kwinyo
JF-Expert Member
- May 2, 2017
- 281
- 230
hakuna kitu kama hiyoMwanaume muislam anaweza kua na mke mkristo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hakuna kitu kama hiyoMwanaume muislam anaweza kua na mke mkristo
Anabakije kuwa mke wangu nakati siwezi tena kutekeleza masharti ya mkataba wetu wa kikristo?Kwa sheria za Tanzania mke wako anabaki kuwa mke wako hata kama ungebadili dini kwenda dini ya kishetani kama mlifunga ndoa na mkapewa kile cheti cha ndoa chenye nembo ya bibi na bwana ambacho ndicho cheti inayotambulika kisheria. kama ilifungwa kanisani nanabaki kuwa mke wako vile vile maana ndoa za kaninsani hadi kifo kiwatenganishe.
Wewe kama unabadili dini kwa sababu ya kutaka kuongeza mke hiyo dini kiimani pia haina msaada kwa maisha yako ya rohoni maana huendi huko kwa ajili ya kuimwabudu Mungu wako bali kuhalalisha tamaa yako ya kimwili.
Labda kwa wakristo ila katika uislam hiyo kitu hakunaga,kumbuka mtoa mada atakuwa tayari ni muislam kiimani ambapo uhusiano wake uliokuwa na mke wake pia uliunganishwa kiimani,sasa imani tofauti.Kwa sheria za Tanzania mke wako anabaki kuwa mke wako hata kama ungebadili dini kwenda dini ya kishetani kama mlifunga ndoa na mkapewa kile cheti cha ndoa chenye nembo ya bibi na bwana ambacho ndicho cheti inayotambulika kisheria. kama ilifungwa kanisani nanabaki kuwa mke wako vile vile maana ndoa za kaninsani hadi kifo kiwatenganishe.
Wewe kama unabadili dini kwa sababu ya kutaka kuongeza mke hiyo dini kiimani pia haina msaada kwa maisha yako ya rohoni maana huendi huko kwa ajili ya kuimwabudu Mungu wako bali kuhalalisha tamaa yako ya kimwili.
1&2 HAPANA.. Sheria ya mikataba hairuhusu.. Mkataba hauwezi vunjwa na pande moja bila ya maridhiano na pande nyingine.Chukulia katika mazingira ambayo ninauhuru (wa kikatiba) kuchagua dini yyte ile ninayoitaka. Na uhuru huu ninayo haki ya kuutekeleza wakati wowote ule. Sifungwi kubaki kwenye dini fulani.
Katika mazingira ya kuwa nimeoa mke kwa ndoa ya kikristo ambayo inaruhusu mke mmoja tu kwa mume mmoja na inatambulika hivyo kisheria. Nikiwa kwenye ndoa hiyo, kesho nikaamua kubadili dini na kuwa muislam na huko ninaruhusiwa kuwa na wake hadi wanne.
MASWALI:
1. Kwakua nitakua nimekana dini yangu ya awali, Je sheria itaendelea kumtambua huyu mke wa ndoa ya kikristo?
2. Hata kama tumeamua kuishi pamoja kama wanandoa (yeye abaki kuwa mkristo), je nitakua na uhuru kisheria kuongeza wake?
3. Hata kama tumeamua kuishi pamoja (na mke wangu naye abadili dini na kuwa muislam), je tutakuwa tumefunga ndoa au tutahitaji kuoana upya?
Nielewesheni kisheria na kwa imani ya kiislam pia.
Uhuru wa kuabudu unakujaje sasa. Coz kuongeza wake ni suna na tena ni ibada (kwa imani ya kiislam, nadhani) kama utaamua kuoa mjane. Sasa iweje pawe na mkataba unaokupunguzia uhuru wako wa kuabudu coz mke/mume anaweza asiridhie kuvunja mkataba1&2 HAPANA.. Sheria ya mikataba hairuhusu.. Mkataba hauwezi vunjwa na pande moja bila ya maridhiano na pande nyingine.
3. NDIYO.. Kwa kuwa pande mbili zimebadilisha dini kwa ridhaa ina maana mkataba wa awali ni obsolete kwa hiyo mtatumia mkataba mpya wa sheria za ndoa za kiislam.
Kwa upande hio hakuna tatzo we oa tu utakavyoChukulia katika mazingira ambayo ninauhuru (wa kikatiba) kuchagua dini yyte ile ninayoitaka. Na uhuru huu ninayo haki ya kuutekeleza wakati wowote ule. Sifungwi kubaki kwenye dini fulani.
Katika mazingira ya kuwa nimeoa mke kwa ndoa ya kikristo ambayo inaruhusu mke mmoja tu kwa mume mmoja na inatambulika hivyo kisheria. Nikiwa kwenye ndoa hiyo, kesho nikaamua kubadili dini na kuwa muislam na huko ninaruhusiwa kuwa na wake hadi wanne.
MASWALI:
1. Kwakua nitakua nimekana dini yangu ya awali, Je sheria itaendelea kumtambua huyu mke wa ndoa ya kikristo?
2. Hata kama tumeamua kuishi pamoja kama wanandoa (yeye abaki kuwa mkristo), je nitakua na uhuru kisheria kuongeza wake?
3. Hata kama tumeamua kuishi pamoja (na mke wangu naye abadili dini na kuwa muislam), je tutakuwa tumefunga ndoa au tutahitaji kuoana upya?
