Nimeamua kutembea na kulala nazo pesa kitandani

Nimeamua kutembea na kulala nazo pesa kitandani

Ila wanawake tunaookota uswahilini hawa ni janga kwakweli
 
achepuke tu nishachoka
Unafikiri ni rahisi hivyo?hiyo kauli wanaume tunayo sana eti achepuke basi 😝😝😝 ila akichepuka na ukajua hilo tumbo linaweza pata mtetemo wa mwezi na kuharisha vya kutosha
 
Unafikiri ni rahisi hivyo?hiyo kauli wanaume tunayo sana eti achepuke basi 😝😝😝 ila akichepuka na ukajua hilo tumbo linaweza pata mtetemo wa mwezi na kuharisha vya kutosha
anasema kwao
 
Hii ni baada ya jana kupigwa sh 60000 chumbani huku wife akidai hajui , Leo nineingiza 30000 saloon naona majibu yaanza kujibiwa, tuwe Makin na wake zetu, na Leo asubui nimetoa msimamo mzito hakuna chai asubui labda mtoto tu lengo ikiwa kufidia loss iliyotokea
Nyie ndio mnasababisha team kataa ndoa wazoe point 3 za bwerere kabisa. Ndoa ni tamu na simple,sio complex kiasi hicho. Be a man. Una-act kama boy.
 
Nyie ndio mnasababisha team kataa ndoa wazoe point 3 za bwerere kabisa. Ndoa ni tamu na simple,sio complex kiasi hicho. Be a man. Una-act kama boy.
unaongea kirahis sana hujui kilichonipata, be man hapo ukute huna hata hawara
 
Chakula unamnyimaje mtu? Mbona ukatili huo hela kala mkeo sio mtu mwingine Kwan huwez samehe
 
Back
Top Bottom