Nimeamua kujitoa CHADEMA rasmi kutokana na Mdude, najuta kumchangia

Kumbe huna uhakika UNASEMA pengine
 
Wewe kwako msimamo ni kushikamana na mwanasiasa kwa lolote lile. Leo akisema maendeleo hayana chama, sawa, kesho ukisema mkichagua mpinzani sileti maendeleo, hewala!
msimamo kwa mwanasiasa inategemea anasema nini na anafanya nini.kama angesema hayo halafu atekeleze ningekwarizana naye.
Ndio maana uliweza kushikamana na Jiwe kikamilifu katika mikingamo yake yote hadi mwisho.
na nitaendelea kusimamia itikadi zake.
ishu sio jina ni itikadi,huenda tunafanana.
Watu wanaojitambua wanakuwa na wewe ukiongea na kufanya point
umeamua kuwaita wanaojitambua sababu nawewe ndio msimamo wako,kila binaadamu anajitambua ndio sababu wengine hawataki kuendeshwa na mitizamo ya kijinga.kukosoa masaa yote.
. Ukizingua wanakupasha ukweli. Hawakushabikii. Huko ndio kujua unataka nini. Mama asitegemee kuungwa mkono akileta mambo ya mwendazake.
aliishasema yeye na mwendazake ni kitu kimoja,lakini sababu nyinyi ni kama vumbi,mnafata upepo alipomkamata sabaya mkaanza kukata viuno kwamba haki imekuwa huru.

kukosa msimamo sio sifa ya mtu anayejitambua.
 

Pole sana kamanda wangu...ni heri umejitoa ubaki kama mimi nisiye na chama...siasa ni mchezo mchafu sana...huyo mdude hafai hata kuwa balozi wa nyumba 10...na ambao wanamuunga mkono hawafai kulitumikia chama...
 
Na mimi najitoa hawako sirious, halafu wamesahau upinzani sio uadui, mama anastahili pongezi! Nataka niwaambie Mbowe, mnatuchanganya,
 
ujitoe mara ngapi? kwendraaaaaaa
 
Tangu lini CHADEMA ikawa na wanachama wapumbavu kama wewe!

Kwenda zako wee mataga!
 
Huyu kijana kakosea sana yapaswa aombe msamaha kwa kutenda kosa lake.

Huyu Rais mama SSH hana maneno machafu kabisa kumtamkia maneno machafu ni kutomtendea haki.
Ni kweli. Hakupaswa kusema maneno hayo machafu. Sawa alipata shida huko jela na vyote hivyo. Amesahau kwamba ni huruma na Rais wa sasa imemtoa huko jela. Alipaswa kufanya siasa za haki, siyo matusi
 
angalia nikipindi gani alitoa hili tamko utagunduni ni kipindi cha utawala wa Meko.

mama SSH kwenye hutuba zake za mwanzo aliongea mengi sana moja wapo ni kuomba suluhu ya chuki zilizo jitokeza kipindi cha awamu ya Meko.

mimi naona kwasasa sisi wapinzani wa maccm tuungane tudai na kuipigania katiba mpya .
katiba mpya ndy iwe agenda kuu bila katiba mpya bado tutateswa na viongozi mwenye tabia za kiMeko.
 
Ni kweli. Hakupaswa kusema maneno hayo machafu. Sawa alipata shida huko jela na vyote hivyo. Amesahau kwamba ni huruma na Rais wa sasa imemtoa huko jela. Alipaswa kufanya siasa za haki, siyo matusi
hiyo reaction imetokea kwasababu ya kubambikwa kesi za uongo na serikali ya Jiwe.

ili kuepuka haya yote ni katiba mpya
huruma haiwezi kuongoza nchi bali kupata kiongozi aliye na patikana kwa uchaguzi huru na anaye simamia katiba ya nchi inavyo sema.
 
Umechanga hela ngapi mie binafsi nikurudishie? Acha mambo yako, haki haiombwi.
 
Jina lenyewe Mdude! Yani mkitu flani ambao haueleweki πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mama kweli alikula hasara! Hawa kunguni walitakiwa wabakie stoo za Keko tu mpaka kieleweke!
Nyie ndio wale msiojua haki zenu. Awamu zote: ya kwanza hadi ya nne tulikuwa tuna uhuru fulani na haki ilikuwepo,wewe huoni tofauti mwenzetu?
 
Tangu lini CHADEMA ikawa na wanachama wapumbavu kama wewe!

Kwenda zako wee mataga!

Kamanda, kwani ajabu! Mbona viongozi wengi tu wamekisaliti chama, na kuhamia ccm, ACT n.k na hatukutegemea kama watafanya hivyo...kwahiyo sio wa kumlaumu kimsboy, huo ni uamuzi wake na haki yake pia...

Binafsi sina chama...lakini kwa maneno aliyoyasema huyo mdude sio sawa, mama akiamua kumtia adabu atakua amekosea! Watakaompinga wataonekana wote wapumbavu...

Napenda kuona haki ikitendeka kote kote...lakini sio kwa style hii mnayotumia, sijajua viongozi wenu wamemtuma kuongea huu upumbavu ama mwenyewe mdude!


Kama ni yeye, basi hafai kuwa kiongozi pale chadema...


Swala la katiba hata mimi naunga mkono ipitishwe, lakini sio kwa style hiyo mnayotumia...
 
Jiwe alikuwa na itikadi gani? Btw huwezi kuwa na itikadi nyingi (ideologies). Itikadi ni mwongozo mkuu kama falsafa vile. Kama kweli livelihood yako inategemea sana kushikamana na kiongozi wa kisiasa naweza kuelewa msimamo wako kwa mtu kama Jiwe. Halafu huku niliko mambo ya kukata viuno hayapo.
 
jiwe itikadi yake ilikuwa ni kazi tu.

sasa humo ndio kuna mambo mengi ndani yake.

kwangu mimi unapodai katiba mpya ukidai ndio chachu ya mendeleo nashindwa kukuelewa,maana sio imani niliyonayo.
 
Atumie sheria na siyo chuki binafsi kama Magufuli!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…