Nimeamua kutumia mbinu hii kukwepa kodi na tozo kwa biashara yangu mpya.

Hii nzuri bro... mpk ifikie point ya serikal kushtukia mchongo, tayari biashara ushakuwa kubwa na hutowaza tena mambo ya Kodi maana itaweza kujiendesha yenyewe!!
Mwanzo ndo huwa ngumu, umewaza Bomba sana✍️
Asante sana mwanangu, ngoja nianze kuchukua hatua maana naona majibu yenu humu wanajamvi yananipa nguvu
 
Fanya biashara mtandaoni na pia kuwa na Frem sehemu nzuri biashara yako itakua kwa haraka kwa sababu wateja wengine tena wakubwa humu kwenye mitandao hawapo kabisa.
Tanzania wateja wake ni wale wanapita bara barani anaona kitu dukani anaweza kununua muda huo huo au siku ingine tofauti na sehemu zingine mtu mpaka apange hata akiona anunui..
 
Labda hyo biashara huna mshindani..kama yupo umekwisha atawaleta t.r.a mpaka chumbani kwako🤣🤣🤣🤣
 
Biashara siyo rahisi angeanzia hapohapo nyumbani
 
Mtandaoni nako ni kwa moto,
Sio unaanzisha account - hapo hapo unapata mteja
Mteja unapata ukiwa na maelfu ya followers
Na kuwapata hao followers ni logarithm ukupende au utumie hela kibao kwenye matangazo

Boss, hakuna jambo rahisi. ILA USIACHE KUJARIBU
 
Aisee, ukishamaliza kudecorate mwambje wife wako aniperamani ya kufika hapo kwenye hiyo apartment.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…