Chariton003
JF-Expert Member
- Jul 18, 2022
- 333
- 905
Kimenuka! Kimeumana!!! Hapo kwa fidia atajuta kukudanganya! Hili liwe fundisho kwa wengine!Habari za zenu wana MMU,
Leo asubuhi nilileta bandiko, kwa mke wangu alinidanganya yeye ni bikra, lakini baada ya ndoa nilikuta hana bikra ni shimo lenye dilatation ya 4cm yani kama ni mjamzito aliyeko kwenye labor unafungua partograph kabisa!
Nimeamua jumatatu ya wiki ijayo naende kumfungulia mashtaka ya ulaghai na udanganyifu! Pia nataka nilipwe fidia ya gharama zote nilizotumia kwake.
Na baada ya hapo nampa talaka, wanawake ni wengi waliohifadhi bikra zao. Ni lazima nioe bikra!
Hata hivyo, nakushauri umsamehe, muishi pamoja mjenge familia bora!
Pole sana na hongera kwa kupata mke! Apataye mke, apata kitu bora!