Na bikra ulizowah kuzitoa nani azioe?
Anyway umenikumbusha kisa kimoja iv. Jamaa yangu mmoja wakat anataka kuoa akamwambia shangazi yake amtafutie mwanamwari aliyetulia na mwenye hofu ya Jah. Bas shagazi akafanya kazi yake kwa ukamilifu kabisaa binti akapatikana na taratibu za kufahamiana kati ya binti na jamaa zikafanyika. wakati huo jamaa alikuwa akiishi mkoa tofaut na shangazi na binti alikopatikana hivyo ikamlazim jamaa kusafir kwenda huko kumuona huyo kigol.. La haula yule bint alikuwa kigol haswaa na pamoja na kuwa kigol bado alionekana ni mpenda ibada kuliko ilivyo kawaida. Wakat taratib zingine zikiendeleq za kujitambulisha na mambo ya mahar yafuate jamaa akawa anaibia kwa kumuomba bint japo amuonjeshe penzi kidogo tuu bint akawa hataki na kuwa yeye ni bikra na hatothubut kufanya mapenzi kabla ya ndoa.
Siku zikapita, mahari ikalipwa na jamaa akapewa bint aondoke naye.. Ilimbidi jamaa siku hiyo hyo afunge safar na kigol wake mpaka mkoa anakoishi huyu jamaa. Bas ukafika wakat wa jamaa kula tunda na huku akiwa na shauku ya kukata utepe kwa mara ya kwanza... ndipo Shida ilipoanza mara bint anabana sana mapaja, jamaa akigusiha tuu bint anaruka huko akidai kuwa anaumia. Hali iliendelea hvyo na huk bint akilia machozi ya uchungu.. Malaya ni malaya tuu kuna wakat bint alikuwa akijisahau na jamaa anakuta ngoma inadumbukia tuu "dubwiii" Bint akistukia tuu anabana tena mapaja. Jamaa ikabid amwambie bint kuwa ujinga anaofanya hautak na yeye hajamuoa kwa kutaka bikra hivyo atulie.
Kesho kulipokucha kikawa kimbembe.. shangazi wa jamaa anauliza vip huko? Maana wakwe wanataka pesa tsh 600,000/= ya kumtunza bint yao. Jamaa akuliza kiaje? Shangazi akamwambia si huyo binti ni bikra! Maana utamadun wao kuwa bint akiolewa bikra bas kias hicho cha pesa kinatakiwa kulipwa. Hapo ukaibuka mvutano jamaa anasema bint sijamkuta bikra, huk bint anakazana kusema kanikuta bikra na yeye ndio kaitoa bikra yangu... Songombingo iliendelea na bint aliendelea na msimamo wake kuwa ni bikra wakat jamaa hakukuta bikra yoyote.
Mengi yaliendelea ila mwisho ni kuwa jamaa aliamua kumuacha yule bint week moja tuu baad ya kumuoa