Nasema Uongo Ndugu Zangu
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 279
- 779
Uje tu na hako kasura kako katamu laah, ngoja nitandike kitanda kabisa.Una kichaa weee? Au unataka kulaliwa wee???
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uje tu na hako kasura kako katamu laah, ngoja nitandike kitanda kabisa.Una kichaa weee? Au unataka kulaliwa wee???
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umefua nguo yako ya ndani?Tuliwaambia kuhusu 20 b ni makaratasi mkabisha, hakuna bank yoyote Kwa apa Tanzania iliyowekwa iyo 20 b. Tukawaambia kuhusu mkataba 26 b ni chupri, mkataba halisi 12.5 b Kwa 5yrs mkabisha, Likaja la Manzoki kuwa Simba ni Chupri mkabisha, limekuja la Jezi mnabisha. Sasa tuendelee kusubiri kwakua uongo unakasi ya kufika Kwa watu na ukweli upo taratibu.
Tuendelee kusubiri ni swala la muda yote yata dhihirika Hadharani.
Yaani watu wengine hawana hata hela ya kununua jezi lakini wanalazimika jezi hakunaHapa tumeshafeli kwa jinsi walivyoniudhi hata Simba day siendi hata wakitoa sababu milioni moja mimi siwezi kuwaelewa kwenye suala la jezi hapa tukubali Simba mwaka huu kwenye jezi tumefeli vibaya sana inaniuma sana wangekuwa karibu ningepiga makofi viongozi wote tunafanyaje mambo kienyeji kama utopolo?
Wee nawe unaongea nini mbona hueleweki embu fafanua vizuri ili watu waeleweYaani watu wengine hawana hata hela ya kununua jezi lakini wanalazimika jezi hakuna
Mashabiki wa UTO nao wanalazimika jezi za Simba hakuna
Na wewe ukaamua umtukane😂😂Mimi sijaja kuchangia chochote kinachohusu mada maana sitabadili chochote kuhusu swala la jezi
Huyu jamaa anashindwa kuelewa kwamba jf inafatiliwa na watu kibao.Hawezi kujenga Hoja bila matusi? Tena matusi mazito
Unapataje ujasiri wa kumwambia mtu "mamaako alipokutapika leba"????? "Nazijua Kona zote za * wa mamaako!!"
Amezidi asee.Huu ni zaidi ya udhalilishaji
Chupli chupli fc watapita kimya kimya hapa.Anaandika Shafii Dauda
Kuna dunia ambayo Simba wanaishi, ni dunia ambayo wanaamini hakuna makosa, wanaamini ni wakubwa, wanaamini kila kitu kinachofanyika ni sahihi sana
Hata pale ambapo wameharibu watahitaji kupamba na kuonekana hawajaharibu, hata pale watapopaswa kuambiwa maneno machungu ya ukweli watahitaji nyimbo za mapambio
Siku chache zimesalia kuelekea Ngao ya Jamii hawana jezi mpya, masaa yamesalia kuelekea Simba Day hawana jezi mpya, lakini ndio klabu hii ambayo tunalazimishana kuiita kubwa, klabu yenye weledi? Excuse me
CEO kama Mtendaji wa klabu you are in for this, suala la jezi sio option ni lazima, suala la merchandise ni compulsory na linafahamika, inatia ukakasi kwa namna mnavyoyaendea mambo, inafikirisha sana
DIGALA siwezi kukubali kuwa kwenye dunia ya praise and worship, sio dunia nzuri ya kuficha makosa na kuonekana mema, sio dunia nzuri mambo yakienda mrama watu wasake namna ya kujificha sio sawa na hii ni AIBU
Kwa Shabiki wa Simba anayejua mpira na kuelewa maana ya biashara anafahamu kuwa hili mmeharibu, lakini kwa Shabiki yule oya oya tu ataona DIGALA nachonga, ataona Digala ana nongwa ila in details nawapa dawa ya kuwaponya
Kwakuwa hili mmeshaharibu sio vyema msimu wa 2023/24 mkarudia tena makosa, hakuna excuse kwa matukio ambayo yana time frame, hakuna excuse ya Mdhamini wala usafiri, jezi sio suala la bahati mbaya
Hakuna wimbo wa maana utakaotungwa kuepusha aibu hii, hakuna wimbo utatungwa kuepusha kadhia hii, ndio ni klabu maarufu sasa pambaneni kuusaka UKUBWA, ukubwa una details zake, ukubwa una indicators zake, BADILIKENI
DIGALA naamini mpira ni darasa kubwa, utawala ni darasa kubwa, muda wa kuendelea kujifunza upo na naamini tukae darasani kama Wanafunzi watiifu na sio Walimu wakorofi
DIGALA
"uongo hauna miguu ila scendo zinapaa"by Fid qTuliwaambia kuhusu 20 b ni makaratasi mkabisha, hakuna bank yoyote Kwa apa Tanzania iliyowekwa iyo 20 b. Tukawaambia kuhusu mkataba 26 b ni chupri, mkataba halisi 12.5 b Kwa 5yrs mkabisha, Likaja la Manzoki kuwa Simba ni Chupri mkabisha, limekuja la Jezi mnabisha. Sasa tuendelee kusubiri kwakua uongo unakasi ya kufika Kwa watu na ukweli upo taratibu.
