Nimeamua kujitoa CHADEMA rasmi kutokana na Mdude, najuta kumchangia

Hujawahi kuwa CHADEMA wewe chawa. Tupe utambulisho wako!
 
Je kusingiziwa kesi ni sawa? Acha unafiki wa kipimbi
 

[emoji120][emoji120][emoji120]
 
Mleta mada njoo PM nikurudishie pesa yako uliyomchangia.

Usituchoshe na utoto wako humu.
 
Njoo kwenye chaama langu chama lisilofungamana na upande wowote.. Kwetu nyeusi ni nyeusi tu hatuipambi kuwa ni imekoza koza imekolea, eti kisa kafanya mwenzetu, hatusemi nyeupe kuwa nyeusi rti kisa aliyefanya ni mpinzani.

Kuwa mwanachama wa chama fulani inahitaji moyo wa chuma na kujitoa ufahamu.
 
Emu tupigie picha ya kadi yako ya CHADEMA tuone ili tuhakiki maneno yako.
Acha unafiki! Muongo mkubwa wewe! No one should be bigger than the party. If so, there’s a big weakness! Unaleta za ki “Trump”. Mtu mmoja eti ndiye anayekufanya uongee hivi? As if chama ni one individual? Ndiyo maana hamjui umuhimu wa katiba mpya. You’re so much into people.
 
Bado hajaonyesha chuki lakini kuna watu wanamjaza upepo kuwa Mdude amemtusi kwa kusema "atamnyoa", hivyo wanamshawishi amuweke ndani! Sasa kusema nitakunyoa ni tusi?

Hilo neno "Nitakunyoa" sio neno zuri la kumwambia mtu..isitoshe huyo ni Raisi wake/Mwanamke, alafu linaume zima na madevu yake linamtolea maneno mabaya huyu mama! Na isitoshe mama kaonyesha huruma ya kumtoa jela, na msamaha wa faini umerudishwa(350) Ebu chukulia mfano mbunge wa ccm/Act amwambie mbowe hilo neno atajisikiaje!!

Hapo raisi yeye na huruma yake tu, kumsamehe ama kumrudisha lumande akapate adabu kidogo...


Mimi sina chama, napenda haki pande zote...
 
Kwenye Chadema wote wana akili kama Mdude ndio maana wanamtetea. Heri yako wewe uliyejitoa maana ulikuwa mamba kwenye msafara wa kenge!!!
 
...maamuzi ya nini afanywe mdude kwa wakati upi anayo mama mwenyewe.
Duh, kwa hiyo haki ya kuishi kwa Watanzania watakaomkosoa yako mikononi mwa mama! Taratibu ukweli unaanza kujulikana kuwa mhusika mkuu katika uundwaji wa jeshi la wasiojulikana alikuwa mwenyekiti wa CCM ...RIP Ben Saanane!
 
Duh, kwa hiyo haki ya kuishi kwa Watanzania watakaomkosoa yako mikononi mwa mama! Taratibu ukweli unaanza kujulikana kuwa mhusika mkuu katika uundwaji wa jeshi la wasiojulikana alikuwa mwenyekiti wa CCM ...RIP Ben Saanane!
dhamana ya rais ni kubwa mno,hata akisema tz tunaingia lockdown na umasikini huu,katuua tayari.

lakini sababu mnachagua mambo ya kutafakari mnaiona mamlaka ya rais kuwa hatari kwenye kuamua hatma ya vichaa peke yake.
 
Umefanya vizuri maana huna mwelekeo. Chama siyo Mdude. Kuna njemba mmoja alihama Kanisa Katoliki baada ya kusikia maoni ya watu kwamba Papa Francis anaunga mkono ndoa za jinsia moja. Mtakumbuka kuna vyombo vingi vya habari viliripoti sana kuhusu kauli yake alipoulizwa maoni yake kuhusu mashoga (ambao pia baadhi yao ni waumini wa Kanisa Katoliki). Huyo njemba kwa vile namfahamu akaniambia kwamba amehamia KKT kwa sababu amesikitishwa na msimamo wa Papa Francis kuhusu 'homosexuals'. Nikamwuliza ulisikia Papa mwenyewe au umesoma maoni ya watu kuhusu issue aliyoizungumza? Akasema alisikia maoni ya watu. Nikamwuliza tena, unajuaje kwamba hayo maoni ya watu ndiyo mawazo ya Papa? Akasema 'hawawezi kumsingizia'. Nikamwuliza tena, 'wewe hujawahi kusingiziwa kitu'? Akasema, 'alishawahi kusingiziwa.' Nikamwuliza tena, 'sasa ni jambo gani jipya kuhusu kusingiziwa'? Mwishowe nikwambwambia kuwa hana imani kama katika umri wake bado anajiunga na kanisa kwa sababu ya kiongozi wa kanisa na siyo imani yake kwa Mungu. Nikaongeza kwamba hata kama Papa angeunga mkono ushoga, bado siyo sababu kwangu kuacha kanisa kwa sababu hata yeye anajitahidi kutafuta wokovu kama mimi na akishindwa siyo lazima mimi nishindwe pia. Kwa hiyo, hata wewe kuondoka Chadema kwa sababu ya mtu mmoja inaonekana ulikuwa kwenye chama kwa ajili yake. Nadhani hata angepatikana na hatia akafungwa ungeondoka pia. Kwa baadaye ukitaka kujiunga tena na chama chochote, jiunge kwa kupima sera zake na siyo mwanachama gani yumo ndani ya chama hicho. Kuna watu walijiunga na Chadema kwa Sababu Lowassa alijiunga na Chadema na aliporudi CCM nao wakaondoka na kurudi CCM. Wewe hauna tofauti na wao. pole sana!
 
dhamana ya rais ni kubwa mno,hata akisema tz tunaingia lockdown na umasikini huu,katuua tayari.
lakini sababu mnachagua mambo ya kutafakari mnaiona mamlaka ya rais kuwa hatari kwenye kuamua hatma ya vichaa peke yake.
Labda kweli, wapo watu wanasubiri tu kauli ya Rais wafanye uhalifu hata ikibidi kuwateka, kuwatesa, kuwakatakata, kuwamiminia risasi na kuwapoteza wakaothubutu kumkosoa...

Your browser is not able to display this video.


"Sema tu mama, tupe ruhusa tuwashughulikie," Jeshi la wasiojulikana aka UVCCM!
 
Nani amekatalia katiba na lini mama amesema hataki katiba mpya? Tatizo kuna watu wanajifanya wanauwezo wa kulazimisha mambo wakati uwezo huo hawana
 
Kwani ulijiunga CHADEMA kwa sababu ya Mdude ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…