Nimeamua Kukisanua: Hii ndiyo sababu ya Jezi za Simba SC kutozinduliwa hadi leo

Jibu lako.....

Kwa Taasisi ( Corporate ) inayojitambua ( siyo Simba SC yako ) ikijua kuwa itaachana na Kampuni X basi huwa tayari inajua itakuwa na nani ila kwa Waswahili na Nuts wa Simba SC tulichokifanya ni kuachana na Sport Pesa na Kubandua Nembo yao kwa Kucha za CEO Barbara Gonzalez na Ulimi wa Msemaji Ahmed Ally na kuweka kwa Juu Nembo ya Mbet.

Ni kweli kabisa hujakosea kwani hata Kona Kona nyingi kama Barabara ya Mto Wami zilizoko katika 'Mbunye' yako hiyo nazo nazijua zote hata kwa Kufumba Macho.
Unabwabwaja tu, rudia kusoma maelezo yangu uelewe.

Hiyo taasisi "inayojitambua" huwa haina unforeseen circumstances?

Wewe ni mjinga usie na kitu kichwani zaidi ya mitusi.
 
Mbona hapo TPA kama anahusika tena wamwisho . Au waliosoma mambo ya shipping hamtueleweshi vizur
TPA lazima ahusike, na hapo kwenye bill of loading TRA ndio wanapokuaccess ulipe kodi kiasi gani.

Kwq ninavyojuwa mimi hata huyo Fred Vunja bei unaweza kukuta hana tatizo ila inategemea kazi ya Clearing alimpa nani, kuna vijana hapa mjini hawaogopi pesa ya mtu.

Ndio maana makampuni makubwa yataendelea kudumu maana hayana longolongo ila sisi tunaotaka kuinuwana na briefcase company mwishowe haya ndio madhara yake.

Maana ieleweke ukishampa clearing agent documents mambo yote anafanya yeye na uzuri sasa hivi ni kwa control number sasa sijui what's is not happening?
 
Mzigo umekuja na Meli na siyo kwa Bung'o ( Ndege ) kama ambavyo Msemaji wa Simba SC Ahmed Ally anavyotudanganya.

Ukweli ni kwamba Kit Supplier wetu Fred Ngajilo 'Vunja Bei' alikuwa na Ukaribu wa Kisamjo Samjo ( Ujanja Ujanja ) na aliyekuwa Boss wa TPA ( aliyeondolewa ) hivi karibuni ( ambaye pia ni mwana Simba SC ) na alipanga Kuingiza Mzigo ( Jezi ) bila kulipa kabisa Kodi au kutoa Kodi Kiduchu tu.

Ukweli ni kwamba Jezi zimekwama Bandarini na Boss Mpya wa TPA 'amekaza' na anataka Kodi ya Serikali ilipwe vinginevyo hazitatoka na huenda Wachezaji wa Simba SC Keshokutwa ( katika Simba Day ) wakacheza Vidali Poo ( Vifua Wazi ) dhidi ya St. George FC ya Ethiopia.

Mmenikera GENTAMYCINE na Kunidanganya kuhusu Usajili wa Mshambuliaji ninayemhitaji zaidi Simba SC Manzoki na kufanya 'Nikeshe' leo kama 'Popo' na sasa 'Nawaanikeni' rasmi.
Inasemekana hizi jezi zilikuwa na rangi za Utopolo. Zikarudishwa faster.
 
Kumbe ndo hivo mimi nikajua vinginevyo
 
Sikuachi hata kama ukiwa certified popoma.

Lazima utambue, mazungumzo ya mkataba yanafanyika wakati wowote na mtu yeyote anayetaka kuidhamini klabu, hata kama Ahmed Ally alisema hawataongeza mkataba na Sportpesa.

Hiyo haikuwa sababu ya Simba SC kuwafungia milango Sportpesa, bado walikaribishwa wakati wowote kama wangeongeza mzigo, na mazungumzo yakawepo; popoma haya mambo yako nje ya uwezo wako wa kufikiri, una mikelele tu kama chizi mlevi.

Hiyo sababu yako ya kipuuzi kwamba Vunjabei alitaka kukwepa kodi unajitungia tu, kwasababu unajua hao wajinga wako 115 uliowafungasha akili hawatakuuliza.

Ni mjinga tu atakaeamini taasisi kubwa kama Simba SC, yenye watu kila mahali, ishindwe kukomboa mzigo wake bandarini zaidi ya mwezi kisa inadaiwa kodi.

Haya tuambie, hiyo kodi anayodaiwa Vunjabei ni kiasi gani utupe na ushahidi sio ujitungie namba tu kama kawaida ya upopoma wako.
Chuo Kikuu ulichosoma hakufundishwa kufanya Summarization na kuepuka Verbosity katika Somo la Communication Skills?

