Nimeamua Kumshtaki Mahakamani Mke Wangu Siku 5 Baada ya Harusi

Habari za zenu wana MMU,

Leo asubuhi nilileta bandiko, kwa mke wangu alinidanganya yeye ni bikra, lakini baada ya ndoa nilikuta hana bikra ni shimo lenye dilatation ya 4cm yani kama ni mjamzito aliyeko kwenye labor unafungua partograph kabisa!

Nimeamua jumatatu ya wiki ijayo naende kumfungulia mashtaka ya ulaghai na udanganyifu! Pia nataka nilipwe fidia ya gharama zote nilizotumia kwake.

Na baada ya hapo nampa talaka, wanawake ni wengi waliohifadhi bikra zao. Ni lazima nioe bikra!
Kuwa ujue maisha mdogo wangu!
 
Ni
Nakumbuka sana Jf ya zamani. Kulikuwa na nyuzi nzuri sana za kuelimisha. Naomba Mello atukusanye wakongwe tuwe na Jf yetu. Ile Jf ilikuwa kisima cha maarifa unapata changamoto unakuja huku na unapewa ushauri aisee I really miss it.
YAANI WEWE ACHA TU SIKUHIZI KUMEJAA 👨‍🔧🧚‍♀️🧚‍♂️👼 VINGI MPAKA WAKONGWE TUNASHINDWA KUINGIA HUMU
 
Habari za zenu wana MMU,

Leo asubuhi nilileta bandiko, kwa mke wangu alinidanganya yeye ni bikra, lakini baada ya ndoa nilikuta hana bikra ni shimo lenye dilatation ya 4cm yani kama ni mjamzito aliyeko kwenye labor unafungua partograph kabisa!

Nimeamua jumatatu ya wiki ijayo naende kumfungulia mashtaka ya ulaghai na udanganyifu! Pia nataka nilipwe fidia ya gharama zote nilizotumia kwake.

Na baada ya hapo nampa talaka, wanawake ni wengi waliohifadhi bikra zao. Ni lazima nioe bikra!
KATAA NDOA kwa AFYA ya akili yako [emoji419]
 
[emoji2960] Ulikuwa wapi sikuzote laaziz wangu....nimejitahidi sana kuitunza mpaka age yangu hii ya 30s ...neno singlemom lisikutishe hilo ni jina kama majina mengine.TeAmo[emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3531][emoji177]
Ata mama Maria mpka Leo ni bikra. [emoji848]
 
Habari za zenu wana MMU,

Leo asubuhi nilileta bandiko, kwa mke wangu alinidanganya yeye ni bikra, lakini baada ya ndoa nilikuta hana bikra ni shimo lenye dilatation ya 4cm yani kama ni mjamzito aliyeko kwenye labor unafungua partograph kabisa!

Nimeamua jumatatu ya wiki ijayo naende kumfungulia mashtaka ya ulaghai na udanganyifu! Pia nataka nilipwe fidia ya gharama zote nilizotumia kwake.

Na baada ya hapo nampa talaka, wanawake ni wengi waliohifadhi bikra zao. Ni lazima nioe bikra!

IMG_7908.jpg
 
Na bikra ulizowah kuzitoa nani azioe?

Anyway umenikumbusha kisa kimoja iv. Jamaa yangu mmoja wakat anataka kuoa akamwambia shangazi yake amtafutie mwanamwari aliyetulia na mwenye hofu ya Jah. Bas shagazi akafanya kazi yake kwa ukamilifu kabisaa binti akapatikana na taratibu za kufahamiana kati ya binti na jamaa zikafanyika. wakati huo jamaa alikuwa akiishi mkoa tofaut na shangazi na binti alikopatikana hivyo ikamlazim jamaa kusafir kwenda huko kumuona huyo kigol.. La haula yule bint alikuwa kigol haswaa na pamoja na kuwa kigol bado alionekana ni mpenda ibada kuliko ilivyo kawaida. Wakat taratib zingine zikiendeleq za kujitambulisha na mambo ya mahar yafuate jamaa akawa anaibia kwa kumuomba bint japo amuonjeshe penzi kidogo tuu bint akawa hataki na kuwa yeye ni bikra na hatothubut kufanya mapenzi kabla ya ndoa.

