Hujaacha pesa ya chakula unaanza kusema malaya,acha akwapue😄😄 si zenu wote nini maana ya kuwa mwili mmoja ni vya kwenu vinavyopatikana ndani ni mali halali ya woteUnaishi na malaya au wife material 😳😳
ss mke anakuwaje mwizi Tena 😂😂
Pole sana mkuu. Unaonekana umekasirika sana.Hii ni baada ya jana kupigwa sh 60000 chumbani huku wife akidai hajui , Leo nineingiza 30000 saloon naona majibu yaanza kujibiwa, tuwe Makin na wake zetu, na Leo asubui nimetoa msimamo mzito hakuna chai asubui labda mtoto tu lengo ikiwa kufidia loss iliyotokea
😝😝😝We ni muhuni kataa uhuni point 3 hizoKataa ndoa point 3 hizo muhimu
Kataa ndoa,tunza kibunda chako 😂
Hapo umeibiwa 60K bado kugongewa
Kwa hiyo ashauriwe kuzipeleka benki.Wewee lala na Hela mkuu,wahuni watalalaa na shemeji alafu wamtie mimba 😄 alafu hzo Hela unazo lala nazo zitalea mimba c Yako na mtt c wako tuone nani ana hasara kati Yako na shemeji shenzii kbs😄😄😄😄
Mwanamke Haliziki, Kuna mshikaji alikua anakua anamuachia mke 1m par mouth na baadhi ya vitu ana mninunulia pia ana nyumba kama Saba za kupangisha, Mke akaliwa na mpangaji wake. usimuamini mwanamkeNgoja boda boda wakajisevie huku wakimuhudumia chai ya asubuhi.
Atachaguaa yy zilee wtt c wake au awekee benk alale na mke🤔Kwa hiyo ashauriwe kuzipeleka benki.
😂😂😝😝😝We ni muhuni kataa uhuni point 3 hizo
nilichukua jana nimeweka benkAtakula ile 130k ulompa ashike
Katengeneza mazingira yeye mwenyewe muda mwingine pesa kapoteza huko anakuja kumpa mtoto wa watu kesi...MTU anayekupikia chakula ikiwa haumuamini ni hatar mkuu
anaendelea kupiga kaz Leo nilibak mwenyewe goliniYule kijana wa maandazi kwenye deli vs waifu mlifikia wapi ?
achepuke tu nishachokaUsimbane sana kibajeti mkeo lasima atakuibia au ndiyo kuchepuka
majuzi nilimpa na alidai haitoshi alikua mjin