Boss kuna muda
Boss naomba nishauri, nimekubali sina akili kama ulivyo andika. Mimi naiheshimu sana jamii forum inanifunza mengi sana kupitia kuandika na kupitia kwenu. Je nifanye nini ili niweze kuwa naakili za viwango vyako.
Na pia nishauri nifanye ili 2025 niipeperushe bendera ya chama changu.
Well kwa kuanzia if you need to analyse oil and gas
Kwanza unatakiwa kuelewa historia yake kuanzia kwa visima vya kwanza Texas,
First usage ya nishati kama kibatari
Monopoly ya Rockefeller and how managed to achieve that goal
Jinsi Rockefeller alivyozuiwa kuuza pekee US
How Mercedes-Benz engine invention, finding other usage of oil and byproducts na electricity production ilivyokuza industry
Utafutaji wa visima nje ya US, hasa ndani ya Middle East na influence zake
Kuibuka kwa Seven Sisters Wa mafuta
Middle East nations kudai haki zao na kuanza kwa migogoro inayo endelea au ku influence supply mpaka leo.
Ni hivi ni story ndefu sana hadi kufikia mambo ya Kyoto protocol na environmental issues za leo ndio maana degree ya oil and gas (management inachukua 3 years).
Sasa kwa sie ambao tushafyatua hizo ukisomwa tu unaonekana unapwaya sana fundamentals tu huna.
Yaani ukianza kuongelea issues za supply chain ndio kabisa ni vitu unavyojibunia tu au unaokota google, let alone mambo ya mikataba.
Na siasa ni utashi wa mtu hakuna mwenye kukuingilia kwenye maamuzi yako.
Halikadhalika kwa jamii yetu kama msomi basi walau uwe na huruma kwa watu unaotaka kuwaongoza. Ila wewe kwa post zako humu za kuhamasisha watu njia za short cut za kufaulu ambazo sizo, promotion ya biashara za watu wengine na kutetea watu wa hovyo kama Makamba; sikuoni wewe kwenye uongozi kama sehemu ya solution bali tatizo kwa watanzania you are just corrupt from what you promote in this forum.
👋