nipo online
JF-Expert Member
- Sep 10, 2022
- 1,509
- 3,429
Unaishi na malaya au wife material π³π³Hii ni baada ya jana kupigwa sh 60000 chumbani huku wife akidai hajui , Leo nineingiza 30000 saloon naona majibu yaanza kujibiwa, tuwe Makin na wake zetu, na Leo asubui nimetoa msimamo mzito hakuna chai asubui labda mtoto tu lengo ikiwa kufidia loss iliyotokea
Hapo unatengeneza bomu lingine mkuu.....Hii ni baada ya jana kupigwa sh 60000 chumbani huku wife akidai hajui , Leo nineingiza 30000 saloon naona majibu yaanza kujibiwa, tuwe Makin na wake zetu, na Leo asubui nimetoa msimamo mzito hakuna chai asubui labda mtoto tu lengo ikiwa kufidia loss iliyotokea
Kaamua kulala na hela anaacha mke huyu jamaa ana balaa sana..ππππ huo msimamo hata wa houth na al-qaida wakasome
Bado hujafaulu vikwazo mkuu.Mpaka useme yote.Hao viumbe akili zao ni za kipekee.Kaa chonjo,saa mbaya!Hii ni baada ya jana kupigwa sh 60000 chumbani huku wife akidai hajui , Leo nineingiza 30000 saloon naona majibu yaanza kujibiwa, tuwe Makin na wake zetu, na Leo asubui nimetoa msimamo mzito hakuna chai asubui labda mtoto tu lengo ikiwa kufidia loss iliyotokea
MTU anayekupikia chakula ikiwa haumuamini ni hatar mkuuKaamua kulala na hela anaacha mke huyu jamaa ana balaa sana..
Hutakiwi kuonesha humuamini.Ni mwendo wa kucheza na akili zake kiubunifu na asishtukie mchezo.MTU anayekupikia chakula ikiwa haumuamini ni hatar mkuu