Sun is Sun
JF-Expert Member
- Mar 13, 2024
- 1,254
- 2,014
Habari zenu Ndugu zangu.
Niliamua sasa nianze kumwomba Mungu ili nione kama maisha yangu yatapata ahueni lakini wapi.
NB: Kazi nafanya na wala sitegemei miujiza , ila nilichofanikiwa ni kushika makalio ya hawa dada zetu na kupiga show, ambayo ni kawaida ya kila kiumbe hai wala si kitu cha ajabu.
Sasa nauliza Mungu yuko wapi nimfuate?