Nimeamua kumuudhi mchina kwa habari asizozipenda. Nipo na DeepSeek ya China

Gemini inasema hv
 
Attachments

  • IMG_20250128_181434.jpg
    IMG_20250128_181434.jpg
    294.1 KB · Views: 5
  • IMG_20250128_181434.jpg
    IMG_20250128_181434.jpg
    294.1 KB · Views: 5
Hivyo imeshatoka?

Haya Ma AI hayana akili hivyo, yako Biased.

Siezi weka hizo vitu musimu yangu, iwe imetoka Amerika, Ulaya, ama Uchina.

Wote wanakusanya Data zako. Mbaya zaidi wale wa Amerika banatajirika kuuza Data zako.
Ni nani wakusema watu ya Intelligence ya Amerika hawafanyi kukusanya taarifa zako? Afterall, app nyingi zimetengenezwa kutumia tafiti za wizara ya ulinzi marekani. Hata VPN's

Mawee, mukulu mungu yangu.
Google wenyewe wanakusanya taarifa za watu, unakimbilia wapi?
 
Kila kitu kinakusanya taarifa zako hata simu yako hata jf kuna taarifa wanachukua!
Hamna mtandao usiochujua taarifa yako
Only if ukiruhusu, tatizo watu wengi hawaingii deep kwenye vifaa vyao, you can completely deny certain access
 
Hivyo imeshatoka?

Haya Ma AI hayana akili hivyo, yako Biased.

Siezi weka hizo vitu musimu yangu, iwe imetoka Amerika, Ulaya, ama Uchina.

Wote wanakusanya Data zako. Mbaya zaidi wale wa Amerika banatajirika kuuza Data zako.
Ni nani wakusema watu ya Intelligence ya Amerika hawafanyi kukusanya taarifa zako? Afterall, app nyingi zimetengenezwa kutumia tafiti za wizara ya ulinzi marekani. Hata VPN's

Mawee, mukulu mungu yangu.
Huna pa kukwepea data yako itakusanywa tu iwe kwa email, kqa google search, kwa instagram yani huna pa kukwepea.
 
Unaona kabisa deepseek ipo biased na bado unaichagua? Du kweli tunatofautiana.
Hata chatgpt iko biased gemini iko biased. Kila mojawapo ina guidelines na omekuwa trained kusema haya na kutosema haya.
Mwaka juzi nilipata kushiriki project ya kuitrain google bardi kwa kiswahili ambayo sasa ndiyo gemini na lengo lilikuwa kuipma na kuicheat kuona kama itafail kufuata guidelines.
Zote zina paramaters fulani
 
Hivyo imeshatoka?

Haya Ma AI hayana akili hivyo, yako Biased.

Siezi weka hizo vitu musimu yangu, iwe imetoka Amerika, Ulaya, ama Uchina.

Wote wanakusanya Data zako. Mbaya zaidi wale wa Amerika banatajirika kuuza Data zako.
Ni nani wakusema watu ya Intelligence ya Amerika hawafanyi kukusanya taarifa zako? Afterall, app nyingi zimetengenezwa kutumia tafiti za wizara ya ulinzi marekani. Hata VPN's

Mawee, mukulu mungu yangu.
Hahaha, nani auze taarifa zako wewe?
 
Huna pa kukwepea data yako itakusanywa tu iwe kwa email, kqa google search, kwa instagram yani huna pa kukwepea.
Ila utasikia, Wachina tu ndio banafanya hivyo. Ridiculous.
Na vile baatu ya kule banavyoendeshwa, wanakubali tu.💤
 
Back
Top Bottom