Nimeamua kusimamisha masomo ya PhD nje ya nchi ili nijitayarishe kwaajili ya kugombea ubunge 2025 katika jimbo la Mbozi Mashariki

Unaonekana akili kubwa lakini sijui kwann unawaza nafasi ndogo kama ya ubunge ambayo ili upate lazma uwe mlamba makalio na mnafiki.
Hizo akili azitoe wapi kwa kusoma post zake kabisa huyu unamuona ana akili zaidi ya kuandika ujinga mtupu kila siku.

Ngoja nitafute usingizi mie
 
Sijui unazungumzia PhD gani za kufyatua tu bila hata kufanya research, labda za sociology.

Kama ni ya uhakika huwezi kuifanya kwa miaka miwili (narudia hiyo ni fake)
 
Sijui unazungumzia PhD gani za kufyatua tu bila hata kufanya research, labda za sociology.

Kama ni ya uhakika huwezi kuifanya kwa miaka miwili (narudia hiyo ni fake)
Tuachane kwa kusema academically mie sio wa size yako.

So sina muda wa ku entertain upuuzi wako inaweza kuwa sio majibu uliyozoea.

Hata thesis ya undergraduate inataka five chapters it doesn’t matter you are doing sociology or quantum physics; the difference between the two Is the supposition required.

Ni hivi sina tabia ya ku entertain watu wajinga wajinga ndio maana unioni chit chat.

Don’t try to be clever when you aren’t. Ndio maana huwa natandika males kwenye hili jukwaa kwenye ili jukwaa kwa sababu sina tabia ya kuremba.

So keep your nonsense in chit chat.
 
Nakuona mjinga wewe, kama ni PhD mimi ninayo nimeipata zaidi ya robo karne nyuma, tena moja ya nchi za Ulaya. Umekomalia Chapters unadhani thesis ni chapters tu zisizokuwa na publishable content?

Usijifanye mjuaji sana hata hicho kiingereza chako tu nakiona ni cha google translate (hakina structure!)
 
Boss tutaogopa mpaka lini mbona wenzetu tena watu wakawaida kabisa wanajaribu. Tukijaribu tena na tena ndipo tunaweza fanikiwa.
Kwanini uli apply PhD program wakati ulikuwa huna uhakika kama ungeweza kuianza na kuimaliza? Huoni umewazibia other applicants waliokataliwa nafasi kwenye hiyo program, ambayo naamini ina nafasi chache sana? You cannot even set your personal life priorities and goals right, halafu unataka uwe Mbunge kuwawakilisha maelfu ya raia?
 
Lol my dear by chapters si maanishi kipande cha kitabu.

Rather what it takes the five chapters za kuandika.

Introduction.
Thesis
Research/methodology
Findings
Conclusion

You would have to go through that process either you are writing a mathematical thesis or a sociology thesis.

The difference is the amount of words required from undergraduate to post graduate degrees.

In all levels you need to do research, well unless in physics or maths there is mathematical proof requirements along the way if you are ambitious.

Wewe kuwa na Phd akunitishi mimi kama ufahamu ata kuandika undergraduate thesis five chapters applies the same approach as in Phd five chapters the only difference is the amount of words required.

We dada tafadhali don’t taste me

Usisome watu humu wanaojifanya wanawajua watu ukaamini na wewe ukajifanya unawajua. Wengine tukisema hizo thesis tunafyatua sio utani na unaiweka turn original over 99%.
 
Na hatuna kata inayoitwa MAHENJE
 
Acha kukatisha tamaa wenye mawazo tofauti na wewe? Au nawe ni mbunge wa eneo hilo?
Jina langu halimo kwenye tovuti ya bunge, na mhusika hajaweka bayana jimbo gani anataka kwenda. Shule tulijifunza ku-debate na msingi wa debate ni kukubaliana kutokubaliana kwa facts.
Msingi wa hoja yangu sio kumzuia au kumvunja moyo mhusika, ndio maana ali-like hoja yangu.

Unapomshauri mtu, ana uhuru wa kuchukua sehemu ya mawazo, kuchukua yote au kupuuza mawazo yote. Mwisho wa siku, mhusika kama na 'real call" ya kuingia kwenye siasa, bado ana nafasi kuanzia 2025 January kuanza harakati na muda huu akatumia kuendelea kujipatia maarifa kwenye kufanya PhD yake.
 
Huku kwenye ubunge ni pagumu sana mdogo wangu,changamoto ni nyingi sana pata wasashauri wazuri ili mwishowe usije kutema bigijii kwa karanga za kuonjeshwa!
 
Hizo akili azitoe wapi kwa kusoma post zake kabisa huyu unamuona ana akili zaidi ya kuandika ujinga mtupu kila siku.

Ngoja nitafute usingizi mie
Boss naomba nishauri, nimekubali sina akili kama ulivyo andika. Mimi naiheshimu sana jamii forum inanifunza mengi sana kupitia kuandika na kupitia kwenu. Je nifanye nini ili niweze kuwa naakili za viwango vyako.
 
Boss kuna muda
Hizo akili azitoe wapi kwa kusoma post zake kabisa huyu unamuona ana akili zaidi ya kuandika ujinga mtupu kila siku.

Ngoja nitafute usingizi mie
Boss naomba nishauri, nimekubali sina akili kama ulivyo andika. Mimi naiheshimu sana jamii forum inanifunza mengi sana kupitia kuandika na kupitia kwenu. Je nifanye nini ili niweze kuwa naakili za viwango vyako.
Na pia nishauri nifanye ili 2025 niipeperushe bendera ya chama changu.
 
