Nimeamua kupaki gari nitumie usafiri wa umma

Mkuu karibu sana ofisini.

Usipaki gari
 

Attachments

  • 57433A7A-8730-4257-9D04-9A510D6A1094.MOV
    45.3 MB
Libarikiwe tumbo lililokubeba.

Mungu amekujalia akili nyingi sanaa.
 
Mmmmh kakaa..!!

Hilo gari lako ni bus nn mpaka km 20 ukatumia lita 4?

Maana kama kwenda km10 na kurud km10 sasa iweje utumie lita 4 kwa km 20?
 
Usumbufu wa public transport ndio shida na mara nyingi hawendi na mda wa mteja labda bodaboda.

Mwisho kama wewe ni maskini unategemea salary ya serikali unanunua gari la nini?
 
wanao kaa mbagala, gongo la mboto na chanika wanafanya kazi posta na masaki japo wanalipa nauli lakini garama ya hiyo nauli kwa siku ni sawa na wanao miliki magari tu....nauli kwa mwezi laki4 mshahara laki7
Mbagala posta Bei ya juu ni Tsh 1000 tu Kwa daladala


Hapo ni sawa na 2000 Γ— 30 = 60,000


Hata mtu anayekaa Mkuranga hiyo hela halifiki, maana atatumia maximum 5000 Kwa siku ambayo ni 150k Kwa mwezi.

Huwezi ukawa una mshahara wa laki 7 halafu utumie bajaji kila siku.



In short hakuna mkoa wenye gharama nafuu za usafiri kama Dar es salaam


Nikitegemea useme gharama Yake ipo kwenye foleni
 
wa mbagala wanakuangalia kwa uchungu πŸ’
 

Ukiona hivo bro, ujue umeanza kufilisika. Baadaye hata bajaji utaona unapoteza pesa. Matokeo yake utakuwa unachelewa biz zako za maana na hata unaofanya nao biz wataanza kukuona mbabaishaji. Hapo ndiyo mwanzo wa vyuma kukaza.
 
Uza gari ununue mafuta mkuu.
 
ila la mimi kutamani siku moja nimchinje mmoja lichukulie serious
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umenikumbusha kitu, nweiii
Sio rahisi km unavowaza, badala ya kuchinja utaanza kudate nae niamini mie.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ€ͺπŸ€ͺ Mtu ya mjini Darslamu πŸ˜€πŸ˜€
 
Ila uongozi wa Samia unawafukarisha sana watu aisee!
.
Yani dar hii nauli ruti 1,300
 
Nunua passo
 
Mwezi wa mfungo unakuja, ccm wabaguzi hawajatoa tamko la punguzo?

Sent from my moto g 5G (2022) using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…