I salute ur comment mkuuMagufuli hakuwa perfect na moja ya makosa makubwa sana na kumfanya yeye na Bashiru wachukiwe na vigogo wengi ndani ya CCM ni hilo kwenye kukata.
Magufuli kwangu atabaki shujaa no matter what, lakini kwenye kupindua meza za kura za maoni na jinsi alivyo deal na COVID alifanya maamuzi ya ovyo mno na yasiyo stahiki uvumilivu ata ningekuwa kuwa mimi naulizwa what to do ningependekeza lolote atolewe (hapo ndipo alipoanza kujiona mungu mtu) what a pity kwa sababu alikuwa na mengine mengi ya muhimu ambayo yeye tu angeweza fanya from evidence so far,
Canadian mkuu.Unapenda nchi gani? Unapenda scholarship ipi kati ya hizi.
Commonwealth scholarship?
Chinese government scholarship?
Full Bright scholarship?
Swedish Scholarship?
Canadian scholarship?
Kwanini usifanye vyote viwili?Habari za leo watanzania wenzangu,
Mimi rafiki yenu na kijana mwenzenu nilishafungua moyo wangu kuwatumikia watanzania katika kiti cha ubunge. Kama kuna wabunge humu naomba watanishauri zaidi ila ni jambo ambalo nalipenda na nina uzoefu nalo kidogo.
Muda wangu sahihi wa kujitokeza hadharani utakua 2025 ila bado sijaweka wazi nitagombea ubunge kupitia chama gani.
Hii ndio sababu kubwa iliyonifanya nisitishe masomo yangu haraka sana ili niweze kujipanga katika hili. Nilipata kuchaguliwa kuendelea na masomo ya PhD katika chuo kimoja huko nje ya nchi. Ilinipasa mwezi wa tisa mwaka jana niwe nimeshaingia chuoni na kuanza masomo yangu.
Naombeni kuungwa mkono katika hili. Najua muda ukiwadia ipo siku nitamalizia elimu yangu. Lakini kwasasa nijapange ili kutimiza adhima yangu.
Ahsanteni jamani.
View attachment 2495736
View attachment 2495735
Labda kama una sababu nyingine ila naona umekosea sana kuacha PhD na full scholarship kwenda kugombea ubunge ambao ni miaka mitatu ijayo na huna uhakika utachaguliwa. Lazima kuna kitu kingine. Kama hujaacha tatadhali endelea na masomo!Habari za leo watanzania wenzangu,
Mimi rafiki yenu na kijana mwenzenu nilishafungua moyo wangu kuwatumikia watanzania katika kiti cha ubunge. Kama kuna wabunge humu naomba watanishauri zaidi ila ni jambo ambalo nalipenda na nina uzoefu nalo kidogo.
Muda wangu sahihi wa kujitokeza hadharani utakua 2025 ila bado sijaweka wazi nitagombea ubunge kupitia chama gani.
Hii ndio sababu kubwa iliyonifanya nisitishe masomo yangu haraka sana ili niweze kujipanga katika hili. Nilipata kuchaguliwa kuendelea na masomo ya PhD katika chuo kimoja huko nje ya nchi. Ilinipasa mwezi wa tisa mwaka jana niwe nimeshaingia chuoni na kuanza masomo yangu.
Naombeni kuungwa mkono katika hili. Najua muda ukiwadia ipo siku nitamalizia elimu yangu. Lakini kwasasa nijapange ili kutimiza adhima yangu.
Ahsanteni jamani.
View attachment 2495736
View attachment 2495735
Kwanza nikushukuru kwa ushauri mzuri pale mwisho. Nilijitahidi kuelekeza mawazo yangu shule, lakini wito wa kulifanya hili jambo uliishinda maamuzi ya moyo wangu.
Tutaogopa mpaka lini boss. Tumekuwa tukiambiwa kwamba kwenye mambo ya siasa bila uchawi hutoboi.
Ni kweli hata mimi hili nililishuhudia miaka ya nyuma. Lakini tumwamini Mungu zaidi na kujaribu ili na sisi tuushuhudie huo uchawi.
Mimi kiukweli nimejipanga katika hili na siwezi kuogopa, nimedhamiria haswa.
Acha kukatisha tamaa wenye mawazo tofauti na wewe? Au nawe ni mbunge wa eneo hilo?Nia yako ni njema ila endelea na masomo.
Siasa ya Tanzania ina "mtego wa panya"
Mtego wa kwanza ni mpaka upate "utezi wa chama chako kugombea" ndipo ugombee. Huo uhakika ni 50/50. Maana yake hii ni kamari.
Mtego wa pili unapogombea, kuchaguliwa na wapiga kura ni jambo moja na "kutanganzwa mshindi" ni jambo la pili. Hii nayo ni 50/50 kamari.
Kusoma PhD kuna certainty, chance za kuhitimu ni kubwa kuliko kuingia kwenye politics na hasa bongo politics.
Tungekuwa tuna mgombea binafsi na tuna tume ambayo majumuisho hayafanywi na ma-DED, ningekushauri njoo, otherwise, malizia uzamivu kwenye petrolium na gas. Ila kama unalenga kuja, usije sasa. 2023, 2024 ni muda mrefu sana. Utaishiwa pumzi mapema kabla ya game kuanza.
