S sysafiri JF-Expert Member Joined Sep 19, 2019 Posts 9,253 Reaction score 13,581 May 12, 2025 #101 Inaonekana humpi mkeo hela ya Matumizi! Iko siku mtagawana vyumba! Katika Ndoa Cha Mme ni cha Mkewe na Cha Mke ni cha Mmewe.
Inaonekana humpi mkeo hela ya Matumizi! Iko siku mtagawana vyumba! Katika Ndoa Cha Mme ni cha Mkewe na Cha Mke ni cha Mmewe.
Robert Heriel Mtibeli Platinum Member Joined Mar 24, 2018 Posts 40,153 Reaction score 93,069 May 12, 2025 #102 nipo online said: hata usipomuaminisha kwani nikifika zitakua za nani? sina huo mda Click to expand... Ambao hawana huo Muda hawajaoa. Akili kichwani
nipo online said: hata usipomuaminisha kwani nikifika zitakua za nani? sina huo mda Click to expand... Ambao hawana huo Muda hawajaoa. Akili kichwani
Econometrician JF-Expert Member Joined Oct 25, 2013 Posts 17,929 Reaction score 33,764 May 12, 2025 #103 sysafiri said: Inaonekana humpi mkeo hela ya Matumizi! Iko siku mtagawana vyumba! Katika Ndoa Cha Mme ni cha Mkewe na Cha Mke ni cha Mmewe. Click to expand... Ujinga wa waafrika huu.
sysafiri said: Inaonekana humpi mkeo hela ya Matumizi! Iko siku mtagawana vyumba! Katika Ndoa Cha Mme ni cha Mkewe na Cha Mke ni cha Mmewe. Click to expand... Ujinga wa waafrika huu.
Zuleykha JF-Expert Member Joined May 20, 2016 Posts 1,456 Reaction score 2,176 May 12, 2025 #104 nipo online said: mdogo wa miaka 2 Click to expand... Mkeo Hana marafiki? Na vipi kama Kuna rafiki yake ameamua kumvurugia ndoa yake akachukua hizo pesa? Umeshawahi kukaa naye chini na kumuambia athari ya anachokifanya? Huenda hajui pia athari na ukawa unahisi yeye ni malaika wa kujua unachokiwaza
nipo online said: mdogo wa miaka 2 Click to expand... Mkeo Hana marafiki? Na vipi kama Kuna rafiki yake ameamua kumvurugia ndoa yake akachukua hizo pesa? Umeshawahi kukaa naye chini na kumuambia athari ya anachokifanya? Huenda hajui pia athari na ukawa unahisi yeye ni malaika wa kujua unachokiwaza