Mnakimbilia kuoa ili kufurahisha watu ndio matokeo yake haya sasa,mnaleta sifa kwenye ndoa hamfikiriiHajanikosea, hana tabia mbaya ila moyo wangu unakua mgumu juu yake kila siku zinayovyozidi kwenda, sijui nimeingiaje kwenye huu uhusiano.
Nimeamua sasa nitafute nitakaevutiwa nae, huyu wa sasa ana irregular shape, nguo nyingi hazimpendezi, am ashamed to walk with her by my side for sure.
Hope atapata anaemkubali
Kwa kuwa umeamua sawa.Hajanikosea, hana tabia mbaya ila moyo wangu unakua mgumu juu yake kila siku zinayovyozidi kwenda, sijui nimeingiaje kwenye huu uhusiano.
Nimeamua sasa nitafute nitakaevutiwa nae, huyu wa sasa ana irregular shape, nguo nyingi hazimpendezi, am ashamed to walk with her by my side for sure.
Hope atapata anaemkubali
Kwa nini ulimuoa sasa?mgharamikie figure zinatengenezekaWe unaweza kua na mtu ambae hifurahii hata kuongozana nae?
MarturedWife ni package. Muonekano inachukua nafasi ndogo sana.
Kama ni kweli basi umri wako ni 20-30yrs. Ukiwa umekomaa kiakili huwezi kuwa na mawazo haya.
Ilikuwaje ukamuoa kama uliona hakuvutii? Kurogwa kwingine mnajitafutia bure tu...
Aisee!! Nimejikuta navaa viatu vya huyo mkeo.
Daah. π
Hivyo wakati anamuoa hakuona yote hayo.Yaani mke wake ni tipwatipwa A.K.A kibonge nyanya sasa shida inaanzia hapo, huyo mwanamke atalia sana kuambiwa kiuno na mgongo vimeungana na shingo na mabega vimeungana atalia sana inabidi aanze gym mara moja na apunguze kula kula hovyo.
Uzi tayar πHajanikosea, hana tabia mbaya ila moyo wangu unakua mgumu juu yake kila siku zinayovyozidi kwenda, sijui nimeingiaje kwenye huu uhusiano.
Nimeamua sasa nitafute nitakaevutiwa nae, huyu wa sasa ana irregular shape, nguo nyingi hazimpendezi, am ashamed to walk with her by my side for sure.
Hope atapata anaemkubali
Sio nashindwa kumtunza, sasa hata anunue nguo gani akivaa hamna kitu, unamtunza vipi mtu wa hivi?Inasikitisha sana kwamba mleta mada huwez kumtunza mwanamke ndo maana unamuona mbaya ila hata upate mwenye shape la maana sura nzurii na kila kona kakamilika ukikaa nae mwaka kwa tabia zako za kingese utakua umemshusha shape lote na hutamuona kama ni mzuri. Usipende sana kuonyesha ujinga wako.
Huez amini huyo mkeo akija kwangu mwezi tu anatakata anarudi kwenye hali yake. Na wanaume wengine wanakua na mbegu chafu kila akimla demu ndo anazidi kukongoroka mwili bro ww sio mwanaume bora ukaanze kutoa marinda kama umeshindwa kumfanya mwanamke anawiri
Hujamuona ndo mana, sina rogo mbaya, hivi hujawahi ona watu nguo hata iweje haiwapendezi?mfanye mke wako vile unavyotaka awe.shape yake haikuvutii,, mpeleke gym acha roho mbaya na moyo usioweza kushukuru.umenitia huzuni mshkaji wangu