Nimeamua kujitoa CHADEMA rasmi kutokana na Mdude, najuta kumchangia

Wakuu

Naomba hii thread isiunganishwe na mods huu uzi ubaki hapahapa

Siasa ni ustahimilivu na kuvumiliana lakini kutumia maneno makali inategemeana na aina ya mtu

Niwatolee mfano tu mtu kama mwendazake mdude angemjibu hivi ingekua sawa kabisa maana bwana yule naye alikua na maneno ya kashfa na kejeli na lugha chafu haswa

Lakini kwa mama sidhani kama ilikua ni uungwana kumjibu namna hiyo kwasababu uhalisia wa SSH ni mstaarabu sana na ana busara na hekima pia ndani ya siku 100 tu katupa vitu vingi sana tulivyokosa wakati wa bwana yule

Uhuru wa vyombo vya habari, demokrasia na masuala ya kiuchumi kajitahidi si haba

Ila kauli ya ndugu yangu mdude imenifanya nitafakari sana, na kauli ya mbowe pia na hata lissu, waswahili wanasema "ukimkimbiza mjusi sana mwishowe hugeuka nyoka na kukuuma"

Mimi sitaki huyu mama abadilike, wakati mwingine utakayomfanyia mtu inaweza kumbadilisha akawa mtu wa tofauti sitaki huyu mama yetu abadilike awe dikteta naombeni sana tudai haki ila kuangalia ndimi zetu

Mwisho kabisa nimeamua kujitoa chadema kuanzia leo sio mwanachama wa CDM tena wala sio kwamba eti nitaenda CCM hilo kamwe halitotokea nitasimama kuendelea kutetea Haki,uhuru na demokrasia na maendeleo bila kuwa Chadema

Maneno ya mdude yamenifanya niichukie chadema kuanzia leo sitaki hata kuisikia masikioni mwangu

Sikutarajia kama cdm ingebariki kuwa na watu wa ajabu hivi na hili la mdude limewafanya watu wengi kuichukia Chadema na hili linaweza kupelekea kupoteza asilimia 80 ya wanachama wa chadema

Najuta kwanini nilitoa mchango wangu tu maana huyu angebaki tu jela hana adabu kabisa
Leteni risiti zenu nyte mliochanga hivyo vijisenti mrudishiwe na hata mkihama impact yenu ni kiduchu sana
 
Weka namba yako, wakutumie Na pesa yako aisee.

Samia kabadilika lini?.. Wakati kina Heri na Musiba wanatukana watu Mmama alikuwa wap?,, mbona kampa Heri uteuzi?

Kauli yake kuhusu Mbowe kuvunjika na Lissu kupigwa risasi ulisikia?

Halafu uache kumfananisha Shujaa na vitu vyenu hivyo tafadhali sana
 
CDM Bado Wana msifia tu kwahyo tabia, kumbe ndio maana wenye akili huwaona CDM kuwa wavuta bangi.
 
Kusema kweli kutokana na hawa wanachadema wanaosapoti maneno ya mwanachadema mwenzao mdude,nimeanza kuamini Magu alikuwa sahihi jinsi alivyo dili nao.

Kudili na mtu mshenzi inabidi uwe mshenzi zaidi.

Wengine hapa tuliwaunga mkono kwa namna mbali mbali ikiwa ni pamoja na michango,ila kwa hili na kauli za Mbowe na Tundu Lissu, nimeichukia Chadema.

Tungezisikia hizi kauli wakati wa Magu ilikuwa ni sahihi kabisa kutokana na ubabe wake pia.Ila kwa mama Hapana kwa kweli
 
Asikari wetu akipiga risasi tatu akakukosa huyo sio asikari wetu

Kuna mtu anasema eti kapigwa risasi na askari wetu Huyo ni muongo na anachafua askari wetu.

Hii sio kauli mbaya je angekaa kimya bila kuongelea hii issue angepungukiwa na nini? Rais sio malaika na yeye ni sehemu ya

Hii kauli hii kauli naona kondoo anaaunguluma kama simba akiwa anapewa amri na wafalme Simba kuwa aseme hivyo kwani ndio walikuwa wameshikamana na
mfumo mbovu uliopo!!llll
 
Wakuu,

Naomba hii thread isiunganishwe na mods huu uzi ubaki hapahapa.

Siasa ni ustahimilivu na kuvumiliana lakini kutumia maneno makali inategemeana na aina ya mtu.

Niwatolee mfano tu mtu kama mwendazake Mdude angemjibu hivi ingekua sawa kabisa maana bwana yule naye alikua na maneno ya kashfa na kejeli na lugha chafu haswa.

Lakini kwa mama sidhani kama ilikua ni uungwana kumjibu namna hiyo kwasababu uhalisia wa SSH ni mstaarabu sana na ana busara na hekima pia ndani ya siku 100 tu katupa vitu vingi sana tulivyokosa wakati wa bwana yule.

Uhuru wa vyombo vya habari, demokrasia na masuala ya kiuchumi kajitahidi si haba.

