Nimeamua kupaki gari nitumie usafiri wa umma

Bro lita nne unalalamika? Hata yakishuk si 10,000 huko
 
unaongea kirahisi sana,

utaganda kituoni hadi asubuhi kwa hizo nauli zako....


nauli ni kuanzia elfu2..
huwezi rudi na chenchi kwenye elf10
hapo hujala wala kuacha kitu home
Naona wewe unataka kubishana, hatuzungumziii hela ya kula hapa, ishu ni nauli.

Ukitaka kuzunguka na basi hiyo ni ishu nyingine pia, lkn hapa tunazungumzia nauli ya kawaida
 
ikifika saa mbili tu hadi boda wanapandisha nauli dah...

asubuhi ukitoka home na libuku ten huwezi rudi home hata na senti moja zaidi ya njaa, miayo na kutia huruma tu...
Ruti gani hiyo isiyo na magari dar hii??
Ruti gani isiyo na bajaji?

Labda uwe unaishi ndani ndani huko labda ukifika gomz upande daladala, uje upande boda tena ...

Na asubuhi ukiwahi nauli ni rafiki na bei ileile kwenye daladala.

Anaetumia laki 4 ni pesa tu zinamuwasha au kafuga kitambi so usafiri wa umma unampa tabu
 
Umefanya maamuzi ya mazuri.Wapo watu wanaishi kwa kuteseka ili kuwafurahisha wengine.Anaona bora atumie gharama kubwa atembelee gari kuliko alipark maana anaona aibu watu watamuonaje?
 
K
Kwanin ucjisajili uber au bolt ufidie hizo garama na upate exposure ya kutosha. Unaweza kupata kaz ukiwa kazin
 
Gari yako ni aina gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…