Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
- Thread starter
- #21
ππππLucas mwashambwa
πππ
Erythrocyte amenukuliwa akisema jamaa hapo juu hajalamba uteuzi........
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ππππLucas mwashambwa
πππ
Erythrocyte amenukuliwa akisema jamaa hapo juu hajalamba uteuzi........
Anamtumikia mtanzania.Kuwatumikia watanzania? Mbunge anamtumikia mtanzania au anatumikia tumbo lake?
Kwanza nikushukuru kwa ushauri mzuri pale mwisho. Nilijitahidi kuelekeza mawazo yangu shule, lakini wito wa kulifanya hili jambo uliishinda maamuzi ya moyo wangu.Umejipanga kwa masuala ya uganga na uchawi.Siasa ya Tanzania inategemea pesa na uwezo wako wa kuroga.
Angalau wakati wa Magufuli hakukuwa na uwezekano wa kupata Ubunge kwa pesa na ndumba ila kwa sasa tumerudi siasa za awamu ya nne.Wewe unadhani yule Mbunge alikuwa anaweza kumng'oa Chenge, hapana!
alipita kwa msuli wa Magufuli!
Ungeomba ushauri mapema,tungekushauri uende shule kuliko kugombea nafasi ambayo sharti ujue kusoma na kuandika!
Sasa unatangaza nia unajificha hivyo jiweke wazi tukujue ili tuamue ku kuunga mkono au upite kuleHabari za leo watanzania wenzangu,
Mimi rafiki yenu na kijana mwenzenu nilishafungua moyo wangu kuwatumikia watanzania katika kiti cha ubunge. Kama kuna wabunge humu naomba watanishauri zaidi ila ni jambo ambalo nalipenda na nina uzoefu nalo kidogo.
Muda wangu sahihi wakujitokeza hadharani utakua 2025 ila bado sijaweka wazi nitagombea ubunge kupitia chama gani.
Hii ndio sababu kubwa iliyonifanya nisitishe masomo yangu haraka sana ili niweze kujipanga katika hili. Nilipata kuchaguliwa kuendelea na masomo ya PhD katika chuo kimoja huko nje ya nchi. Ilinipasa mwezi wa tisa mwaka jana niwe nimeshaingia chuoni na kuanza masomo yangu.
Naombeni kuungwa mkono katika hili. Najua muda ukiwadia ipo siku nitamalizia elimu yangu. Lakini kwasasa nijapange ili kutimiza adhima yangu.
Ahsanteni jamani.
View attachment 2495736
View attachment 2495735
Nitajitokeza hadharani boss ndio maana leo nimeamua kuweka wazi hapa ili mpate kujua mapema wanajamii forums wenzangu ikiwezekana tushikane mikono ili kutimiza adhima hii.Sasa unatangaza nia unajificha hivyo jiweke wazi tukujue ili tuamue ku kuunga mkono au upite kule
Unatangaza humu ili iweje? Fanya mambo yako kimya kimya. Unataka ujulikane umepata nafasi kwenye doctorate program lakini kiukweli huna maturity wala intellect ya kusoma PhD. Halafu "niahilishe" ndiyo nini?Habari za leo watanzania wenzangu,
Mimi rafiki yenu na kijana mwenzenu nilishafungua moyo wangu kuwatumikia watanzania katika kiti cha ubunge. Kama kuna wabunge humu naomba watanishauri zaidi ila ni jambo ambalo nalipenda na nina uzoefu nalo kidogo.
Muda wangu sahihi wa kujitokeza hadharani utakua 2025 ila bado sijaweka wazi nitagombea ubunge kupitia chama gani.
Hii ndio sababu kubwa iliyonifanya nisitishe masomo yangu haraka sana ili niweze kujipanga katika hili. Nilipata kuchaguliwa kuendelea na masomo ya PhD katika chuo kimoja huko nje ya nchi. Ilinipasa mwezi wa tisa mwaka jana niwe nimeshaingia chuoni na kuanza masomo yangu.
Naombeni kuungwa mkono katika hili. Najua muda ukiwadia ipo siku nitamalizia elimu yangu. Lakini kwasasa nijapange ili kutimiza adhima yangu.