Ila kauli ya ndugu yangu mdude imenifanya nitafakari sana, na kauli ya mbowe pia na hata Lissu, waswahili wanasema "ukimkimbiza mjusi sana mwishowe hugeuka nyoka na kukuuma"

Mimi sitaki huyu mama abadilike, wakati mwingine utakayomfanyia mtu inaweza kumbadilisha akawa mtu wa tofauti sitaki huyu mama yetu abadilike awe dikteta naombeni sana tudai haki ila kuangalia ndimi zetu.

Mwisho kabisa nimeamua kujitoa Chadema kuanzia leo sio mwanachama wa CDM tena wala sio kwamba eti nitaenda CCM hilo kamwe halitotokea nitasimama kuendelea kutetea Haki,uhuru na demokrasia na maendeleo bila kuwa Chadema.

Maneno ya mdude yamenifanya niichukie chadema kuanzia leo sitaki hata kuisikia masikioni mwangu.

Sikutarajia kama Chadema ingebariki kuwa na watu wa ajabu hivi na hili la mdude limewafanya watu wengi kuichukia Chadema na hili linaweza kupelekea kupoteza asilimia 80 ya wanachama wa Chadema.

Najuta kwanini nilitoa mchango wangu tu maana huyu angebaki tu jela hana adabu kabisa.
Wewe mccm lialia nani asiyejua?
 
Binafsi Magu nitamkumbuka sana kwa hili,wapuuzi kama hawa alikua hacheki nao,wali deserve kabisa kupasuliwa yai..mbaya zaidi walishamuharibu jela lakini ile michango ya ma zamwamwa wenzake imemtia kiburi.
 
Wakuu,

Naomba hii thread isiunganishwe na mods huu uzi ubaki hapahapa.

Siasa ni ustahimilivu na kuvumiliana lakini kutumia maneno makali inategemeana na aina ya mtu.

Niwatolee mfano tu mtu kama mwendazake Mdude angemjibu hivi ingekua sawa kabisa maana bwana yule naye alikua na maneno ya kashfa na kejeli na lugha chafu haswa.

Lakini kwa mama sidhani kama ilikua ni uungwana kumjibu namna hiyo kwasababu uhalisia wa SSH ni mstaarabu sana na ana busara na hekima pia ndani ya siku 100 tu katupa vitu vingi sana tulivyokosa wakati wa bwana yule.

Uhuru wa vyombo vya habari, demokrasia na masuala ya kiuchumi kajitahidi si haba.

Ila kauli ya ndugu yangu mdude imenifanya nitafakari sana, na kauli ya mbowe pia na hata Lissu, waswahili wanasema "ukimkimbiza mjusi sana mwishowe hugeuka nyoka na kukuuma"

Mimi sitaki huyu mama abadilike maana miaka 6 ya mwendazake tumeteseka sana, wakati mwingine utakayomfanyia mtu inaweza kumbadilisha akawa mtu wa tofauti sitaki huyu mama yetu abadilike awe dikteta naombeni sana tudai haki ila kuangalia ndimi zetu.

Mwisho kabisa nimeamua kujitoa Chadema kuanzia leo sio mwanachama wa CDM tena wala sio kwamba eti nitaenda CCM hilo kamwe halitotokea nitasimama kuendelea kutetea Haki,uhuru na demokrasia na maendeleo bila kuwa Chadema.

Maneno ya mdude yamenifanya niichukie chadema kuanzia leo sitaki hata kuisikia masikioni mwangu.

Sikutarajia kama Chadema ingebariki kuwa na watu wa ajabu hivi na hili la mdude limewafanya watu wengi kuichukia Chadema na hili linaweza kupelekea kupoteza asilimia 80 ya wanachama wa Chadema.

Najuta kwanini nilitoa mchango wangu tu maana huyu angebaki tu jela hana adabu kabisa.
Toa ujinga wako wewe, huna unachojua wewe mamluki. Ulitaka tuwalambe miguu?
 
Mdude ni mbwa
 
Kwa hiyo umekimbia chadema umekimbilia huku?Itakuwa ni mental case!
5tfvce11.png
 
Kwani mdude anatofauti gani na akina lusinde, lijualikali, msukuma na yule bwana aliyekua mbunge wa ulanga nadhani
 
mama ni mama,akianza kuongea lugha za mwendazake kwa vitendo msijetafuta mchawi.

ndio maana sisi huwa tunawaita nyinyi ni wanafiki,maana ukweli ni kwamba hamjui kipi mnataka.

sasa hivi nina uhakika mama anajutia maamuzi ya kumwachia huyo pangahewa.
Tizama walotumia busara wanazeeka vizuri Mwinyi, Kikwete etc walotumia migasira na jazba sijui wakowapi?! Uongozi sio lelemama ni uvumilivu,uchapakazi na busara
 
Tizama walotumia busara wanazeeka vizuri mwinyi,kikwete etc walotumia migasira na jazba sijui wakowapi?! Uongozi sio lelemama ni uvumilivu,uchapakazi na busara
haipaswi kuutumia vibaya huo sio wajibu,ni hulka ya mtu.
 
Back
Top Bottom