hata usipomuaminisha kwani nikifika zitakua za nani? sina huo mda
Ujinga wa waafrika huu.Inaonekana humpi mkeo hela ya Matumizi!
Iko siku mtagawana vyumba!
Katika Ndoa Cha Mme ni cha Mkewe na Cha Mke ni cha Mmewe.
Mkeo Hana marafiki?mdogo wa miaka 2