Job Richard
JF-Expert Member
- Feb 8, 2013
- 3,876
- 2,190
Mrejesho wadau.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mrejesho wadau.
JF
Hali ya uchumi ni ngumu sana kwa watu wote hasa tunategemea mwisho wa mwezi. Weekend nilijaribu kupiga hesabu za mishahara yangu in next 10 years....ooooooooooops hazikufika hata 500millions Tshs.
Kwa maneno mengine kama sintantafuta kitu mbadala mbali na mshahara wangu cha kufanya basi nishakufa maskini na sintakuwa na chochote cha kuwaachia wanangu.
Maisha ni magumu sana kadri siku zinavyoenda mbele, sasa nimeamua kuanza kilimo kwa mara ya pili, awamu hii natumia mshahara wangu kama mtaji, nimewaambia kwa mara ya pili sababu kilimo cha kwanza nilifanya pamoja na wazazi wangu hadi nilipomaliza form four miaka hiyo, hicho hakikuwa na manufaa yeyote sababu ya mtaji na ufahamu.
Kwa sasa nimeanza na heka 50 ( 70m by 70m), nipo morogoro - pale Tuliani. Heka zote zimeshalimwa sasa tunapanda - nita expand my project up to 1,000 in next 3 - 5 years.
Makadirioni kwamba kila hekari average ni gunia 30, nitategemea kupata gunia 1500 za mahindi kutokana na hekari zangu za sasa 50. Kila gunia average selling price ni Tshs 60,000. kwa hiyo nitapata average Tshs 90m by July this year.
Running cost itakuwa approx 5m, so super profit ni 85m by July 2010.
Sasa 85m kwa mtu anayepokea sh 1million kwa mwezi ni mshahara wake wa miaka 7 na ushee-- teh teh teh teh
By next year nitaexpand to 200 hektas, nitalipima shamba langu na nijaribu kutafuta mikopo katika mabenki - or mbia toka SA au Zimbabwe. by 2015 wakati Dr Slaa anakuwa Rais wa nchi nitakuwa millionea. Sasa ole wenu mseme nimefanya ufisadi.
This is a challenge to you JF - hasa mnaopata less than 5m per month - think twice and join me.
Kumbuka shairi la darasa la nne - Kama mkitaka mali mtayapata shambani - huu ni wosia.
Mkuu hata mimi nina wazo la kufanya hiki kilimo na nimeanzisha uzi hapa kabla sijauona huu uzi wako kwani maudhui yanafanana kabisa, ingawa mimi nataka kujua gharama za kutandaza mabomba kwa shamba la ekari moja, kama unajua gharama za mabomba naomba nisaidie mkuu.Asante mkuu kwa ushauri,lakini drip irrigation sio kwaajili ya mbogamboga pekee.Drip irrigation ni mfumbo ambao nchi nyingi duniani hutumia kwa sasa kwenye kilimo cha mahindi.
Unaweza tizama mto kama ruvu ukaona yale maji ni mengi sana ila kama kutatokea wakulima wakubwa na wakafanya irrigation kwakutumia mitaro hayo maji hayatotosha.
Niko na utube video za wakulima wakubwa wa mahindi ulaya wanafanya drip irrigation ila cm ninayotumia nashindwa kiweka hapa@dudupori
Inabidi tubadilike kulingana na technology inapoelekea enzi za jembe na bifu za kupigania maji ya miferegi Inabidi kama mtu una uwezo udeal na teknolojia zaidi.Mahindi kwa drip? Mkuu naona unataka tu kupoteza hela bure, kama shamba linafikiwa na maji kwa urahisi bora unyweshe tu kwa kutumia mirereji inakua nzuri zaidi kwa kilimo cha mahindi. Drip ni nzuri kama wataka lima mbogamboga na matunda.....