Nielewesheni kisheria na kwa imani ya kiislam pia.
Asante kwa maelezo mazuri mkuu1. Ndoa itakuwa imevunjika, kwa sababu utakuwa umevunja msingi mmojawapo wa ndoa ambao ni dini
2. Kama wewe umesilimu na yeye kabaki kwenye ukristo, mtakuwa mnazini. Endapo utaoa mke mwingine na hata kufika wanne itakuwa ni sahihi
3. Kama mtasilimu wote, na mlikuwa katika ndoa ambayo ilifungwa katika taratibu sahihi za dini mliyotoka au hata kimila, hakutakuwa na haja ya kufunga ndoa nyingine. Uislamu unatambua ndoa za dini nyingine
Inaruhusiwa tena kurudi mkuu??? [emoji3]Tena ukiona huelew unaweza change
Usitoe majibu kwa jambo usilokuwa na elimu naloNamba 3 ndio chanzo cha majibu ya maswali yako yote..
Ukibadili dini kisheria ya dini mnapaswa kufunga ndoa upya otherwise mtaendelea kuzini tu..
2. Unaruhusiwa kuoa lakin utambue huyo ndio atakuwa mkeo halali yule mwingine mnazini tu, yampasa abadili dini mfunge ndoa ya kiislamu
1. Sheria ipi unaizungumzia, kiserikali atatambulika kama mkeo ila ndani ya dini ya kiislam huyo si mkeo.. yawapasa mfunge ndoa halali.
Namba 2 bado ina utata mkuu, unaizungumziaje aya ya Quran inayosema ".....mmeruhusiwa kuwaoa waliopewa kitabu...."??. Kumbuka nyakati za maswahaba wapo waliokuwa wanaishi na wanawake wa kiyahudi licha ya kuwa wanawake hao hawakuwa wamesilimu na mtume hakuwambia kuwa ndoa zao ni batili.Majibu!
1.Sheria ya kiislam itamtambua mkeo ikiwa na yeye amesilimu(amekuwa muislam)
2.Kama yeye akibaki kuwa mkristo ww utakuwa unazini (utapata dhambi) kwa mujibu wa sheria za kiislam kwa kuwa uislam haukubali ndoa ya muislam na asiye muislam(lazima mke &mume wawe wote waislam)
3.Wote mukibadili dini (mukiwa waislam)hamtatakiwa kufunga ndoa mpya ila ndoa yenu ile ile muliofunga mkiwa wakristo inatosha,Ispokuwa kama wakati mulipokuwa wakristo hamkufunga ndoa basi hapo ndio itawalazimu kufunga ndoa.
Good, tupate ufafanuzi hapoNamba 2 bado ina utata mkuu, unaizungumziaje aya ya Quran inayosema ".....mmeruhusiwa kuwaoa waliopewa kitabu...."??. Kumbuka nyakati za maswahaba wapo waliokuwa wanaishi na wanawake wa kiyahudi licha ya kuwa wanawake hao hawakuwa wamesilimu na mtume hakuwambia kuwa ndoa zao ni batili.
Ndoa zilikuwepo hata kabla ya Mtume Muhammad (saw). Mayahudi na Makureishi walikuwa na taratibu za ndoa, na Mtume (saw) alikuja kuhitimilisha, wala hakuja kutengua. Na elewa kuwa maswahaba wengi walisilimu wao na wake zao ukiondoa kina Sayyidna Ally (ra)Namba 2 bado ina utata mkuu, unaizungumziaje aya ya Quran inayosema ".....mmeruhusiwa kuwaoa waliopewa kitabu...."??. Kumbuka nyakati za maswahaba wapo waliokuwa wanaishi na wanawake wa kiyahudi licha ya kuwa wanawake hao hawakuwa wamesilimu na mtume hakuwambia kuwa ndoa zao ni batili.
Mtume Muhammad (saw) hakuwafungisha upya ndoa maswahaba walio silimu. Hiyo ya kuwaambia waoeni waliopewa kitabu ilikuwa ni kuwapa faraja wanawake waliosilimu, jambo ambalo mpaka leo linasisitizwaGood, tupate ufafanuzi hapo
MASWALI:
1. Kwakua nitakua nimekana dini yangu ya awali, Je sheria itaendelea kumtambua huyu mke wa ndoa ya kikristo?
2. Hata kama tumeamua kuishi pamoja kama wanandoa (yeye abaki kuwa mkristo), je nitakua na uhuru kisheria kuongeza wake?
3. Hata kama tumeamua kuishi pamoja (na mke wangu naye abadili dini na kuwa muislam), je tutakuwa tumefunga ndoa au tutahitaji kuoana upya?
Nielewesheni kisheria na kwa imani ya kiislam pia.
Kwani mke hatambuliki wakati uislamu unaruhusu mwanaume kuoa mwanamke ambae ni ahlul kitab, ijapokuwa ni bora zaidi ukimsilimisha?MKE atambuliki kama ataamua kubaki
Sheikh, hivi unajua kuwa mwanaume muislam anaweza kuoa mwanamke ambae ni ahlul kitab?Kisheria ya dini hamna ndoa tu, mnakuwa mmejihalalishia zinaa tuu.
Sio kweli, uislam unatambua ndoa baina ya mwanaume muislam na mwanamke ambae ni ahlul-kitabKama mke nae ataamua kubadili na kukufata bado atatambulika kama mke, ila asipokufata sio mke
Unaruhusiwa kuongeza