Nimeamua kuwa na Mchepuko. Mke Haeleweki, mawasiliano kila siku na wakwe, mashemeji, mawifi, wa X- Wake

Yaaah jamaa inaonekana pesa anayo..na ndo fimbo aliyotumia kumchapa ex wa mke wake na yeye akalamba dume akajiona mjanjaa[emoji23][emoji23]...kumbe mapenzi ni hisia
 
Yaaah jamaa inaonekana pesa anayo..na ndo fimbo aliyotumia kumchapa ex wa mke wake na yeye akalamba dume akajiona mjanjaa[emoji23][emoji23]...kumbe mapenzi ni hisia
Mbaya zaidi fedha huwa ina tabia ya kuleta kiburi na majivuno! Sasa binti wa watu anajiona thamani yake haipo tena ndani ya mahusiano yake mapya! Kwa nini asiwasiliane na ex wake!!

Jamaa na yeye amejikuta stress tu na wivu vimemjaa ghafla!! Akimuangalia ex mwenyewe wa mke wake na ndugu zake ni choka mbaya tu! Ila mwanamke ndiyo anamuelewa zaidi kuliko yeye Mndewa na fedha zake! Hapa lazima utafute tu mchepuko ili upoze machungu kudadek! 😁
 
pole sana mkuu
ungempiga chini kabisa
 
Huyo mke wa mtu unakaaje nae?
 
Ni Kama naishi na mke ambae Wala ha
sina Amani nae, na kiukweli Sioni umuhimu wa kumpenda mtu Naona Kama Bora uwe na mwanamke wa kumalixa hamu tu, Kuliko kuoa.
 
Stop playing man Dangote is the richest man in Africa 13.3b usd, iweje useme hata level ya dangote dangote yupo kwenye watu 107 matajiri kuliko wote duniani , au mwenzangu unaongelea dangote wa tandale ? Mana Aliko sio mchezo mchezo hata kidogo kwa muktadha huo ukisema “HATA LEVEL YA DANGOTE “, ni kama inafikika tu kirahisi wakati dunia yenye watu billion 7 na ushenzi watu 106 tu ndio wameweza kufikia hiyo level aisee… hiyo level ya dangote wapo 19 tu africa nzima na dunia nzima hiyo level hawazid hata 3200 kama sikosei wako 3194 sasa mkuu kama kuna dangote mtaani kwenu labda hivyo.
 
Huo ni ubovu wa ndoa za kikrisro. Mwanamke anakua na kiburi na dharau akijua hamna kuachwa. WRONG. Nakuunga mkono kwa uamuzi huo. Muweke wazi mchepuko wako kama mke mdogo. Mtambulishe kwa Ndugu ikiwemo ndugu zake. Mkeo mpe uhuru aishi anavyotaka.
Nimetoa ushauri huu mara 2 na umefanya kazi vizuri. Mke amekua na adabu na ana ishi akijua ana msaidizi. Mume ana amani na stress zimeisha.
Chagua kuishi na imani za kikristo ufe mapema kwa pressure au ishi uhalisia uwe na FURAHA.
Fuata ushauri wangu uone mabadiliko chanya.
 
Safi sana mwana umeupga Mwingi.
 
Mjinga wewe! Kwanza ungeomba ushauri kabla hujakengeuka! Umelikoroga sasa!

Ila hujachelewa, anza upya! Ila achana na mchepuko kwanza, tuliza akili, ujue unachotaka kwa maslahi mapana ya maisha yako!
 
Mithali 6:32
Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa; Afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake.

‭Waebrania 13:4
Ndoa na iheshimiwe na watu wote, na malazi yawe safi; kwa maana waasherati na wazinzi Mungu atawahukumia adhabu.

‭‭Yakobo 1:5
[5] Lakini mtu wa kwenu akipungukiwa na hekima, na aombe dua kwa Mungu, awapaye wote, kwa ukarimu, wala hakemei; naye atapewa.

Tafakari chukua hatua...
 
Na bado unamwita mke wangu!!!
Huyo ni mke wenu,
Mnako elekea, mtakuja pigana visu, kupeana sumu, bro anza maisha mapya.
Fanya maamuzi sasa.
 
Mdau hiyo sababu ni nyepesi kuuza mali uliokua ukitafuta kwa faida ya wanao alafu kuchepuka ni matokeo ya wewe kushindwa kuizuia mihemko kwani ukiwa na mchepuko kutambadilisha mwanamke wako jibu ni hapana ni migogoro inazidi mara dufu magonjwa yapo na mchepuko hua hakosei ila mke ndo anakoseaga tengeneza familia yako mwanamke asipo kusikiliza wewe ulie mwoa jua kuna anao wasikiliz ndio maana jalada la ndoa lina talaka juu yake kama ni mpaka kifo ww huachi uwe mvumilivu 🙁
 
Bwana mkubwa kwakweki hapana, nunua kiwanja jenga nyumba nyingine, wapende wanao wahudumie, tenga muda kuwa nao
 
Kaka japo inauma ila naomba jali familia yako cha kwanza umekosea kuuza nyumba ulitakiwa ujenge iishe alafu unahama na wanao kmy kmya bila yeye kujua ila kuuza nyumba hujanifurahisha watoto wako ndiyo ndugu yako wa kwanza katika maisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…