Hiyo itakuwa PhD fake ya miaka 2.Phd takes 2 years maximum by the you would have graduated to pursue ya political ambitions.
Kwani we unadhani Phd ni kitu special sana?Hiyo itakuwa PhD fake ya miaka 2.
Andika kwa kiswahili tu tutaelewa
Hatuna Jimbo linaloitwa Mbozi mashariki katika mkoa wa Songwe, masuala ya Mbozi mashariki na magharibi yalikwishaga na kuishia kwa akina Zambi na Silinde, ambapo Jimbo la Mbozi mashariki lilitoa Jimbo la Mbozi linaloongozwa kwa Sasa na mh GEORGE RAINWELL MWENISONGOLE pamoja na Jimbo la Vwawa linaloongozwa na mh Hasunga, wakati Mbozi magharibi lilitoa majimbo ya Tunduma ambalo kwa Sasa linaongozwa na mh Silinde, pamoja na la Momba.
Kutokujua tu majimbo katika eneo unapokwenda kugombea kunakuondolea sifa ya kupewa nafasi ya kugombea maana Kama hata majimbo huyajuwi bila Shaka hata kero za wananchi huwezi ukazijua iwe Ni kata ya Mlowo, Igamba, Shiwinga, Mahenje, Itaka, Bara, Nambizo, Magamba,n.k
Hata hivyo majimbo Yana watu tayari na kwa kanuni zetu wanaccm hupaswi kuanza vurugu za kampeni wakati huu bali unapaswa kumsaidia aliyopo labda Kama unagombea kupitia huko kwa wababaishaji wa chadema wasio na Sera Wala ajenda Wala Dira.
Pia kutokujuwa hata chama Cha kugombea pia huo Ni ubabaishaji mwingine maana huo Ni usaka tonge tu na kuangalia mahali kwenye fursa badala ya kuangalia itikadi ya chama.
Ushauri Wangu Ni kuwa Kama unataka kugombea kupitia chama changu Cha CCM nakushauri ungeendelea tu na masomo yako maana naona upo bado Sana kuiva kisiasa na badala yake ungejikita katika fani yako ya mafuta ili ulisaidie Taifa kuliko kuja kupoteza muda wako wakati hadi Sasa hujui hata chama kipi ugombee na Wala huna chama, Sasa Kama huna chama Ni mjinga gani atakupigia Kura wakati anaona wewe Ni msaka fursa?
Pili lazima uwe na misimamo katika maisha maana mpaka Sasa haieleweki unasimamia Nini na unataka Nini, pia wapiga kura ambao Ni wajumbe Ni waelewa Sana kwa Sasa hivyo usije kujipa majibu yako ya kubuni.
Aliyekwambia tunachagua Wasomi waganga njaa ni nani?Habari za leo watanzania wenzangu,
Mimi rafiki yenu na kijana mwenzenu nilishafungua moyo wangu kuwatumikia watanzania katika kiti cha ubunge. Kama kuna wabunge humu naomba watanishauri zaidi ila ni jambo ambalo nalipenda na nina uzoefu nalo kidogo.
Muda wangu sahihi wa kujitokeza hadharani utakua 2025 ila bado sijaweka wazi nitagombea ubunge kupitia chama gani.
Hii ndio sababu kubwa iliyonifanya nisitishe masomo yangu haraka sana ili niweze kujipanga katika hili. Nilipata kuchaguliwa kuendelea na masomo ya PhD katika chuo kimoja huko nje ya nchi. Ilinipasa mwezi wa tisa mwaka jana niwe nimeshaingia chuoni na kuanza masomo yangu.
Naombeni kuungwa mkono katika hili. Najua muda ukiwadia ipo siku nitamalizia elimu yangu. Lakini kwasasa nijapange ili kutimiza adhima yangu.
Ahsanteni jamani.
View attachment 2495736
View attachment 2495735
Hawa nadhani ndiyo diaspora wa CHADEMA wanaoenda kupigana vita Ukraine ili watupatie tumehuru, wakiuliwa ndiyo wanamkumbuka Mama Tanzania waliyemkana. Elimu ni kitu cha kwanza; Mtume aliwaasa Waislamu wote waende China na kila mahali kujiongezea elimu, yeye huyu anataka aache shule abaki kipofu atuongoze vipofu wapi na wapi. Please ignore him.Ahsante sana kwa ushauri mzuri. Ushauri huu nitaanza kuufanyia kazi kwa uharaka sana rafiki.
Huyu ni mwanaccm tafadhaliHawa nadhani ndiyo diaspora wa CHADEMA wanaoenda kupigana vita Ukraine ili watupatie tumehuru, wakiuliwa ndiyo wanamkumbuka Mama Tanzania waliyemkana. Elimu ni kitu cha kwanza; Mtume aliwaasa Waislamu wote waende China na kila mahali kujiongezea elimu, yeye huyu anataka aache shule abaki kipofu atuongoze vipofu wapi na wapi. Please ignore him.