Ungesoma SAUT Mwanza usingekuwa Mpumbavu ( Popoma ) hivi kwani huna Hoja na unaandika Kitu kile kile kama Mwendawazimu ( Mental ) fulani hivi.

au hujasoma na Wewe ni just a Lumpen?
 
Unabwabwaja tu, rudia kusoma maelezo yangu uelewe.

Hiyo taasisi "inayojitambua" huwa haina unforeseen circumstances?

Wewe ni mjinga usie na kitu kichwani zaidi ya mitusi.
Funza ( Jiggers ) waliojazana Ubongoni mwako wameshaisha? Hebu hakikisha unawatoa Wote Kwanza ndipo uje upambane na MImi 'Brainiac' wa Kizanaki ( Mara Tanzania ), Kitutsi ( Gisenyi Rwanda ) na Kimakuwa ( Mtwara Tanzania ) sawa?
 
Mzigo umekuja na Meli na siyo kwa Bung'o ( Ndege ) kama ambavyo Msemaji wa Simba SC Ahmed Ally anavyotudanganya.

Ukweli ni kwamba Kit Supplier wetu Fred Ngajilo 'Vunja Bei' alikuwa na Ukaribu wa Kisamjo Samjo ( Ujanja Ujanja ) na aliyekuwa Boss wa TPA ( aliyeondolewa ) hivi karibuni ( ambaye pia ni mwana Simba SC ) na alipanga Kuingiza Mzigo ( Jezi ) bila kulipa kabisa Kodi au kutoa Kodi Kiduchu tu.

Ukweli ni kwamba Jezi zimekwama Bandarini na Boss Mpya wa TPA 'amekaza' na anataka Kodi ya Serikali ilipwe vinginevyo hazitatoka na huenda Wachezaji wa Simba SC Keshokutwa ( katika Simba Day ) wakacheza Vidali Poo ( Vifua Wazi ) dhidi ya St. George FC ya Ethiopia.

Mmenikera GENTAMYCINE na Kunidanganya kuhusu Usajili wa Mshambuliaji ninayemhitaji zaidi Simba SC Manzoki na kufanya 'Nikeshe' leo kama 'Popo' na sasa 'Nawaanikeni' rasmi.
Kwamba Fred hawezi kulipa kodi
 
Kwamba Fred hawezi kulipa kodi
Hela atoe wapi wakati hata tu Pesa ya Kuidhamini Simba SC kama Kit Supplier alipewa na Mo Dewji Ili tu yule wa mwanzo asiwepo tena?

Acheni Kunilazimisha nitoe SIRI sawa?
 
Timu kubwa mpaka sasa haija tambulisha jezi hii ni aibu tu kubalini, manake hata mashabiki ile hamu hawana tena ya jezi mpya.
 
Mzigo umekuja na Meli na siyo kwa Bung'o ( Ndege ) kama ambavyo Msemaji wa Simba SC Ahmed Ally anavyotudanganya.

Ukweli ni kwamba Kit Supplier wetu Fred Ngajilo 'Vunja Bei' alikuwa na Ukaribu wa Kisamjo Samjo ( Ujanja Ujanja ) na aliyekuwa Boss wa TPA ( aliyeondolewa ) hivi karibuni ( ambaye pia ni mwana Simba SC ) na alipanga Kuingiza Mzigo ( Jezi ) bila kulipa kabisa Kodi au kutoa Kodi Kiduchu tu.

Ukweli ni kwamba Jezi zimekwama Bandarini na Boss Mpya wa TPA 'amekaza' na anataka Kodi ya Serikali ilipwe vinginevyo hazitatoka na huenda Wachezaji wa Simba SC Keshokutwa ( katika Simba Day ) wakacheza Vidali Poo ( Vifua Wazi ) dhidi ya St. George FC ya Ethiopia.

Mmenikera GENTAMYCINE na Kunidanganya kuhusu Usajili wa Mshambuliaji ninayemhitaji zaidi Simba SC Manzoki na kufanya 'Nikeshe' leo kama 'Popo' na sasa 'Nawaanikeni' rasmi.
Wewe ni popoma zaidi ya Civilian Coin
 
Mpuuzi in wewe ambaye unaonekana elimu haijakukomboa
Wewe iliyokukomboa mbona huoni Aibu Kubanduliwa hovyo? au Elimu Kubwa uliyonayo ilikuwa na Kipengele na Kubanduliwa hivyo Unakidumisha Kiuweledi?
 
Back
Top Bottom