Siku zikapita, mahari ikalipwa na jamaa akapewa bint aondoke naye.. Ilimbidi jamaa siku hiyo hyo afunge safar na kigol wake mpaka mkoa anakoishi huyu jamaa. Bas ukafika wakat wa jamaa kula tunda na huku akiwa na shauku ya kukata utepe kwa mara ya kwanza... ndipo Shida ilipoanza mara bint anabana sana mapaja, jamaa akigusiha tuu bint anaruka huko akidai kuwa anaumia. Hali iliendelea hvyo na huk bint akilia machozi ya uchungu.. Malaya ni malaya tuu kuna wakat bint alikuwa akijisahau na jamaa anakuta ngoma inadumbukia tuu "dubwiii" Bint akistukia tuu anabana tena mapaja. Jamaa ikabid amwambie bint kuwa ujinga anaofanya hautak na yeye hajamuoa kwa kutaka bikra hivyo atulie.

Kesho kulipokucha kikawa kimbembe.. shangazi wa jamaa anauliza vip huko? Maana wakwe wanataka pesa tsh 600,000/= ya kumtunza bint yao. Jamaa akuliza kiaje? Shangazi akamwambia si huyo binti ni bikra! Maana utamadun wao kuwa bint akiolewa bikra bas kias hicho cha pesa kinatakiwa kulipwa. Hapo ukaibuka mvutano jamaa anasema bint sijamkuta bikra, huk bint anakazana kusema kanikuta bikra na yeye ndio kaitoa bikra yangu... Songombingo iliendelea na bint aliendelea na msimamo wake kuwa ni bikra wakat jamaa hakukuta bikra yoyote.

Mengi yaliendelea ila mwisho ni kuwa jamaa aliamua kumuacha yule bint week moja tuu baad ya kumuoa
Hii situation hata kwa upande wangu nilishakutana nayo ila mm sikufunga ndoa baada ya kukuta binti sio bikra siku hio ndio ilikua mara ya mwisho mm na yeye kukutana,wakati tupo kwenye mahusiano daily nilikua namuuliza una uhakika wewe ni bikra, jibu lake lilikua ni ndio,,
 
Habari za zenu wana MMU,

Leo asubuhi nilileta bandiko, kwa mke wangu alinidanganya yeye ni bikra, lakini baada ya ndoa nilikuta hana bikra ni shimo lenye dilatation ya 4cm yani kama ni mjamzito aliyeko kwenye labor unafungua partograph kabisa!

Nimeamua jumatatu ya wiki ijayo naende kumfungulia mashtaka ya ulaghai na udanganyifu! Pia nataka nilipwe fidia ya gharama zote nilizotumia kwake.

Na baada ya hapo nampa talaka, wanawake ni wengi waliohifadhi bikra zao. Ni lazima nioe bikra!
We tafuta mwenye bikra, ila kumbuka wengine wanatunza bikra kwa gharama za tiGo..!!
 
Habari za zenu wana MMU,

Leo asubuhi nilileta bandiko, kwa mke wangu alinidanganya yeye ni bikra, lakini baada ya ndoa nilikuta hana bikra ni shimo lenye dilatation ya 4cm yani kama ni mjamzito aliyeko kwenye labor unafungua partograph kabisa!

Nimeamua jumatatu ya wiki ijayo naende kumfungulia mashtaka ya ulaghai na udanganyifu! Pia nataka nilipwe fidia ya gharama zote nilizotumia kwake.

Na baada ya hapo nampa talaka, wanawake ni wengi waliohifadhi bikra zao. Ni lazima nioe bikra!
Vipi, ulienda mahakamani kushitaki?
 
Hii situation hata kwa upande wangu nilishakutana nayo ila mm sikufunga ndoa baada ya kukuta binti sio bikra siku hio ndio ilikua mara ya mwisho mm na yeye kukutana,wakati tupo kwenye mahusiano daily nilikua namuuliza una uhakika wewe ni bikra, jibu lake lilikua ni ndio,,
Hahaha... Pole sana mkuu
 
[emoji2960] Ulikuwa wapi sikuzote laaziz wangu....nimejitahidi sana kuitunza mpaka age yangu hii ya 30s ...neno singlemom lisikutishe hilo ni jina kama majina mengine.TeAmo[emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3531][emoji177]
Bk ya pua au?
 
Habari za zenu wana MMU,

Leo asubuhi nilileta bandiko, kwa mke wangu alinidanganya yeye ni bikra, lakini baada ya ndoa nilikuta hana bikra ni shimo lenye dilatation ya 4cm yani kama ni mjamzito aliyeko kwenye labor unafungua partograph kabisa!

Nimeamua jumatatu ya wiki ijayo naende kumfungulia mashtaka ya ulaghai na udanganyifu! Pia nataka nilipwe fidia ya gharama zote nilizotumia kwake.

Na baada ya hapo nampa talaka, wanawake ni wengi waliohifadhi bikra zao. Ni lazima nioe bikra!
Ukishampa talaka nenda kaoe kijijini kwenu
 
Back
Top Bottom