Sun is Sun
JF-Expert Member
- Mar 13, 2024
- 1,254
- 2,014
The real source ambaye ndiye Muumba anaishi ndani yako na sio huko mawinguni.Habari zenu Ndugu zangu.
Niliamua sasa nianze kumwomba Mungu ili nione kama maisha yangu yatapata ahueni lakini wapi.
NB: Kazi nafanya na wala sitegemei miujiza , ila nilichofanikiwa ni kushika makalio ya hawa dada zetu na kupiga show, ambayo ni kawaida ya kila kiumbe hai wala si kitu cha ajabu.
Sasa nauliza Mungu yuko wapi nimfuate?
ulipoamua kumwamini Mungu makusudio yako yalikuwa kupata uzima wa milele au kupata maisha na pesa??Habari zenu Ndugu zangu.
Niliamua sasa nianze kumwomba Mungu ili nione kama maisha yangu yatapata ahueni lakini wapi.
NB: Kazi nafanya na wala sitegemei miujiza , ila nilichofanikiwa ni kushika makalio ya hawa dada zetu na kupiga show, ambayo ni kawaida ya kila kiumbe hai wala si kitu cha ajabu.
Sasa nauliza Mungu yuko wapi nimfuate?
Mungu ni jambo lililoharibiwa mno na ndio maana watu wengi wanaishi maisha yao yote wakiamini Mungu bila kuona mafanikio yoyote. Siku ukimjua Mungu kwa ukweli wake maisha yako tatabadilika mara moja.Habari zenu Ndugu zangu.
Niliamua sasa nianze kumwomba Mungu ili nione kama maisha yangu yatapata ahueni lakini wapi.
NB: Kazi nafanya na wala sitegemei miujiza , ila nilichofanikiwa ni kushika makalio ya hawa dada zetu na kupiga show, ambayo ni kawaida ya kila kiumbe hai wala si kitu cha ajabu.
Sasa nauliza Mungu yuko wapi nimfuate?
CC SetfreeHabari zenu Ndugu zangu.
Niliamua sasa nianze kumwomba Mungu ili nione kama maisha yangu yatapata ahueni lakini wapi.
NB: Kazi nafanya na wala sitegemei miujiza , ila nilichofanikiwa ni kushika makalio ya hawa dada zetu na kupiga show, ambayo ni kawaida ya kila kiumbe hai wala si kitu cha ajabu.
Sasa nauliza Mungu yuko wapi nimfuate?
Ndugu kwanza punguza ujuaji , Mungu ni Roho tena ni mtakatifu , naye huonekana kwao walio wanyenyekevu wa MoyoHabari zenu Ndugu zangu.