Nimeamua kuwa na Mchepuko. Mke Haeleweki, mawasiliano kila siku na wakwe, mashemeji, mawifi, wa X- Wake

Big up mkuu, fanya kile kinakupa amani moyoni mwako, maisha haya hayana jibu Moja.Anafanya mawasiliano na X na hataki kuacha manake Nini, hao wanaweza Hata kupanga kukudhuru ama kukudhulumu Mali. Ukiweza tafuta kiwanja kingine ujenge Kwa Siri, Siku ukiamua kumpa inakua suprise , ukiamua kuacha unapangisha na unampatia mwanao. Ningekua Mimi ningemuacha mapema sana.
 
Hauja tuwekea bayana. Kwann awasiliane na familia ya mwanaume aliyeachana nae?

Je, wana mtoto au walikuwa na watoto kabla haujamuoa?

Anawasiliana nao katika mazingira yapi kwa mfano?
 
Leo nimeamua kutafuta Mchepuko,baada ya kuona mke nilie nae Haeleweki. Tatizo kubwa linalonikera kwa mke wangu, ni mawasiliono na ndugu wa X-Wake(wakwe,mashemeji,mawifi,nk)

Nimejaribu kumueleza Hilo Jambo silipendi Naona mke wangu Hilo Jambo linaendelea, Sasa nimeamua kutafuta tu Mchepuko,ingawa haikua dhamira Yangu kua na Mchepuko.

Nilikua najenga Nyumba Ila kutokana na Mazingira ya mke wangu siyaelewi nimeuza hiyo Nyumba last week.

Mke wangu ameniomba Mara kadhaa Baadhi ya Mambo nimeshindwa kumtimizia kutokana na Hilo Tatizo ambalo kila Ni kimkataza anaendelea nalo. Mambo alioniomba yapo ndani ya uwezo wangu lakini,nilimjibu Sina uwezo huo.

Nimeona Bora kutafuta Mchepuko Maisha yaendelee. Yeye aendelee kuwasiliana na wakwe,mashemeji, na mawifi wa X-wake, na Mimi ntakua nawasiliana na Mchepuko wangu.
Mbona unapoteza muda?Achaneni kabisa muwe huru.
 
Pole mkuu, Ila 'two wrongs don't make it right'..!!

Unauza hadi nyumba uliyokuwa unaijenga kwa ajili ya wanao..? kisha ndiyo uwe busy na mchepuko..?

maskiini..!!
Bora ivo mkuu unaweza maliza ujenzi Kisha mke anaomba taraka inauzwa mnagawana pasupasu Anarudi kwa ex wake kula nae bata
 
Umetumia hasira kufanya maamuzi, lakini kwa vile tayari umeamua hivyo na umesema hiyo pesa ipo salama, jaribu kuwekeza kwingine ili pesa isipotee..wanasema hasira hasara.

Peleka huko UTT AMIS, GOV'T BOND au FIXED DEPOSIT ili uendelee kupata faida kwenye pesa yako.

Kifupi mtu akishindwa kuachana na ex wake kihisia utapata shida sana, bikra iliwekwa kwa makusudi kabisa, mwanamke hakuumbwa ili aingiliwe na kila mwanaume ila kwa sasa wanakuwa na lundo la maex kabla ya kuolewa. Matokeo yake ndio kama hivi.
 
mbona yanaongeleka hayo.

Kilichotokea ni kua wewe umeoa mke wa mtu, huyo dem ni eidha ulimpora jamaa au dem alipoachwa tu na jamaa ili kumkomoa akaolewa na wewe wakati bado anamkubali mchizi na walishafika mbali.

