Nimeamua Kustaafu Rasmi JF, Utangazaji na Uandishi wa Habari Baada ya Kuhudumu Miaka 30. Niko Free Kujiunga Siasa, Nimejiunga CCM na Nitagombea Ubunge

April Fool in action
 
Pascal ni somo, si kila mmoja atalifaulu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pascal atastaafu vyote ila sio JF,leo ni April foolish day,na gari gani hiyo ya 2.5M🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kwani mtu hawazi kuwa Mbunge na kuendelea na taaluma yake?..au katiba ya Tz hairuhusu?
 
Pamoja kuwa leo ni tarehe Mosi, lakini kuna ukweli wa baadhi ya hoja zako mkuu.

Nafurahi kwa namna unavyoweza changamsha genge letu,kijiwe chetu hiki cha kahawa.

Napokea text eti Pascal Mayalla anahamia ccm,kajitoa JF..

ni kacheka tu heeee heee ni magu tune.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
AprilFool[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mayalla kwetu inamaanisha njaa, tokea mkuu akuchane kwenye ile press na ulivyoitwa kuhojiwa bungeni uligeuka kuwa nyoka asiye na sumu, kila la heri huko uendako ni haki yako ya kikatiba tunasubiri kukuona majukwaani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…