Nimeamua kuwa na Mchepuko. Mke Haeleweki, mawasiliano kila siku na wakwe, mashemeji, mawifi, wa X- Wake

mawazo ya kuuza yalikuwa sahihi sana kwakuwa muda wowote hapo kuna talaka na mgao wa mali
 
mawazo ya kuuza yalikuwa sahihi sana kwakuwa muda wowote hapo kuna talaka na mgao wa mali
Ukiishi kwa kumhofia na kumfurahisha mwanamke lazima uishi kwa hofu, mashaka na maisha yako yataharibika.
Fedha na mali utafute mwenyewe halafu uhofu unaweza kugawana na mwanamke😀😀😀😀😀😀😀
 
Ulichelewa sana kuwa na mchepuko ndiyo maana wivu haukuishi kwa mkeo, sasa hautajuta..... na hayo makosa ya mkeo utayaona ya kawaida ndo amani itadumu.
 
Ukiishi kwa kumhofia na kumfurahisha mwanamke lazima uishi kwa hofu, mashaka na maisha yako yataharibika.
Fedha na mali utafute mwenyewe halafu uhofu unaweza kugawana na mwanamke😀😀😀😀😀😀😀
Issue sio hofu ila sheria
 
wenye mchepuko huwa hawajitangazi mzee, we kaa na mkeo, myajenge ,mmalize tofauti zenu maisha yaendelee, nakuhakikishia hakuna aliyewahi kuwa na mchapuko akamaliza safari salama, haumkomoi mtu hapo. Mungu akusaidie.
 
Pole , bado haujatatua tatizo ndugu yangu
 
Sheria siyo tatizo. Kuna watu wanamiliki mali nyingi tu hata wake zao hawajui na wengine wanajua lakini hawana ubavu wa kuzigusa.
Mwanamke hatakiwi kuonewa huruma wala kubembelezwa
Sasa jamaa inaonyesha mke wake alijua pengine kaiuza ili kubadili uwekezaji?
 
Sheria siyo tatizo. Kuna watu wanamiliki mali nyingi tu hata wake zao hawajui na wengine wanajua lakini hawana ubavu wa kuzigusa.
Mwanamke hatakiwi kuonewa huruma wala kubembelezwa
Sheria sio tatizo ila itageuka tatizo pale itakapotaka kukata upande wako
 
Sheria sio tatizo ila itageuga tatizo pale itakapotaka kukata upande wako
"Ukitaka uishi maisha mazuri na yenye furaha, ishi bila kumhofia au kumfurahisha mwanamke"
Tengeneza pesa, na weka mali nyingi ili zikusaidie ili uishi maisha mazuri uzeeni.
Bilgate, Dangote, Mo, Bakhera na matajiri wengi wangekuwa na mawazo kama ya huyo jamaa wasingekuwa matajiri leo hii
 
Hasira hasara, sijaona umuhimu wa kuuza nyumba...
Wewe na mkeo mwisho wa siku mtaleteana magonjwa ndani.
 
Mkuu binafsi naamin wanaume ndio tunapenda wanawake wanapaswa kuonesha na kufanya UTII ktk ndoa na malez ya familia...
Kama hatii wala kusikia neno lako nakushauri hamisha upendo kwa watoto na tafuta namna ya kumtoa ktk milki yako Amiin amin unaweza japo unapaswa kubumilia maumivu
 
Hapo umepigwa bro.. Wewe ni kama kipezeo kwake mambo yakikaa sawa anaweza rudi muda wowote. Usiposhtuka Africa utazikwa ukiwa hai.
 
Tatizo la mtoa mada ni kufiria kwamba pesa ndiyo kila kitu katika mahusiano.
Kupitia maelezo yake, nimegundua huyo mwanamke aliye naye, alitoka kumpora mtu kwa sababu tu ya ushawishi wake wa kifedha.

Sasa baada ya muda kupita, mwanamke amegundua upendo kwake ni bora sana kuliko fedha! Na ndiyo maana haachi kuwasiliana na wale watu waliompa zaidi furaha na upendo, kuliko fedha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…