Ukizipunguza chini ya hapo, utawakatisha wengine tamaa ya kujaribu bahati yao.Mbona hizo 25% ni nyingi sana.
Hongera na kila la kheri! Go go goooooHabari za leo watanzania wenzangu,
Mimi rafiki yenu na kijana mwenzenu nilishafungua moyo wangu kuwatumikia watanzania katika kiti cha ubunge. Kama kuna wabunge humu naomba watanishauri zaidi ila ni jambo ambalo nalipenda na nina uzoefu nalo kidogo.
Muda wangu sahihi wa kujitokeza hadharani utakua 2025 ila bado sijaweka wazi nitagombea ubunge kupitia chama gani.
Hii ndio sababu kubwa iliyonifanya nisitishe masomo yangu haraka sana ili niweze kujipanga katika hili. Nilipata kuchaguliwa kuendelea na masomo ya PhD katika chuo kimoja huko nje ya nchi. Ilinipasa mwezi wa tisa mwaka jana niwe nimeshaingia chuoni na kuanza masomo yangu.
Naombeni kuungwa mkono katika hili. Najua muda ukiwadia ipo siku nitamalizia elimu yangu. Lakini kwasasa nijapange ili kutimiza adhima yangu.
Ahsanteni jamani.
View attachment 2495736
View attachment 2495735
Likud mwenyewe[emoji38][emoji28]Haya bana
Mpe moyo tu, apoteze muda, pesa na akili zake.Ukizipunguza chini ya hapo, utawakatisha wengine tamaa ya kujaribu bahati yao.
Kugombea ubunge ni uoga wa maisha.Hatuna Jimbo linaloitwa Mbozi mashariki katika mkoa wa Songwe, masuala ya Mbozi mashariki na magharibi yalikwishaga na kuishia kwa akina Zambi na Silinde, ambapo Jimbo la Mbozi mashariki lilitoa Jimbo la Mbozi linaloongozwa kwa Sasa na mh GEORGE RAINWELL MWENISONGOLE pamoja na Jimbo la Vwawa linaloongozwa na mh Hasunga, wakati Mbozi magharibi lilitoa majimbo ya Tunduma ambalo kwa Sasa linaongozwa na mh Silinde, pamoja na la Momba.
Kutokujua tu majimbo katika eneo unapokwenda kugombea kunakuondolea sifa ya kupewa nafasi ya kugombea maana Kama hata majimbo huyajuwi bila Shaka hata kero za wananchi huwezi ukazijua iwe Ni kata ya Mlowo, Igamba, Shiwinga, Mahenje, Itaka, Bara, Nambizo, Magamba,n.k
Hata hivyo majimbo Yana watu tayari na kwa kanuni zetu wanaccm hupaswi kuanza vurugu za kampeni wakati huu bali unapaswa kumsaidia aliyopo labda Kama unagombea kupitia huko kwa wababaishaji wa chadema wasio na Sera Wala ajenda Wala Dira.
Pia kutokujuwa hata chama Cha kugombea pia huo Ni ubabaishaji mwingine maana huo Ni usaka tonge tu na kuangalia mahali kwenye fursa badala ya kuangalia itikadi ya chama.
Ushauri Wangu Ni kuwa Kama unataka kugombea kupitia chama changu Cha CCM nakushauri ungeendelea tu na masomo yako maana naona upo bado Sana kuiva kisiasa na badala yake ungejikita katika fani yako ya mafuta ili ulisaidie Taifa kuliko kuja kupoteza muda wako wakati hadi Sasa hujui hata chama kipi ugombee na Wala huna chama, Sasa Kama huna chama Ni mjinga gani atakupigia Kura wakati anaona wewe Ni msaka fursa?
Pili lazima uwe na misimamo katika maisha maana mpaka Sasa haieleweki unasimamia Nini na unataka Nini, pia wapiga kura ambao Ni wajumbe Ni waelewa Sana kwa Sasa hivyo usije kujipa majibu yako ya kubuni.
Ahsante sana boss kwa moyo huo wa kutia moyo.Hongera na kila la kheri! Go go gooooo
Boss tutaogopa mpaka lini mbona wenzetu tena watu wakawaida kabisa wanajaribu. Tukijaribu tena na tena ndipo tunaweza fanikiwa.Unataka kugombea jimbo ambalo halipo miaka zaidi ya miwili tokea uchaguzi wa 2020?
Unataka kuahirisha masomo ambayo hata kuanza hujaweza?
Napataje full funded scolarship na mimi niongezee mastersNilipata Newcastle pia, ila nilipendezwa na jina la chuo hicho.
PhD inasomwaje?! Maajabu ya MatagaHabari za leo watanzania wenzangu,
Mimi rafiki yenu na kijana mwenzenu nilishafungua moyo wangu kuwatumikia watanzania katika kiti cha ubunge. Kama kuna wabunge humu naomba watanishauri zaidi ila ni jambo ambalo nalipenda na nina uzoefu nalo kidogo.
Muda wangu sahihi wa kujitokeza hadharani utakua 2025 ila bado sijaweka wazi nitagombea ubunge kupitia chama gani.