Well kwa kuanzia if you need to analyse oil and gas

Kwanza unatakiwa kuelewa historia yake kuanzia kwa visima vya kwanza Texas,

First usage ya nishati kama kibatari

Monopoly ya Rockefeller and how managed to achieve that goal

Jinsi Rockefeller alivyozuiwa kuuza pekee US

How Mercedes-Benz engine invention, finding other usage of oil and byproducts na electricity production ilivyokuza industry

Utafutaji wa visima nje ya US, hasa ndani ya Middle East na influence zake

Kuibuka kwa Seven Sisters Wa mafuta

Middle East nations kudai haki zao na kuanza kwa migogoro inayo endelea au ku influence supply mpaka leo.

Ni hivi ni story ndefu sana hadi kufikia mambo ya Kyoto protocol na environmental issues za leo ndio maana degree ya oil and gas (management inachukua 3 years).

Sasa kwa sie ambao tushafyatua hizo ukisomwa tu unaonekana unapwaya sana fundamentals tu huna.

Yaani ukianza kuongelea issues za supply chain ndio kabisa ni vitu unavyojibunia tu au unaokota google, let alone mambo ya mikataba.

Na siasa ni utashi wa mtu hakuna mwenye kukuingilia kwenye maamuzi yako.

Halikadhalika kwa jamii yetu kama msomi basi walau uwe na huruma kwa watu unaotaka kuwaongoza. Ila wewe kwa post zako humu za kuhamasisha watu njia za short cut za kufaulu ambazo sizo, promotion ya biashara za watu wengine na kutetea watu wa hovyo kama Makamba; sikuoni wewe kwenye uongozi kama sehemu ya solution bali tatizo kwa watanzania you are just corrupt from what you promote in this forum.

👋
 
Kwamba unaacha taaluma Ili uje kuwa Mwanasiasa?

Nakushauri BAKI huko huko, usifanye maamuzi ya kipuuzi,

Maana Bunge lijalo, WAZIRI hatatokana na WABUNGE.

So ni HASARA kuacha taaluma na kubaki mbunge Kwa 5 years,

Pia KIJANA ambaye Bado hujatumikia wananchi ktk ni kosa kuwaza ubunge.

KATIBA mpya ni sasa. Aamen.
 
Sasa mbona unaelezea historia ya oil and gas. Ndio hivyo ulivyojifunza?

Nilitegemea unakuja na vitu vikubwa vya technical, nilitegemea unakuja na njia ambazo tunaweza kuzitumia kuikuza sekta ya mafuta na gesi ili iwanufaishe watanzania wote.

Wewe unakuja na historia za Texas.
By the way oil and gas ina mambo mengi na huwezi kuyasomea yote. Kila mtu anaspecialize eneo lake.

Ukisema unaijua sana oil and gas watu watakushangaa sana humu.
Kwenye oil and gas kuna
1. Oil and gas law
2. Oil and gas management
3. Oil and gas accounting and finance
4. Oil and gas engineering
5. Petroleum engineering
6. Petroleum geology
7. Petroleum chemistry
8. Petrochemical engineering
9. Petroleum geochemistry
10. Petroleum geophysics
11. Petroleum economics

Kwahiyo tusijisifu kwamba mimi najua kitu fulani kuliko mwingine bali tuendelee kujifunza zaidi na zaidi na kupata exposure zaidi katika maeneo mengine. Na kujifunza ni process endelevu tuendelee kuwa wapole tu kaka yangu.

Zaidi mawazo yetu tuyaelekeze ni jinsi gani tufanye kuzibadilisha oil and gas ili zinufaishe taifa letu na sio kujivunia knowledge isiyoweza kuwaletea watanzania mabadiliko.

Kwenye issue ya editing service hiyo ni professional kama zingine Research Editor Job Description
 
Kama umri bado unaruhusu kamalizie hiyo PhD Huku kwenye ubunge naona utakuja kujutia sana,kapige shule jipange vizuri hata 2030 sio mbali mbona,jipange kiasi kwamba hata ukikosa ubunge unakuwa Hauna Cha kupoteza, sababu usitegemee kupata ubunge ,2025 Tena ndio Mara yako ya kwanza kushiriki,it's a process inaweza kuchukua hata terms tatu ili uweze kupata ubunge
 
Hawawezi kukwambia huko wizarani JF ina wafunza mengi sana,

Management basically ina cover all aspects of the industry including all of what you have enlisted. Ndio maana inachukua 3 years.

Hivi unadhani kuna kisima cha mafuta kisichokuwa na gas? Utaelewa vipi bila ya kuelewa geology ya hivyo vitu vinavyopatikana through the decay of animals, utaingelea vipi maswala ya midstream kwenye separation ya mafuta bila ya kufahamu chemistry.

Trust me wewe hiyo industry huijui

Nijibu ili swali nikirudi mchana what’s API gravity, different ya mafuta ya Iran, Russia, Venezuela, Saudi Arabia, wapi kuna refiniries bora leo na nini hasa advantages zake zinazofanya ziwe bora.

Sikushauri huu mjadala na mimi, uelewa wako ni mdogo sana kwenye hii sector. Oil and Gas ina mambo mengi mno na wewe ata basic za how the industry work huna.

Uamini weka maswali yako nikirudi in 4 hours time nayajibu, ila nikikupa yangu technical uwezi yajibu trust me.

Mie nikisoma tu posts za watu kwa baadhi ya topics I can tell depth ya mtu. Na wewe huku kwenye oil and gas bado mchanga sana.
 
human beings are leaving opportunity to aquire skills to be experts in things human beings will be willing to pay for the services in order to earn a modest and dignified living and run into politics which actually is useless.

human beings are so developed brainwise to run their own lives bila uhitaji wa some another stupid human being to rule over them and tell them what to do of which mostly ni wrong thing to do.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…