Nimeamua kutembea na kulala nazo pesa kitandani

Halafu unacheka cheka hapa?. Ndio muanze kusingizia ndoa ngumu ndio zilivyo. Kumbe mnavuta manungayembe. Hivi tu hujajipata anakupitia kininja,Unategemea siku ukijipata vizuri huyo si atakutafutia majambazi kabisa. Kama wanawake wa Arusha
 
Mk
Hii ni baada ya jana kupigwa sh 60000 chumbani huku wife akidai hajui , Leo nineingiza 30000 saloon naona majibu yaanza kujibiwa, tuwe Makin na wake zetu, na Leo asubui nimetoa msimamo mzito hakuna chai asubui labda mtoto tu lengo ikiwa kufidia loss iliyotokea
Mkeo anahasara kupata mume kama wewe, pole kwake
 
Hii ni baada ya jana kupigwa sh 60000 chumbani huku wife akidai hajui , Leo nineingiza 30000 saloon naona majibu yaanza kujibiwa, tuwe Makin na wake zetu, na Leo asubui nimetoa msimamo mzito hakuna chai asubui labda mtoto tu lengo ikiwa kufidia loss iliyotokea

Kajiunge commed utapiga hela
 
Hii ni baada ya jana kupigwa sh 60000 chumbani huku wife akidai hajui , Leo nineingiza 30000 saloon naona majibu yaanza kujibiwa, tuwe Makin na wake zetu, na Leo asubui nimetoa msimamo mzito hakuna chai asubui labda mtoto tu lengo ikiwa kufidia loss iliyotokea
Kama sio yeye kweli ?
 
Back
Top Bottom