Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna kilimo cha umwagiliaji kiteto,wanategemea mvua pekee,hapo ni kuomba Mungu tu lakini pia jitahidi upate shamba ambalo bado linarutuba.Mtoto ya Tima hongera sana kilimo kinalipa. Haswa ukikodi hecre nyingi at least kwanzia 50 na kwendelea. Sasa mi shida yangu kiteto yiko kwenye kumwagilia
Samahan Mkuu hivi huko kiteto hakuna kilimo cha umwagiliaj,au mnategemea mvua tu?
chardams nami naulizia kilimo cha umwagiliaji huko kiteto. Tunasubiria majibu. Alafu naona uko vizuri katika ufafanuzi wako. Mungu akuzidishie
Asante kwa ushauli wako mi nimesha anzaa. Ila bado kulimaHapana tunategemea mvua
nilikuwa huko wiki iliyopita mvua ndio zinaanza, ila sishauri kulima wakati huu maana mvua za mwezi wa 12 haziaminiki.
mda mzuri wa kulima ni mwezi wa kwanza mwishoni.
100m kwa 100m ni hekta 1 ambayo ni sawa na ekari 2na nusu ekari ni vipimo vya british system wakati hekta ni metric system. maoni yako ni mazuri sanaUmepata michango ya kukupa moyo mkuu lakini mi nakukumbusha kuwa l hekta =l00m by l00m na sio 70m by 70m. Pili umelenga umwagiliaji au rehema za Mungu kama ni umwagiliji nakupa hongera na kama ni mvua za Mungu basi usijipe matumaini kupitiliza usijeukasema pekee yako barabarani. Kumbuka nguvu ya soko inategemea mahitaji hilo nalo jiandae nalo. Kuna wadudu wanyama na ndege waharibifu nalo pia jiandae.yapo na mengine wanzangu watanisaidia kujazia vinginevyo nakupa HONGERA SANA wasomi wanatakiwa sasa mashambani kuibadili TIIZEEDII YETU
Hivi cwezi ku drill maji kutoka chini kwakutumia motarHakuna kilimo cha umwagiliaji kiteto,wanategemea mvua pekee,hapo ni kuomba Mungu tu lakini pia jitahidi upate shamba ambalo bado linarutuba.
Mwaka juzi kulikua na migogoro ya wakulima na wafugaji,kwakweli kulitokea mauwaji yakutisha na wakulima wengi walishindwa kabisa kwenda kuvuna mazao yao mashambani,
Vita hii ilianzia eneo wanaita Multangosi na kusambaa eneo kubwa mpaka maeneo jirani na mkoa wa dodoma kwani kiteto imepaka na dodoma,baadhi ya maeneo kama Kibaigwa pia vita hii iliathiri.
Ila kwa kwa sasa hali ni shwari,
Kila la heri!
Nafikiri swali lako halijakaa sawa ila nitajibu kwa namna nafikiri umemaanisha;Hivi cwezi ku drill maji kutoka chini kwakutumia motar
Umenijibu vizuri. Maana tulikua tunataka kuchimba kisima kabisa japo inaweza kukost pesa nyingi. Kwahyo kiteto wanaweza hawa jama kufanya kwashingapiNafikiri swali lako halijakaa sawa ila nitajibu kwa namna nafikiri umemaanisha;
Ku drill kisima yapo makampuni yanamitambo maalum,bei zao hu charge kwa mita,bei ya mita moja hutegemeana na mambo mengi kama ugumu wa mwamba wa eneo husika,umbali kutoka ulipo na huko utakapoitoa kampuni ya uchimbaji,
Mfano kwa ndani ya dar es salam yapo ma kampuni yanayochimba mita moja kwa 70,000 lakini kama ni maeneo ya mkoa wa pwani kama kibaha,chalinze,bagamoyo wanachimba kwa 100,000 mpaka 120,000.
Nje ya hapo zipo gharama za water saveying ambazo mara nyingi ni kati ya 400,000 hivi.
Wakimaliza kukuchimbia watakufungia water pump ambayo itahitaji umeme hivyo kama kisima kipo shamba na hakuna umeme basi itakuhitaji generator.
Natumai nimejibu swali lako,
thnx!
Nakushauri kama ni kiteto kampuni ya uchimbaji uchukulie dodoma kwani ni jirani sana na kiteto gharama inaweza kuwa 120000 kwa mita,Umenijibu vizuri. Maana tulikua tunataka kuchimba kisima kabisa japo inaweza kukost pesa nyingi. Kwahyo kiteto wanaweza hawa jama kufanya kwashingapi
Shukurani sana. Nkija tena kiteto ntakutaftaNakushauri kama ni kiteto kampuni ya uchimbaji uchukulie dodoma kwani ni jirani sana na kiteto gharama inaweza kuwa 120000 kwa mita,
Kama lengo ni kilimo na wewe unaishi Dar es salaam nakushauri tafuta mashamba mkoa wa Tanga ama Morogoro napo kwakilimo ni kuzuri sana hivyo itakuwia rahisi kwenye usimamizi wa shughuli zako kwani ni jirani na Dar es salaam.
Ok ni vema lakini ninamuda kidogo sipo huko kutokana na mambo ya kazi zangu zilivyo, ila ni mwenyeji sana kwani nimekua na kusoma huko ni nyumbani, hivyo naweza kushauri kwa kadiri ya kile nafahamu.Shukurani sana. Nkija tena kiteto ntakutafta
Yeah tupo wengi tunaotaka kujua kama ulifanikiwavipi mkuu my mud hii kitu ulifanikiwa?
Tafuta mbegu za hybrid ni nzuri sana zinazaa mahindi mawili mawili, panda mbegu ya muda mfupi nduguSalaam wakuu.
Msimu huu nimeandaa shamba nataka kulima mahindi. Mnisaidie maswali yafuatayo:
1. Nini tofauti ya mbegu za muda mfupi na mrefu kuhusu kiasi cha magunia unayopata kwa eka?
2. Ni mbegu gani nzuri kupanda huku kwetu Iringa ili nipate mavuno makubwa.
3. Naitaji kg ngapi za mbegu kwa kila eka?.
4. Ni dawa gani zinafaa kupandia na bei zake zikoje?
Pia nakaribisha ushauri wowote kuhusu kilimo cha mahindi.
Asanteni