8M kwa mwezi.... Pamoja na jitihada na kutumia wataalam sitapata hata shiringi mwaka huu yaani ikibidi labda march 2018. Nikushauri usimsahau yule mhenga aliyesema "Jitihada haiondoi kudura" endelea kufanya kazi na kumuomba mwenye dunia yake
 
unasema utapata 16m (kiwango cha chini), utatumia mtaji kiasi gan? umefanya reseach muda wa kuvuna sokoni kutakuwaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…