Ahsanteni jamani.
View attachment 2495736
View attachment 2495735
Bora ungeenda shule,Habari za leo watanzania wenzangu,

Mbona hizo 25% ni nyingi sana.Ubunge kamari. Chances za kupata ni 25%. Chances za kukosa ni 75%.
Kama anautaka ubunge kwa 2030 or 35 aanze kampeni sasa, simtishi ila ndio hali ilivyo unless awe mtoto wa mlamba asaliMuhimu ujue tu siku hizi kila biashara inahitaji mtaji, na hasa zile biashara zinazolipa vizuri ndio zinahitaji mtaji mkubwa zaidi, jipange.
Nia yako ni njema ila endelea na masomo.Habari za leo watanzania wenzangu,
Mimi rafiki yenu na kijana mwenzenu nilishafungua moyo wangu kuwatumikia watanzania katika kiti cha ubunge. Kama kuna wabunge humu naomba watanishauri zaidi ila ni jambo ambalo nalipenda na nina uzoefu nalo kidogo.
Muda wangu sahihi wa kujitokeza hadharani utakua 2025 ila bado sijaweka wazi nitagombea ubunge kupitia chama gani.
Hii ndio sababu kubwa iliyonifanya nisitishe masomo yangu haraka sana ili niweze kujipanga katika hili. Nilipata kuchaguliwa kuendelea na masomo ya PhD katika chuo kimoja huko nje ya nchi. Ilinipasa mwezi wa tisa mwaka jana niwe nimeshaingia chuoni na kuanza masomo yangu.
Naombeni kuungwa mkono katika hili. Najua muda ukiwadia ipo siku nitamalizia elimu yangu. Lakini kwasasa nijapange ili kutimiza adhima yangu.
Ahsanteni jamani.
View attachment 2495736
View attachment 2495735
Ila ubunge ulikua ni wa kuteuliwa make hakukuwa na uchaguziUmejipanga kwa masuala ya uganga na uchawi. Siasa ya Tanzania inategemea pesa na uwezo wako wa kuroga.
Angalau wakati wa Magufuli hakukuwa na uwezekano wa kupata Ubunge kwa pesa na ndumba ila kwa sasa tumerudi siasa za awamu ya nne. Wewe unadhani yule Mbunge alikuwa anaweza kumng'oa Chenge, hapana!
alipita kwa msuli wa Magufuli!
Ungeomba ushauri mapema, tungekushauri uende shule kuliko kugombea nafasi ambayo sharti ujue kusoma na kuandika!
Habari za leo watanzania wenzangu,
Mimi rafiki yenu na kijana mwenzenu nilishafungua moyo wangu kuwatumikia watanzania katika kiti cha ubunge. Kama kuna wabunge humu naomba watanishauri zaidi ila ni jambo ambalo nalipenda na nina uzoefu nalo kidogo.
Muda wangu sahihi wa kujitokeza hadharani utakua 2025 ila bado sijaweka wazi nitagombea ubunge kupitia chama gani.
Hii ndio sababu kubwa iliyonifanya nisitishe masomo yangu haraka sana ili niweze kujipanga katika hili. Nilipata kuchaguliwa kuendelea na masomo ya PhD katika chuo kimoja huko nje ya nchi. Ilinipasa mwezi wa tisa mwaka jana niwe nimeshaingia chuoni na kuanza masomo yangu.
Naombeni kuungwa mkono katika hili. Najua muda ukiwadia ipo siku nitamalizia elimu yangu. Lakini kwasasa nijapange ili kutimiza adhima yangu.
Ahsanteni jamani.
View attachment 2495736
View attachment 2495735
Boss πππππUnaonekana unapenda sana attention we kaka.
Elimu ni wewe mwenyewe boss.Kumbe PhD ya Kichina, in terms of rank if i will be asked, i will give it 10% Chinese PhD
Anyway kasome achana na kutafuta ubunge, utapotea milele, labda ww mgeni ktk viwanja vya siasa za kwenye field, uko kwenye siasa za online tu, achana na ubunge ukasome kwanza.