Tuendelee kusubiri ni swala la muda yote yata dhihirika Hadharani.
Mikia wana siri sana.Kumbe wanacheza kifua wazi na hamsemi? Daah 😂😂
HV Kat ya tra na tpa Nani mwenye nguvu ya kuzuia mzigo usitoke bandarini mnk inaonesha ujui lolote kuhusu bamdari na tarattibu zake wa kuclear mzigo hujui nakumbiaa na Kama unajuwa toa jinsi ganu ya kuckear mzigo utokeMzigo umekuja na Meli na siyo kwa Bung'o ( Ndege ) kama ambavyo Msemaji wa Simba SC Ahmed Ally anavyotudanganya.
Ukweli ni kwamba Kit Supplier wetu Fred Ngajilo 'Vunja Bei' alikuwa na Ukaribu wa Kisamjo Samjo ( Ujanja Ujanja ) na aliyekuwa Boss wa TPA ( aliyeondolewa ) hivi karibuni ( ambaye pia ni mwana Simba SC ) na alipanga Kuingiza Mzigo ( Jezi ) bila kulipa kabisa Kodi au kutoa Kodi Kiduchu tu.
Ukweli ni kwamba Jezi zimekwama Bandarini na Boss Mpya wa TPA 'amekaza' na anataka Kodi ya Serikali ilipwe vinginevyo hazitatoka na huenda Wachezaji wa Simba SC Keshokutwa ( katika Simba Day ) wakacheza Vidali Poo ( Vifua Wazi ) dhidi ya St. George FC ya Ethiopia.
Mmenikera GENTAMYCINE na Kunidanganya kuhusu Usajili wa Mshambuliaji ninayemhitaji zaidi Simba SC Manzoki na kufanya 'Nikeshe' leo kama 'Popo' na sasa 'Nawaanikeni' rasmi.
unadhani kwann?Mikia wana siri sana.
Yani mnadhani huu ni utawala Mzee Mwinyi?Kwahiyo jezi zipo ila ziko bandarini,Fredy anakwa wapi kuchonga na akina Kasimu Majaliwa zikaachiwa
Procedure za kutowa mzigo ni hizi.HV Kat ya tra na tpa Nani mwenye nguvu ya kuzuia mzigo usitoke bandarini mnk inaonesha ujui lolote kuhusu bamdari na tarattibu zake wa kuclear mzigo hujui nakumbiaa na Kama unajuwa toa jinsi ganu ya kuckear mzigo utoke
Acah kudanganya ummma kuwaboss mpy wa tpa kagoma kutoa mzigo
Hivi nyie mazuzu nani aliewaloga?Mkataba wa sportpesa umeisha katambo sana kabla ligi haija isha Barbra alidhibitisha hilo na ilikua inafahamika kua hautoongezwa labda kama kuna issue nyingine ila sio mdhamini
Mbona hapo TPA kama anahusika tena wamwisho . Au waliosoma mambo ya shipping hamtueleweshi vizurProcedure za kutowa mzigo ni hizi.
• Bill of loading
• C& F
• Tax
• Shipping line
• Port chargers
Sikuachi hata kama ukiwa certified popoma.Mwanzo ulisema ( ulidanganya ) tena kwa Kubisha kuwa Simba SC ilikuwa haijui kuwa itaachana na Sport Pesa na kwamba imejua tu hivi karibuni.
Haya jana tu Msemaji wa Simba SC Ahmed Ally alipokuwa Wasafi FM akihojiwa na Yusuf Mkule kwa Kinywa chake akiwa na uhakika alisema ( alikiri ) kuwa Simba SC ndani ya Mwaka Mmoja ilikuwa inajua kuwa itaachana na Sport Pesa.
Swali Kuntu je, tukuamini Wewe Juha ( Moron ) na Taahira ( Mental ) Mwandamizi au tuendelee Kuiamini Sauti ya Klabu yetu Simba SC Ahmed Ally?
Nikikudharau / Nikiwadharau Kutwa hapa na kuwaambieni kuwa hamna Akili mnabisha na hata Kukasirika pia wakati kumbe kwa 100% huwa nakuwa sahihi mno.