Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 12,463
- 27,556
Huna mke ni Malaya huyo
atapata adhabu ya historia alishawai ibaKama sio yeye kweli ?
sawaHuna mke ni Malaya huyo
acha tu mkuuUnaishi na mwizi
Si ulimsamehe ?atapata adhabu ya historia alishawai iba
Hapana siwezi aiseeWe ukitoka job mkabidhi asubuhi Muombe..wizi haupo...mengine kabiliana nayo...
imepotea tena Sasa atakuaje sio yeye? in room tuko 2Si ulimsamehe ?
Kama ulipotezea njiani? Kama zina chuma ulete ?imepotea tena Sasa atakuaje sio yeye? in room tuko 2
Kuna jamaa yangu alifikia hatua akawa anaficha nje kwenye maua lakini akashtukiwa akiamka hakuti kituacha tu mkuu
kitu kama icho acha ujinga wa kuamini chumauleteKama ulipotezea njiani? Kama zina chuma ulete ?
Ndo maana unaibiwa, hivyo vitu, hasa kwenye biashara hata mimi nilishawahi kununua friji jipya la boashara nikakutwa kwenye compressor limewekwa hirizi na hela imekunjiwa huko unadhani mwindi alikua ananipa zawadi ya hela?hapana
kitu kama icho acha ujinga wa kuamini chumaulete
Hii ni baada ya jana kupigwa sh 60000 chumbani huku wife akidai hajui , Leo nineingiza 30000 saloon naona majibu yaanza kujibiwa, tuwe Makin na wake zetu, na Leo asubui nimetoa msimamo mzito hakuna chai asubui labda mtoto tu lengo ikiwa kufidia loss iliyotokea
Umesema kama chai ni ya mtoto, means mnafamilia, kwanini umshuku mkeo. What if Kuna vitu vinaendelea ukiwa haupo, labda marafiki wa mke wako huwa wanakuja. Kwanini unakuwa raru .imepotea tena Sasa atakuaje sio yeye? in room tuko 2
Hii ni baada ya jana kupigwa sh 60000 chumbani huku wife akidai hajui , Leo nineingiza 30000 saloon naona majibu yaanza kujibiwa, tuwe Makin na wake zetu, na Leo asubui nimetoa msimamo mzito hakuna chai asubui labda mtoto tu lengo iki
mdogo wa miaka 2Umesema kama chai ni ya mtoto, means mnafamilia, kwanini umshuku mkeo. What if Kuna vitu vinaendelea ukiwa haupo, labda marafiki wa mke wako huwa wanakuja. Kwanini unakuwa raru .
hata usipomuaminisha kwani nikifika zitakua za nani? sina huo mdaSiku nyingine.
1. Hakikisha pesa zote unampa Mkeo. Ajue ni zote lakini zisiwe zote.
Mtu hawezi kujiibia. Mwanamke hawezi kujiibia.
Muaminishe pesa unazopata ni zenu. Muonyeshe na mpe. Lakini uwe na zingine
Kumaanishe vyanzo vya mapato na maingizo ya pesa asiyajue yote
😂😂😂😂Unaishi na malaya au wife material 😳😳
ss mke anakuwaje mwizi Tena 😂😂