Hii ndio sababu kubwa iliyonifanya nisitishe masomo yangu haraka sana ili niweze kujipanga katika hili. Nilipata kuchaguliwa kuendelea na masomo ya PhD katika chuo kimoja huko nje ya nchi. Ilinipasa mwezi wa tisa mwaka jana niwe nimeshaingia chuoni na kuanza masomo yangu.
Naombeni kuungwa mkono katika hili. Najua muda ukiwadia ipo siku nitamalizia elimu yangu. Lakini kwasasa nijapange ili kutimiza adhima yangu.
Ahsanteni jamani.
View attachment 2495736
View attachment 2495735
Unapenda nchi gani? Unapenda scholarship ipi kati ya hizi.Napataje full funded scolarship na mimi niongezee masters
Boss shule ina mambo mengi.PhD inasomwaje?! Maajabu ya Mataga
Otherwise nakutakia kheri huko jimboni. Kama vipi gombea mbeya mjini against Tulia๐๐๐Boss shule ina mambo mengi.
๐๐๐dada yangu Dr. Tulia sitomweza amejipanga sana. Naangalia padhaifu panapoingilika. Napenda tuibadilishe Mbozi.Otherwise nakutakia kheri huko jimboni. Kama vipi gombea mbeya mjini against Tulia๐๐๐
Haya maneno kama yanatoka kwa mbunge aliyeko madarakani vile....Hatuna Jimbo linaloitwa Mbozi mashariki katika mkoa wa Songwe, masuala ya Mbozi mashariki na magharibi yalikwishaga na kuishia kwa akina Zambi na Silinde, ambapo Jimbo la Mbozi mashariki lilitoa Jimbo la Mbozi linaloongozwa kwa Sasa na mh GEORGE RAINWELL MWENISONGOLE pamoja na Jimbo la Vwawa linaloongozwa na mh Hasunga, wakati Mbozi magharibi lilitoa majimbo ya Tunduma ambalo kwa Sasa linaongozwa na mh Silinde, pamoja na la Momba.
Kutokujua tu majimbo katika eneo unapokwenda kugombea kunakuondolea sifa ya kupewa nafasi ya kugombea maana Kama hata majimbo huyajuwi bila Shaka hata kero za wananchi huwezi ukazijua iwe Ni kata ya Mlowo, Igamba, Shiwinga, Mahenje, Itaka, Bara, Nambizo, Magamba,n.k
Hata hivyo majimbo Yana watu tayari na kwa kanuni zetu wanaccm hupaswi kuanza vurugu za kampeni wakati huu bali unapaswa kumsaidia aliyopo labda Kama unagombea kupitia huko kwa wababaishaji wa chadema wasio na Sera Wala ajenda Wala Dira.
Pia kutokujuwa hata chama Cha kugombea pia huo Ni ubabaishaji mwingine maana huo Ni usaka tonge tu na kuangalia mahali kwenye fursa badala ya kuangalia itikadi ya chama.
Ushauri Wangu Ni kuwa Kama unataka kugombea kupitia chama changu Cha CCM nakushauri ungeendelea tu na masomo yako maana naona upo bado Sana kuiva kisiasa na badala yake ungejikita katika fani yako ya mafuta ili ulisaidie Taifa kuliko kuja kupoteza muda wako wakati hadi Sasa hujui hata chama kipi ugombee na Wala huna chama, Sasa Kama huna chama Ni mjinga gani atakupigia Kura wakati anaona wewe Ni msaka fursa?
Pili lazima uwe na misimamo katika maisha maana mpaka Sasa haieleweki unasimamia Nini na unataka Nini, pia wapiga kura ambao Ni wajumbe Ni waelewa Sana kwa Sasa hivyo usije kujipa majibu yako ya kubuni.
Unafikiri ilikuwa sawa raisi kupanga safu ya wabunge anaowataka yeye ktk majimbo yote? Je, wangeweza kutekeleza majukumu ya kuihoji serikali? Yaani Wananchi wa masasi waseme huyu ndiye tunayemtaka, alafu raisi apindue meza awaletee chawa wake kwa kuwalazimishia?Umejipanga kwa masuala ya uganga na uchawi. Siasa ya Tanzania inategemea pesa na uwezo wako wa kuroga.
Angalau wakati wa Magufuli hakukuwa na uwezekano wa kupata Ubunge kwa pesa na ndumba ila kwa sasa tumerudi siasa za awamu ya nne. Wewe unadhani yule Mbunge alikuwa anaweza kumng'oa Chenge, hapana!
alipita kwa msuli wa Magufuli!
Ungeomba ushauri mapema, tungekushauri uende shule kuliko kugombea nafasi ambayo sharti ujue kusoma na kuandika!
Magufuli hakuwa perfect na moja ya makosa makubwa sana ya kumfanya yeye na Bashiru wachukiwe na vigogo wengi ndani ya CCM ni hilo kwenye kukata.Unafikiri ilikuwa sawa raisi kupanga safu ya wabunge anaowataka yeye ktk majimbo yote? Je, wangeweza kutekeleza majukumu ya kuihoji serikali? Yaani Wananchi wa masasi waseme huyu ndiye tunayemtaka, alafu raisi apindue meza awaletee chawa wake kwa kuwalazimishia?