Unamkataza au unamshauri aache anachokifanya??
Kuliko kutafuta mchepuko ni bora muachane, maana hutakua na muda nae, nae pia hatokua na muda na ww
 
Leo nimeamua kutafuta Mchepuko,baada ya kuona mke nilie nae Haeleweki. Tatizo kubwa linalonikera kwa mke wangu, ni mawasiliono na ndugu wa X-Wake(wakwe,mashemeji,mawifi,nk)

Nimejaribu kumueleza Hilo Jambo silipendi Naona mke wangu Hilo Jambo linaendelea, Sasa nimeamua kutafuta tu Mchepuko,ingawa haikua dhamira Yangu kua na Mchepuko.

Nilikua najenga Nyumba Ila kutokana na Mazingira ya mke wangu siyaelewi nimeuza hiyo Nyumba last week.

Mke wangu ameniomba Mara kadhaa Baadhi ya Mambo nimeshindwa kumtimizia kutokana na Hilo Tatizo ambalo kila Ni kimkataza anaendelea nalo. Mambo alioniomba yapo ndani ya uwezo wangu lakini,nilimjibu Sina uwezo huo.

Nimeona Bora kutafuta Mchepuko Maisha yaendelee. Yeye aendelee kuwasiliana na wakwe,mashemeji, na mawifi wa X-wake, na Mimi ntakua nawasiliana na Mchepuko wangu.
Nakuapia
Wengi humu wataona umekosea na hawatajishughulisha na mzizi wa tatizo lililopelekea maamuzi hayo.

Mimi na sema. LINDA MOYO WAKO KWA GHARAMA YEYOTE....

Kula maisha
 
Leo nimeamua kutafuta Mchepuko,baada ya kuona mke nilie nae Haeleweki. Tatizo kubwa linalonikera kwa mke wangu, ni mawasiliono na ndugu wa X-Wake(wakwe,mashemeji,mawifi,nk)

Nimejaribu kumueleza Hilo Jambo silipendi Naona mke wangu Hilo Jambo linaendelea, Sasa nimeamua kutafuta tu Mchepuko,ingawa haikua dhamira Yangu kua na Mchepuko.

Nilikua najenga Nyumba Ila kutokana na Mazingira ya mke wangu siyaelewi nimeuza hiyo Nyumba last week.

Mke wangu ameniomba Mara kadhaa Baadhi ya Mambo nimeshindwa kumtimizia kutokana na Hilo Tatizo ambalo kila Ni kimkataza anaendelea nalo. Mambo alioniomba yapo ndani ya uwezo wangu lakini,nilimjibu Sina uwezo huo.

Nimeona Bora kutafuta Mchepuko Maisha yaendelee. Yeye aendelee kuwasiliana na wakwe,mashemeji, na mawifi wa X-wake, na Mimi ntakua nawasiliana na Mchepuko wangu.
sasa vipi na yeye akitafuta mchepuko itakuwaje?
 
Labda kaongeza tu chumvi haikuwa nyumba! Yaan hasira zisababishe auze nyumba
Haaaa. Kila nilichoandika ndivyo, kilivyo....
Sa niongeze chumvi ili nipate Faida Gani, wala hatufahamiani,na Wala haina Faida kwa Yeyote.
 
Mkuu Hapo Unasambaratizisha Familia Yako Mwenyewe Kwa Kutumia Hasira Badala Ya Akili.

Hiyo Ndio Umeona Njia Sahihi Ya Kusuruhisha Huo Mgogoro?

Tufanye Maamuzi Yanayojenga Bila Kuendeshwa Na Mihemko.

Changamoto Tunakabiriana Nazo Kwa Akili Na Si Kwa Hasira.
ukiona mwanaume anatatua changamoto kama mwanamke basi jibu unalo mkuu
 
Unataka kutumia mwili wako ili kumkomesha mtu mwingine!

Mwanamke kama hakusikilizi wala kufuata amri za ndani ya himaya yako,basi huyo hakufai,usipoteze muda,
Piga chini huyo Kunguru asiyefugika,

Kutafuta mchepuko sio solution ya hilo tatizo,hilo tatizo litaendelea tu kuwepo,

All the best.
 
Back
Top Bottom